RAMA NGOZI retweeted
Ninayo tayari… thanks!
We Nenga mtu wangu kabisa, utanipa hiyo connection. Nimeuliza swali serious wala haikuwa kejeli btw.. kama Nengatronix mnazo pia basi mmetisha!! – at Houston, TX
Replying to @Wakazi
Wakazi Huwezi kuwa unajuwa kila kitu kaka ?? Unahela nikuuzie iphone 14 sasahv alaf ukaiverify apple Store Yeyote Duniani with valid apple warranty
RAMA NGOZI retweeted
We’re aware that some people are having trouble accessing our apps and products. We’re working to get things back to normal as quickly as possible, and we apologize for any inconvenience.
KWA UNAEKOSA HUDUMA KWENYE MITANDAO YA FACEBOOK, WHATSAPP NA INSTAGRAM SIO TATIZO LAKO TU BALI NI TATIZO LA KIDUNIA.....
1
3
Passenger kawimbo katam sana kwa kumdadicate mtoto mzuri kama mamy hiv... @mamybabytz
1
8
Lengo la sinyooo niende club huu mda au maana simuelew kabisa.... shikamoo sinyooo.... @perfectcrispin
6
Ngoma kali sana yaan Motra nayee ni mtundu kumbe sio mwajuma tu @KenTheRemedy
3
From 104.4 Hizo mixing D dj Omy zinaitwa nikomeshe mimi... @KenTheRemedy
3
From 104.4 Yaan Duly noma sana... Muulize siri ya mafanikio na kumantain kwenye game mpka leo ni ipi.? @KenTheRemedy
1
Naomba niwaulize kuna watu mmewakusudia leoooo? maana hilo show na vibee nowmaaa..@perfectcrispin
Naomba niwaulize kuna watu mmewakusudia leoooo maana show la wik nzimaaa nomaa.. Liverpool stand up @perfectcrispin
2
Tugedha sana til kitisa flan.. halaf niwakumbushe watu acount ya edu boy imeibiwa na aliyeiba anapost kama yee ndio edu yaan anachukua pc na video zilizopostiwa au kitu kipya edo anachofanya anapost kama edu boy watu wajue sio edu boy huyo @KenTheRemedy
1
10
Kwa leo kwa kweli bora jua.... mvua toka nyt mpka sasa tuko pamoja ndan xxl..frm 104.4 @KenTheRemedy
Mtaaa unaongea mzik mtup..top ishirin ndo vurugu letu kitaaa leee gooo @mamibabie
1
3






