Ringle Beatz™ (@ringunger) header
Ringle Beatz™ (@ringunger) profile picture

Music Producer, Programmer, Software and Electronics Expert, Pianist, Musician, Inventor. (creativity and technology).

Dar es Salaam, Tanzania
Joined February 2011
Photo by Ringle Beatz™ (@ringunger)Photo by Ringle Beatz™ (@ringunger)Photo by Ringle Beatz™ (@ringunger)Photo by Ringle Beatz™ (@ringunger)Photo by Ringle Beatz™ (@ringunger)Photo by Ringle Beatz™ (@ringunger)Photo by Ringle Beatz™ (@ringunger)Photo by Ringle Beatz™ (@ringunger)Photo by Ringle Beatz™ (@ringunger)
New Song Is Out 🔥 🔥 #BlackBelt🏆 #Stamina #Roma #Khaligraph #Gnako Link on my bio 👆 youtu.be/7X62XWRr3dw
42
106
8
734
31,943
Always Top 🔝🔥🚀🙌 Hakuna mjadala tena namba hazidanganyi Dizasta Vina anaendelea kudhihirisha kwanini yeye ni kinara wa Hip Hop Bongo kila siku 🏆👑 #DizastaVina #HipHopBongo #Top10Audiomack #AFF Cc. @dizastavina @PanAuthentik @ringunger @BenixMatrix
6
9
141
Ringle Beatz™ retweeted
Replying to @ringunger
@ringunger "I got passion for the thing ila natingwa na time kuna wajinga wanapinga kwamba Ringle ana rhyme, Si kwamba naifanya game, Ka inanipa maslahi hii kitu haijanilipa ila kibingwa na sign" 👊
1
2
83
#HipHopFamily kufa au kupona 🎶 verse ya kwanza kasimama @ringunger Unampa asilimia ngapi? Rap music imechangamka kamaitaenda mwaka mzima itakuwa poa sana. #TunaPostHipHopTu ✊🏿👮🏿‍♂️
7
11
1
27
1,362
Ringle Beatz™ retweeted
Nawalilia waliopoteza ndugu na jamaa. Nawatakia nguvu na ujasiri wa kuendelea na maisha. Kama kuna kitu tumejifunza ni kuwa, mabadiliko ni gharama. Walale pema waliotutangulia. May their courage never go unnoticed. Forever in our hearts 🇹🇿 🇹🇿 – at Tanzania
44
326
2
1,449
27,052
Ringle Beatz™ retweeted
Karibu duniani is available for streaming/downloads Youtube - youtu.be/4cyPRYOAVno Audiomack - audiomack.com/dizastavina/so… Mdundo - mdundo.com/song/5193524 Spotify - open.spotify.com/track/0nK0k… – at Tanzania
17
82
5
283
6,393
Ringle Beatz™ retweeted
Hii ngoma utakutana nayo kwenye album ya #HAKUNAMATAATAA, na unatumiwa album WhatsApp, email,telegram etc(utachagua) bei ya album ni tsh 10,000/= tu,namba ya kupata album 0656337757. #SamakiMwenyeKiuNdaniYaMaji
2
30
1
107
3,239
Ringle Beatz™ retweeted
THEY NOT LIKE US!🔥‼️ @mjinifm
6
27
1
141
2,462
Ringle Beatz™ retweeted
We will get better youtu.be/EG51jQzaSUM
30
101
6
278
7,689
Dizasta Vina X Mitaa #DZSTVN 🧵Thread:
15
31
3
375
30,765
Kuna vitu vimedumaza sana muziki wetu wa RAP/HIPHOP. Unajua mfano huku kwa wenzetu waimbaji huku, ushirikiano wao ni mkubwa sana. Kwa waimbaji utakutana na stories kama Utakuta wimbo ulikuwa wa Barnaba akampa Mwasiti na ukamtoa. Wimbo kaandika Ditto lakini kampa Lina na melody na kila kitu. Jaymelody kamuandikia Nandy wimbo na muwa ukaondoka!! Kuna namna wenzetu wanashikana sana na kushirikiana, well wanayo matatizo yao sikatai, ila