
MC Radio Presenter| Producer | catch me on @XXL and #BongoFleva @CloudsFm The People Station|
Dar es salaam-Tanzania
Joined December 2010
- Tweets13.6K
- Following223
- Followers97.4K
- Likes19.8K
KenedyTheRemedy 🇹🇿 retweeted
Vijana wana nafasi kwenye dunia tuliyopo sasa, Kuhakikisha ilo tunayofuraha kumkaribisha mtangazaji kijana @KenTheRemedy kwenye uzinduzi wa Tanzania Green Summit @tanzaniagreensummit_ . Karibu sana Tuizimie Dunia
📍Mahali: Dar es Salaam Serena Hotel
📆 Siku : Julai 4, 2025
#TGS #TanzaniaGreenSummit #TunaizimiaDunia
KenedyTheRemedy 🇹🇿 retweeted
London, it’s our house. 😉
Introducing your @NikeFootball Chelsea 25/26 Home Kit.
#LondonItsOurHouse
KenedyTheRemedy 🇹🇿 retweeted
𝗝𝗜𝗡𝗦𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗣𝗜𝗚𝗔 𝗞𝗨𝗥𝗔
1. Tembelea tovuti Rasmi ya WSIS Prizes: itu.int/net4/wsis/stocktakin…
2. Ingia au Jisajili.
3. Fungua Fomu ya kupiga Kura; (𝙑𝙤𝙩𝙞𝙣𝙜 𝙁𝙤𝙧𝙢)
4. Chagua kategoria sahihi (𝘼𝙇 𝙘7 𝙚𝙂𝙤𝙫𝙚𝙧𝙣𝙢𝙚𝙣𝙩)
5. Kisha tafuta na piga kura (𝘼𝙡 𝙥𝙤𝙬𝙚𝙧𝙚𝙙 𝙚𝙈𝙧𝙚𝙟𝙚𝙨𝙝𝙤 𝙑2)
Kwa maelezo zaidi Tembelea page ya @eGA_Tanzania au piga 0763 292 299 au 0764 292 299
#eMrejesho #V2_Sauti_Yetu_Maendeleo_Yetu
#Turudi_na_Tuzo_Nyumbani #WSIS
#Karibu_tuijenge_serikali_kidijitali
Kaka 🙏 naendelea kujifunza kwenye hiyo list hao wote hapo juu ni maguru sana tundelee kujifunza 🚀
Kule YouTube kuna Elimu ya kiFedha kubwa sana inatolewa na watanzania wenzetu.
Ukipata muda search hawa watu kwa YouTube
1. Eng Kabenda
2. Edmund Munyangi
3. Emilian Busara
4. Kuna The remedy podcast by my brother @KenTheRemedy .
Wherever you are, tycoons, stay blessed!
🙌🏾
The Remedy Podcast Ep 02 "Hakuna mwenye pesa boya"
youtu.be/h3Bc0jfvtXM
KenedyTheRemedy 🇹🇿 retweeted
Progressing to the fourth round of the #EmiratesFACup! 🏆
#CFC
The Remedy Podcast na Justin Amos kuhusu uwekezaji na nani ni muwekezaji? youtu.be/0cljiAR7vlU?si=aXMd… via @YouTube
Sio mchezo 😅
Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary
Wewe ni familia 🔥🔥🙌🏿
#Ahsantekwataff
My Brother @KenTheRemedy Asante kwa mashavu kama yote nashukuru sanaaa wewe na team nzima ya XXL imeonesha Love sana miaka yote kwangu mwaka 2024 kwangu nyinyi ndo imenitengenezea jina ,CMG kwa ujumla @msanuaji @meena_ally,soudybrown,Daudiwakota, producer @iamcousin_e,#GenC4life
Happy Clouds new year
Asante wewe Gen C kwa kutupiga tafu kwa miaka 25 mfululizo na kuruhusu tuzihudumie spika za redio yako screen ya TV/smartphone.
Asante kutupa tafu iliyoturuhusu kuwafungulia Watanzania wengi dunia #Clouds25 #GenC4Life
#Asantekwatafuu















