officialcza (@officialcza1) header
officialcza (@officialcza1) profile picture

Innovation & Business - CloudsMedia | Radio and Tv Presenter| Business Developer | Project Coordinator @eastafricagt

Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2017
Photo by officialcza (@officialcza1)Photo by officialcza (@officialcza1)Photo by officialcza (@officialcza1)Photo by officialcza (@officialcza1)Photo by officialcza (@officialcza1)Photo by officialcza (@officialcza1)Photo by officialcza (@officialcza1)Photo by officialcza (@officialcza1)Photo by officialcza (@officialcza1)Photo by officialcza (@officialcza1)
officialcza retweeted
Kuelekea siku ya uzinduzi wa Tanzania Green Summit,Tunakukaribisha kwenye mjadala wa kuhusu mabadiliko ya tabianchi na mustakabali wa dunia yetu! Mahali: Serena Hotel Siku: Julai 4, 2025 #TGS #TanzaniaGreenSummit #TunaizimiaDunia @UNEP @CloudsMediaLive @officialcza1
5
4
833
“Kuzuia ni jambo lisifanyike, mchakato usifanyike; kususia ni mchakato unafanyika lakini hujauridhia, mimi ninachosema ninaweza nikazuia kwa kutoshiriki kwa kutofanya mchakato usikamilike” - Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, @ExMayorUbungo Tazama mahojiano yote kwenye YouTube ya CloudsMedia #SkanaShow
34
66
4
408
16,761
Kwenye mahojiano yangu na Mhe. Hamis Taletale (Babutale) nilipomuuliza kuhusu masuala ya utekaji alieleza kwamba hawezi kuzungumzia kwasababu hana ushahidi wa jambo hilo kwani hakuna mwananchi wa jimbo lake ambae amewahi kutekwa.
4
241
"Ukizungumza mkwamo unazungumzia kwamba kwa nini sisi tuko hapa, wenzetu Marekani wapo huku, sisi utawala ndio umetufikisha hapa, hata hao wakoloni ndio wametufikisha hapa, wameturudisha nyuma ili wafike mbele" - Hamisi Taletale, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki kwenye SKANA na @officialcza1. Mahojiano yanapatikana kwenye YouTube ya CloudsMedia
7
3
2
16
5,435
“Huwezi kuweka mikakati yako hadharani lakini sisi tunasema tunashiriki tukipambana, tunapambana tukishiriki, sio maneno matupu. Tutatumia muda wa kampeni kuwa-mobilize Watanzania kulinda heshima ya kura yao” - @zittokabwe kwenye SKANA na @officialcza1 #SkanaCloudsMedia
73
23
10
205
30,017
This is the best airport terminal in East Africa 🇹🇿 👏🏾
339
1,253
112
12,103
617,358
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
2,509
2,838
490
13,739
812,130
Kwenye Vipindi vya redio vya asubuhi kimebaki Power Breakfast tu cha Clouds FM. Kina Masoud Kipanya na Kipindi chao wamebaki kwenye Ubora wao kwa Muda mrefu na wanajadili Masuala makubwa kwa Utulivu bila Kuegemea Upande wowote. Wengine wamebaki kupiga kelele na Kusifia kila kitu.
254
266
23
3,188
120,142
Baada ya kusikiliza pande zote mbili umeelewa nini?? @masoudkipanya @CloudsMediaLive
3
4
76
5,044
Wachupa
130
137
8
2,071
183,865
MBAPPE aitwe akalishwe chini na aambiwe yale maneno ya busara aliyoambiwa Mzee wetu JK kwenye uchaguzi wa chama 1995 kwamba bado muda unao, wewe bado ni Kijana!! Messi alistahili zawadi hii anapokamilisha safari yake ya soka ambalo amelitumikia kwa nidhamu ya hali ya juu🙌🏿🙌🏿🙌🏿
4
529
Moyo wangu upo Argentina, akili yangu inaniambia Ufaransa. Nitafafanua baada ya game…!!
2
457
officialcza retweeted
Hili swala la Diamond platnumz kuondoka WCB mmelichukuliaje Ndugu Zangu.?
108
37
3
1,410
Eti!! Usiidharau miguu ya kuku ndo iliyobeba kitoweo🤣🤣🤣
2
1
5
Naomba msaada wa kufahamishwa tofauti ya “mtu mwenye heshima” na “mtu mwenye adabu” #GameChanger #SmartGeneration
6
Moja wapo ya watu mashuhuri ambao lazima uwaone @smartgen_tz Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius K. Nyerere, na jana kupitia platform yao ya #SmartLifeStyle waliweza kumuenzi vizuri sana.Kama nataman enzi zile na mimi ningekuepo hivi , hongera Ceo @officialcza1 kwa kumuenzi mshua
5
19
1
94
Eti!! Oa haraka upate mtoto, unamchelewesha mtoto shule🤣🤣
2
12
Ushindi ni kuondoka Duniani na kuiacha pesa na sio pesa iondoke ikuache wewe.
1
1
21
officialcza retweeted
7.9 billion people live on this dot.
64
347
33
2,233