RIMERA (@rimera20) header
RIMERA (@rimera20) profile picture

Financial Marketer||Economist||Co-founder of DM Company||Procurement Officer||Digital Nomad||Freelancer.

Zanzibar North, Tanzania
Joined September 2019
Photo by RIMERA (@rimera20)Photo by RIMERA (@rimera20)Photo by RIMERA (@rimera20)Photo by RIMERA (@rimera20)Photo by RIMERA (@rimera20)Photo by RIMERA (@rimera20)Photo by RIMERA (@rimera20)Photo by RIMERA (@rimera20)Photo by RIMERA (@rimera20)Photo by RIMERA (@rimera20)
Wazee wa makka wanapelekeana moto kwa post ya mwamba so poa, watch it
1
3
30
Kuna zile hesabu za darasa la saba: Ikiwa account yenye followers 1300 itakuwa na followers 1.3M ndani ya mwaka mmoja katika mtandao wa X, je account yenye follower 5500 itakuwa na followers wangapi ndani ya mtandao huo?
5
2
10
272
Mimi siwezi ogopa kupost kitu eti kisa kurogwa mamae😄 Mbeya nilikokulia kunaitwa Simike/NIGERIA huko tunaona uchawi kwa macho bila hata social media watu waliroga😅🫵🏾
Replying to @gabyconscious
Uoga tu wa maisha kmmk, Gaby umeenda Dubai na umetutambia na umerudi
3
1
1
30
2,202
#FreeBuyobe now! Aliandika @fbuyobe Dec.04.2025. Iko hivi👇 Juzi niliripoti tukio la jaribio la watu kuniteka. Watu wale wakitumia gari tatu aina ya Land Cruiser na Subaru Forester nyeusi walitaka kuniteka nikiwa naendesh gari langu. (Sijui walitumia muda gani kujua gari ninalotumia, Sijui walijua vipi makazi yangu) Bahati nzuri sikuwa naendesha gari hilo. Walimfukuza dereva aliyekuwa na gari na akafanikiwa kuwapoteza kwenye vichochoro vya Kigamboni. Baada ya kukosa gari. Watekaji wakajikosha kumtafuta mjumbe wa mtaa wangu. (Sijui walimjuaje kwani ilikuwa ni ndani ya muda mfupi sana tangu dereva kunipigia na mjumbe kunijuza kuwa kuna askari wanataka awalete nyumbani kwangu) Askari walipofika kwangu hawakutaka kushuka. Wakiwa kwenye gari lililo tinted wakamwambia mjumbe ashuke aniulizie. Binti yangu bila kujua kuwa baba yake yupo kwenye jaribio la kutekwa akamjuza mjumbe kuwa mimi nimeondoka tangu asubuhi which was true. Taarifa hii ilinifanya kufika kituo kikuu cha polisi kuulizia kama ninatafutwa kwa shida yoyote ambapo nilijibiwa hakuna kesi yoyote dhidi yangu. Nilitumia pia my insiders kujithibitishia hilo. Sikuridhika. Kwa uchunguzi wangu nikapata namba ya mmoja wa waliopaswa kuwa watekaji wangu. Namba hapa chini, haimilikiwi na mtu binafsi. Namba hii inamilikiwa na RCO Temeke +255 774 175 485 Nilipiga namba hii na kuuliza kwa nini wananitafuta kihuni bila wito maalumu. Wamenivizia kwenye gari. Wamefika kwangu kuniulizia na kuondoka bila kuacha wito kwangu au kwa mjumbe. Hawakuwa na jibu na badala yake wakaniambia nina kesi Chang’ombe wanataka nifike. Nikawajuza waniambie ni kesi gani? Inahusiana na nini? Nani mlalamikaji wangu? RB namba yangu ni ipi? Wakashindwa kunijibu. Nikawajuza kuwa bila hizo taarifa sitaweza kufika. Jana jioni, watu hao wamefika tena katika makazi yangu. Bila kutoa search warrant wakaingia kupekua hadi ndani ya chumba changu wakiwa na mitutu ya bunduki wakanikosa. My family is so so distressed. Wanahisi Je, baba yao ni Jambazi? Ninaomba nitoe wito kwa yeyote anayenitafuta afate taratibu za kisheria ATANIPATA Namba hii nimeipeleka sehemu. Naamini nitapata HUDUMA.
