UNAJUTIA KOZI ULIYOISOMA CHUONI? #Thread
Tumeshuhudia graduation kadhaa hapa karibuni, takwimu zinaonyesha karibia graduates 50,000 huingia mtaani kwa mwaka. (1/3)
1
1
Sasa kulingana na utafiti uliofanywa na taasisi ya zipRecruiters, umeonyesha kuwa 44% ya graduates huko nchini marekani wanajutia kusoma kozi walizosoma, na hizo kozi tajwa hapo juu ndio tano ambazo zimejutiwa zaidi. (2/3)
1
Kuna yule mwanao ambaye kila ngoma kali anaijua yeye utasema ana streaming service kichwani. Mtag hapa aje aione hii habari.
#Thread 👇🏿
1
2
1/2:Sasa tafiti kama zilivyoainishwa na shirika la BMJ Global Health zinaonyesha kuwa zaidi ya Vijana Billioni 1 walioko katika umri miaka 12 -34 wako hatarini kupoteza uwezo wa kusikia pindi watakapokua katika umri mkubwa.
1
2/2:Hii inatokana na matumizi ya vifaa vya muziki hasahasa headphones katika unsafe levels (kuwa katika sauti ya juu sana).
-
Unatumia mbinu gani kuyalinda masikio yako? Tuambie hapa chini kisha fuatilia post inayofuata
#SmartGeneration
#NoaKisuUkaleNyama
We are looking for you, and @smartgen_tz team can’t wait to welcome you aboard .
-
Ni wewe tunakusubiri, tuna shauku kubwa ya kuungana na wewe.
#SmartGeneration #NoaKisuUkaleNyama #LiveYourDream
2
Kuna kasauti ka hovyo kichwani hukwambia “Sio Kwa Ajili Yako” yule demu Mkali sana “Sio kwa Ajili yako”, utaratibu wa kusafiri kwa ndege “Sio Kwa Ajili Yako”, Kuishi mitaa flani flani “Sio Kwa Ajili yako”. Kaepuke kwa bidii, kanajenga ukuta wa zege kati yako na mafanikio yako.
1/5: Ushawahi kujiuliza ni kwa nini unaweza kujifunza vitu fulani kwa urahisi halafu vingine huwezi? Au ni kwa nini unafanya maamuzi unayoyfanya?
5/5: Tuambie ni kitabu gani unatamani tuanze kukichambua na kupata mafunzo yake?
#NoaKisuUkaleNyama #SmartGeneration
NI IPI TOFAUTI KATI YA CONTENT CREATOR NA INFLUENCER?
@rollymsouth alitupatia mtazamo wake alipopita kwenye #TenOnTen
Mtazamo wako wewe ni upi juu ya hili?
Maswali yalikuwa 10, so fungua link hii hapa chini kupata madini yote.
youtu.be/e8XFXiX24hA – at Dar es Salaam, Tanzania
Ujio wa Bi.Zuhura Kassim Ali, Mke wa makamu wa Kwanza wa Rais Wa serikali ya mapinduzi Zanzibar (SMZ) kwenye ofisi zetu za @smartgen_tz .
#NoaKisuUkaleNyama
Jana tulipata ugeni wa Bi.Zuhura Kassim Ali,Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) na alipokelewa na CEO wetu @officialcza1
1
3
Alifika ili kujionea namna tunavyoendesha shughuli zetu za kila siku, na kufahamu kuhusu miradi tunayoisimamia. Kupitia taasisi anayoisimamia ya Haiba Women Foundation sasa tutaanza kushirikiana.
1
Ili vijana wa Zanzibar hasa wanawake waweze kunufaika na miradi tunayoisimamia hapa @smartgen_tz
#NoaKisuUkaleNyama