kwa kiasi kikubwa wana supportiana sana!! Sisi maniga hiphop for years tumekuwa na MINDSET moja tu miaka yote!! NANI MKALI/HUYU HANIWEZI/ MI NDO’ KING WA RAP/MI NDO’ GOAT/ Hii mindset iko kwa TRIANGLE nzima ya industry (ARTIST/MEDIA/FANS). Hii inapelekea game inadumaa, since mwaka 2000 mpaka leo 2025 miaka 25 sisi topic ni hiyo hiyo tu huyu anachana sana kuzidi yule, yule ndio mkali wa freestyle kuliko huyu!! Hatutoki nje ya box!! Again media & fans nao ndio catalyst, wanachochea na ni kama wamekariri hiyo ndio content pekee kwa game ya RAP. Ukitazama hata wasanii wa RAP currently wanaofanikiwa ni wale waliotoka kwenye hilo Box la Mimi nachana sana kuliko yule! Mindset hii kuna muda inatunyima hata colabo ambazo zingeweza kuleta impact au mageuzi na kututoa hapa tulipo!! Yes kuna colabo hatuzipati kwa game coz of hiyo mindset ya kupambanisha watu!! ambayo matokeo yake ni kumshusha mmoja na kumpandisha mwingine… Badala ya kuwaza kuwa wote wawili walipaswa kupanda kwa pamoja!! Ili Tuwe wengi kileleni. Ikitokea colabo ya RAP kitu cha kwanza tunachokimbilia kukifanya topic ni FID KAFUNIKWA NA NGWEA/ ROMA KAFUNIKWA NA CHID/ BYSER KAMFUNIKA JOSLIN/ Yaani toka miaka hiyo ya 2000 hadi leo 2025 utaskia topic kwenye radio fulani ngoma mpya imetoka ni KHALIGRAPH kamficha LUNYA!! Tunadumaza sana game yetu kwa kung’ang’ania content moja tu!! Haya mambo kwa wenzetu waimbaji ni nadra saka kuyakuta…..na kama yakiwepo sio kwa ukubwa huo kama kwetu! Kuna namna inachangia waimbaji game yao ku-move, apart from investment na talents walizonazo!! Dear artist, media & fans lets think out of box, tubadili approach, zipo angles nyingi za kufanya na kuongelea game ya rap katika namna inayoweza ku-unite hii community na sio kuishindanisha kila siku wao kwa wao!!
77
44
5
472
37,943
Ringle Beatz™ retweeted
Lyrical Yahweh Street Verified Byser @dizastavina @PanAuthentik @DullahTheking2 @Be_FrankSr
6
30
1,742
Ringle Beatz™ retweeted
My brother @ringunger. Blessing to have you around. Cheers to another year of brotherhood and friendship. Happy birthday
22
38
2
308
8,822
Ringle Beatz™ retweeted
Manzi akiwa anaskiza hizi ngoma uweledi wake wa kufikiri unakuwa tofauti na mamanzi wengine Hizi ndo pisi za kuoa🤗
57
95
7
817
112,844
Ringle Beatz™ retweeted
KHALI CARTEL 5 is OUT NOW!‼️🔥 East Africa Stand Up!📌 @KHALIGRAPH @jakkquill @CodsDyana @ruyongamusic @barcitybaby @AbbasDoobeez
56
190
6
929
38,416
Ringle Beatz™ retweeted
To @mex_tz & @barcitybaby Thank y’all for holding the 255 flag high.. Konyo kabisa nyinyi!!! 💥💥💥💥 🇹🇿
10
38
4
213
10,723
Ringle Beatz™ retweeted
Today we shipped: ☁️ Laravel Cloud 🚀 Laravel 12 ✨ Starter Kits (React, Vue, & Livewire) ⌨️ VS Code Extension This is only the beginning.
87
502
166
1,854
350,404
Ringle Beatz™ retweeted
Thanks brother
Happy Birthday brother @dizastavina Live long ✊🏽
27
21
2
213
6,475