Pinned Tweet
Nimekuwa nikiboil mayai kwangu wasn't tasting ka zile za hawker but leo nimejua Siri unachemshaa unaeka kwa ndoo halafu unazunguka kwa nyumba kiasii mayai itadhani iko tao😁
ROYKE🇰🇪 retweeted
Ata kama huwa mnablame Ruto watu ni wakora hii TL mnakula mpaka pesa ya mfungwa aki..
ROYKE🇰🇪 retweeted
Huyo ni Mimi Sina hata 10 bob.
Breakfist maji,lunch maji......
Nitakunywa maji Hadi lini mamae🥲😶
ROYKE🇰🇪 retweeted
Najua hatuwezi toka block wote lakini ..acha nimake sure nitakua Kwa Hao wenye watatoka block 🤲🤲
Lakini nayo,if a girl akipost picha mkiwa wote alafu akuficha uso ,wee anza kuesabu masiku tu ,juu utapigwa sub very soon tu 😂😂
Kuna madem Fulani wawili roommates nakuanga beshte Yao, sasa saii wamekosana kila mtu ameenda kivyake sasa they want me to choose a side,am very confused bwana juu wote ni Mali Safi na walikuwa wananiitianga threesome,🥲🥲I don't wanna lose either of them aki🥲🥲
This life is better when no one knows anything about you. Watu ni kama wanakuanga na mikosi flani sijawai elewa.
Mambo yako ikue siri, wacha tu washtukanie ushafanya mambo yako kitambo.
Usikue unawashwa kupost hapo status, let the success shout for you. Thank me later.















