Tanzania NCD Alliance retweeted
🎶 ##Muziki ni lugha ya moyo – tumia kipaji chako kuelimisha jamii kuhusu NCDs!
#Wasanii wana nafasi ya kuleta mabadiliko ya kiafya kupitia nyimbo zenye ujumbe wa kuzuia na kudhibiti NCDs.
#WasaniiKwaAfya #NCDs #AfyaNiMtaji
Tanzania NCD Alliance retweeted
🎭 Jukwaa ni daraja – litumie kupeleka ujumbe wa afya!
Wachekeshaji, waigizaji na wanamichezo waoneshe athari za maisha yasiyo na afya kupitia sanaa zao.
#SanaaNaAfya #NCDs
Tanzania NCD Alliance retweeted
🧠 Magonjwa yasiyoambukiza hayachagui – elimu ndiyo kinga.
Wasanii wanaoaminika wanaweza kubadilisha fikra na tabia za jamii kuhusu afya.
#WasaniiWanaweza #NCDsAwareness
Tanzania NCD Alliance retweeted
❤️ Ushirikiano kati ya wasanii na sekta ya afya ni silaha dhidi ya NCDs.
Tujenge kampeni za pamoja zinazoeleweka na kugusa mioyo ya watu.
#SanaaNaAfya #PamojaTunaweza
Tanzania NCD Alliance retweeted
Replying to @wizara_afyatz
Tanzania NCD Alliance retweeted
We kick off the inter-regional forum on shaping policies for Healthy Diets hosted by @IDLO and @oneillinstitute. @KELINKenya @CefrohtUg @CISDI_ID @tancda @IncubatorGHAI @MarthaOgut4496
Tanzania NCD Alliance retweeted
From Cocobeach to Aghakan, we walked for change! 👣 #GlobalNCDAction #Walkathon #LeadOnNCDs #ActOnNCDs 🏃 #GlobalWeekForNCDs
Tanzania NCD Alliance retweeted
Thank you to everyone who took part in the Walkathon this morning! We’re stronger together against NCDs. #WalkForHealth #ActOnNCDs #TIMETOLEAD
Tanzania NCD Alliance retweeted
Today’s Walkathon was a huge success! Let’s keep the momentum going and fight against NCDs together. 🌍 #LeadOnNCDs #TanzaniaTimeToLead
Tanzania NCD Alliance retweeted
Our steps made a difference today! Proud to have walked with so many changemakers. 👣 #GlobalWeekForNCDs #ActOnNCDs #TogetherWeCan
Tanzania NCD Alliance retweeted
.
It's a Time to Lead #LeadOnNCDs #ActOnNCDs Global Week for Action on NCDs
.
✍️🩺 M24TzMedia.blogspot.com
.
HII NI YAKO 💯✅
.
@eancdalliance @tancda @NCDIpoverty
Tanzania NCD Alliance retweeted
🚀 Meet Our President!
🌟 Professor Kaushik Ramaiya
CEO & Consultant Physician at Shree Hindu Mandal Hospital, Tanzania. He’s also a board member of the @WorldDiabetesF, read more: rb.gy/qw9qb0
We’re honored to have his expertise leading the Africa NCDs Network!
Tanzania NCD Alliance retweeted
Ninaweza kuwa na #kisukari, lakini sizuiliwi nayo. Ninaweza kuishi maisha ya #furaha na yenye #afya.
#JitambueSasa
➡️shorturl.at/yCEHM
Tanzania NCD Alliance retweeted
Baadhi ya visababishi vya ugonjwa wa #kisukari
➡️Ukosefu wa mazoezi na ushugulishaji mwili
➡️Matumizi ya sukari nyingi kwenye vyakula na vyinjwaji
➡️Unjwaji wa pombe uliopitiliza
➡️Uvutaji wa tumbaku na bidhaa zake
Jifunze na Elimika zaidi kuhusu Kisukari
shorturl.at/yCEHM
Tanzania NCD Alliance retweeted
As EANCDA , we join the region and the entire world to commemorate World Diabetes Day.
We are moving forward to a diabetes free world💙🩸
Tanzania NCD Alliance retweeted
AINA ZA UGONJWA WA #KISUKARI
➡️Ugonjwa wa kisukari aina ya kwanza
➡️Ugonjwa wa kisukari aina ya pili
➡️Ugonjwa wa kisukari kwa wajawazito
#Jifunze na #Elimika Kuhusu Aina, Dalili na Hatua za kuchukua kujikinga na #Kisukari
🌐shorturl.at/yCEHM
Tanzania NCD Alliance retweeted
#ChukuaHatuaSasa
#KijanaAMKA
#PimaAfyaYako
#KisukariSioPOA
Karibu Kwenye #Viwanja vya #MnaziMmoja #DSM kuanzia tarehe 14 - 18/11/2023 upime #AFYAYAKO bure
Tanzania NCD Alliance retweeted
Dalili za Ugonjwa wa #Kisukari
➡️Kukojoa mara kwa mara
➡️Kuhisi kiu mara kwa mara
➡️Kuhisi njaa kila wakati
➡️Kupungua uzito
➡️Uoni hafifu
➡️Uchovu usio wa kawaida
➡️Uponyaji wa polepole wa jeraha
#Tafadhali uonapo dalili hivi fika viwanja vya mnazi mmoja #DSM Upime #AfyaYako






































