Tundu Lissu War Room (@slim_cony) header
Tundu Lissu War Room (@slim_cony) profile picture

Wakereketwa wa mabadiliko wenye lengo la kuhakikisha @TunduALissu anashinda kinyang’anyiro cha Urais 2020.

Joined June 2009
Photo by Tundu Lissu War Room (@slim_cony)Photo by Tundu Lissu War Room (@slim_cony)Photo by Tundu Lissu War Room (@slim_cony)Photo by Tundu Lissu War Room (@slim_cony)Photo by Tundu Lissu War Room (@slim_cony)Photo by Tundu Lissu War Room (@slim_cony)Photo by Tundu Lissu War Room (@slim_cony)Photo by Tundu Lissu War Room (@slim_cony)Photo by Tundu Lissu War Room (@slim_cony)Photo by Tundu Lissu War Room (@slim_cony)
Tundu Lissu War Room retweeted
Wapiga kura na wakazi wa Dodoma Mjini, tunawaomba mumpe ridhaa, Aisha MADOGA. CHADEMA tumemleta kwetu kuwa sauti yenu na ni hazina yetu ya wanawake @BawachaTaifa. Mumchague yeye sambamba na madiwani wa CHADEMA. #Uchaguzi2020 #CHADEMA #PeoplesPower #SasaBasi #NoHateNoFear
46
183
7
1,660
Uzi wenye picha za mashangazi zetu wanaogombea ubunge @ChademaTz na wenye uwezo kisiasa zaidi Asanteni @ChademaTz kwa kuiamini nguvu ya mashangazi
17
71
3
720
Every time I speak to Tundu, he makes me want to be a BETTER person.
15
97
4
1,955
Tundu Lissu War Room retweeted
Hongera sana Jesca Kishoa 👏🏽👏🏽 #ShangaziPower naona Iramba kumekucha 😁😁 Mwaka huu mashangazi tunawaelewesha wajomba #TutaelewanaTu
78
171
6
2,025
Tundu Lissu War Room retweeted
Changia #HakiUhuruNaMaendeleoYaWatu Jimbo la Ubungo, kwa kuchangia Kampeni za Mgombea Ubunge Mh @MayorUbungo Kwa namba tajwa hapo chini, Mchango wako ndio utakao saidia kuwezesha mchakato🙏🙏🙏 #WezeshaMchakato #NiYeye2020 #sasabasi #HakiUhuruNaMaendeleoYaWatu
8
12
86
Tundu Lissu War Room retweeted
Uzinduzi wa kampeni za CHADEMA Kibamba. Ni uhuru, haki na Maendeleo
10
67
1
849
Tundu Lissu War Room retweeted
UBUNGO STAND-UP! CHAGUA BONIFACE JACOB!
10
40
1
345
KAWE KATAA TAPELI NA MBAGUZI HUYU
1
7
Tundu Lissu War Room retweeted
Kwenye Uwanja wa kihistoria wa Kibandamaiti: miaka 56 ya Muungano wa Kero inatosha. #SasaBasi ni wakati wa #Zanzibar yenye mamlaka kamili ndani ya Shirikisho la Serikali Tatu! #TunduLissu2020 #NiYeye2020 #NguvuYaUmma
117
161
3
1,468
Tundu Lissu War Room retweeted
Asanteni sana #Shinyanga kwa heshima hii kubwa!! #TunduLissu2020 #SasaBasi #NiYeye2020 #NguvuYaUmma
51
149
5
1,534
Tundu Lissu War Room retweeted
Kuanzia kesho tutafanya maandamano ya amani nchi nzima, kuweka msimamo wetu kwa Tume ya Uchaguzi kurudisha wagombea wetu wote wa vyama vya upinzani walioenguliwa kwa sababu hizi za hovyo, tena kuwarudisha bila masharti yoyote! #SasaBasi #NguvuYaUmma #NiYeye2020 #TunduLissu2020
271
296
32
3,307
Tundu Lissu War Room retweeted
Rais Magufuli aliwaambia wasimamizi wa Tume ya uchaguzi, ambao ni wateule wake, “Siwezi kuwalipa mishahara mikubwa na magari mazuri, halafu mkatangaze wapinzani kuwa washindi kwenye uchaguzi.” Haya ni matokeo ya maelekezo hayo! #NiYeye2020 #SasaBasi #TunduLissu2020 #NguvuYaUmma
79
169
9
1,707
Tundu Lissu War Room retweeted
Kabla hata ya kipenga cha kampeni za uchaguzi, wagombea wetu wa Udiwani na Ubunge wameenguliwa kwa sababu za uwongo, za kihuni na zisizokuwa na haki. Namna pekee ya CCM kushinda uchaguzi ni mezani! #SasaBasi #NguvuYaUmma #NiYeye2020 #TunduLissu2020
51
94
10
808
Tundu Lissu War Room retweeted
Hawa ni wagombea udiwani kata za Tunduma na viongozi wa Chadema ngazi ya Mkoa wa Songwe. Walituhumiwa Kwanza kwa kosa la Kuwa sio raia na sasa wamepewa Shitaka la unyanganyi wa kutumia silaha. Haya maonevu sio Mara ya Kwanza kufanyika Tunduma.Lengo ni wasigombee Udiwani.
99
134
22
903
Tundu Lissu War Room retweeted
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilitupangia ratiba ya kuwasilisha fomu za uteuzi kati ya saa 6 na 6:15 mchana huu. Tumefika Tume tangu saa 5:45 asubuhi. Hadi sasa tunasubiri kuitwa ndani kuwasilisha fomu zetu kwa Tume. Wagombea wa CUF ambao walikuwa nyuma yetu kwenye ratiba, wao ruksa!
434
375
69
3,964
It's a crazy and violent night in #Tanzania. Opposition candidates in different corners of the country are being invaded and robbed their nomination forms by ruling party hooligans.
18
107
7
409