4
95
440
15,950
Kumficha mtu kwa saa 48 bila kumfikisha Mahakamani au kumpa dhamana ni kuvunja sheria mnazotakiwa kuzifuata. Muacheni HURU ndugu @fbuyobe au mfikisheni Mahakamani kama kuna tuhuma zozote dhidi yake. Hii ni nchi yetu na wote tunayo HAKI ya kuishi kwa UHURU na AMANI. #FreeBuyobe
26
481
7
2,289
65,734
Hakuna mtu anapaswa kutekwa awe kafanya kosa au kinyume chake. Mtu kama anakosa sheria na utaratibu upo wazi!
Kwani wamemteka kwa kosa gani? Hata kama ana makosa, sio kumteka. Akamatwe kwa utaratibu unaotakiwa. #FreeBuyobe
8
67
1
590
24,734
A Tanzanian mother saw her son in this scene from our investigation. She has not been able to find him since 29th October and doesn't know if he's alive or dead
210
2,576
57
7,644
253,911
Repost jero Bila Sababu za Msingi.
28
1,948
5
4,097
54,476
Hizi video zimeniliza sana 😭😭😭 Baada ya Idd Amin Mama kuzima umeme na Internet October 29 huu ndo ukatili na mateso ambayo @tanpol lilikuwa linawapa Watanganyika then wakimaliza kuwatesa walikuwa wanaenda kuwapiga risasi. Imagine hapa kuna Boda boda walikuwa wanajipitia zao njia wakakamatwa na kuanza kugalagazwa kwenye matope. Halafu leo anakuja kujifanya anataka maridhiano hivi katika Hali ya kawaida tu unawezaje kuridhiana na mtu katili wa kiwango hiki?
48
368
16
1,184
39,120
Lisu anaachiwa huru, na unafanyika uchaguzi wa huru na haki HAKYAMUNGU CCM HAMFIKISHI HATA KURA LAKI!!
89
294
10
2,523
48,478
Unit one kwa tom alikuwa anashindia Konyagi za kupima akitoka hapo anaenda ze mask unit 4 kujifanya mlokole🥹
2
1
1
59
Tilijitahidi sana kuwarudisha ktk common sense lakini bila mafanikio.😭😭😭😭😭
54
328
5
1,720
57,304
#TajiriLaKihaya Ujue Serikali Nyingi Huwa inatumia kanuni ya ‘TENGA UTAWALE’ DIVIDE AND RULE… Hii hurahisisha saana Utawala wao… na kutuweka busy na mambo yasio na muhimu wao wakiendelea kula mema ya nchi… Tumejitahidi kwa kiasi chake kuDeal na Mambo ya Wasanii na Miziki yao… Tumejitahidi kwa kiasi chake Kudeal na Mambo ya Simba na YANGA… mamipira.. Vile vile Naomba Saana Tujitahidi Kudeal na UDINI… UDINI ndio silaha kubwa zaidi kuzidi zote… MAANA inashika Imani za watu- na waafrika wengi Huwaambii kitu kuhusu Dini… Kama ambavyo kwenye Simba na Yanga Tumedeal na Viongozi wao, kwenye miziki tumedeal na Wasanii na kuacha kuwafuatilia ila MASHABIKI tumebaki kuwa wamoja … let the same Apply to Maswala ya DINI… Masanja Mkandamizaji,Mwamposa,KKKT na wengineo Wakiharibu Tunadeal nao na Sio Wakristo wote wala wafuasi wao… BAKWATA wakionekana wameramba Asali - tudeal nao wao… viongozi hao na wala sio waislamu wote au Masheikh wote… Tutaacha mambo ya muhimu na kudeal na vitu ambavyo havifai mwisho wa siku Tunapoteza FOCUS. Kama MUISLAMU nawaambia BAKWATA sio Taasisi ndogo kama tunavyoichukulia- Dar es salaam,Pwani,Tanga,Dodoma,Singida, Tabora,Zanzibar NK- misikiti ya Bakwata ni asilimia 98% ya misikiti yote mnayoiona…Mikoa yote mikubwa na wilaya zote Tanzania nzima misikiti mikubwa ya IJUMAA ni ya Taasisi za BAKWATA. Kiufupi asilimia 90% ya waislamu NCHI nzima viongozi wao ni BAKWATA na wanawafuata kweli kweli… mfano mzuri tu angalia - sikukuu za iddi… wengi huwafuata BAKWATA na wanaoswali siku tofauti ni wachache mno- hata kama zote zitaangukia weekend. Ninataka kusema nini… tujichunge saana Tusipoteze FOCUS yetu mwisho wa siku tukapoteza nguvu na muda wetu kwenye maswala ya DINI… Kama ambavyo BAKWATA walituamrisha TUFUNGE Jumatatu siku ambayo Raisi alikua anaapishwa na TUKAKAUSHA hakuna Aliefunga- tukaendelea na mambo yetu… Tuendelee vivyo hivyo… maana Hatukuwatukana wala kuwavunjia heshima… Hakuna ambae atapigana na Dini akashinda… hata msemaje hakuna muislamu ambae atahama awe mkatoliki na vivyo hivyo hakuna mkatoliki atahama awe muislamu… Tuendelee kupigania tunachokiamini bila Kuvunjiana Heshima kwenye Dini… ADUI wetu ni mmoja tu… na atafurahia saana tukiingia kwenye huu mchezo wa UDINI. Viongozi wakiongea ‘Pumba’ zao tuwakaushie infact hata Airtime hio ya kuwajadili tusiwape… lets FOCUS na mambo ya muhimu- Positive vibes only! Hakuna kipindi inapaswa tuwe wamoja kama hiki… Hakuna MUISLAMU KAMILI atafurahia unapowatukana MASHEIKH ZAO - hata mm sifurahii mnapowatusi masheikh hawana Elimu… mara sijui wanakula kitimoto… matusi ambayo hayana Tija kutafuta likes na engagement za kipuuzi. Tofauti na mitazamo yetu kwenye siasa kuwa Tofauti…hawa ni Masheikh zetu kwenye Imani… ni waalimu wetu wa madrasa ni viongozi wetu wa Kiroho… Lets maintain our FOCUS… tukianza kujigawa kwenye UDINI… kuna wengi kimbilio lao litakua DINI KWANZA…and it will be worse! Now Tunataka KATIBA MPYA, Tume ya UCHAGUZI IVUNJWE , waliouwa ndugu zetu WAWAJIBISHWE, Haki ipatikane kwa wote walioathirika, vijana wetu waliopotezwa wapatikane wakiwa Hai au miili yao, wafungwa wa Kisiasa wote waachiwe huru bila masharti, Kesi zote za CHADEMA mahakamani zitupiliwe mbali na waachwe waendelee na kazi zao! Ikiwezekana UCHAGUZI MKUU URUDIWE…. Hata kama ni gharama tupo tayari kukaa miaka mitano bila maendeleo yoyote- ila viongozi tuwachague sisi kihalali💯 Lets maintain our FOCUS…
288
371
35
1,428
87,465
Kwa akili zako watu ambao ndugu zao wametekwa, wameuwa na kupotezwa na ushahid upo kuhusu waliofanya hivyo ila wamenyimwa haki mahakamani hivy unadhan watakua na amani kweli
1
1
1
36
Mfumo wa kupiga kura ulikuwa VIRTUAL kiasi kwamba wapiga kura walikuwa hawaonekani wakati wanapiga kura.
39
153
6
1,090
18,937
Sasa nimeelewa ni kwanini alijitoa mapema, Pia kwanini Philip Mpango naye alikula kona..!!👇
17
237
5
849
35,425
Prof Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi
16
127
11
275
6,446