BABBA retweeted
Majibu ya Sala zako yako mikononi mwa watu,ili upate majibu yako, ishi na watu vzuri @quickrocka
BABBA retweeted
"🎶Te Amoo Gusa Pale pale/
"Te Amoo Tandika tulale🎵 @quickrocka 🔥🔥🔥🔥 KonYooooo
BABBA retweeted
Replying to @eastafricatv @quickrocka
Jamaa namkubali sana anafanya mziki mzuri sema anapotea sana .arudi atupe Marsha tumeyamic kinyama
BABBA retweeted
Nimeamka na hii ya @quickrocka #Ukimya bonge moja la ngoma la kutetea kambi ya mapenzi.
BABBA retweeted
🚨BOOMFRESH🚨
Mkusanyiko wa ngoma kali nne kutoka kwenye Ep ya @quickrocka #LoveLifeEp😍 ,sasa unaweza kuisikiliza kupitia app ya Boomplay.
Bofya link 🔗 Boom.lnk.to/QuickRockaLoveLi…
#HomeOfMusic
BABBA retweeted
Replying to @quickrocka
@quickrocka love life ep is a major thing may God continue to bless the work of your hands 😘
BABBA retweeted
Hivi tunapataga muda wakujiuliza kuhusu uwezo wa huyu mwamba @quickrocka Kabinti ni kitu nyingne hii ni kazi kubwa sana bro my favorite song kwenye
#LoveLifeEp
BABBA retweeted
Linapokuja suala la michoro ya kimahaba sasa hizi ndio #Content #BEMBELEZA @switcherbaba ft #King
Gusa link kwa bio ya @switcherbaba 🔥🔥🔥 instagram.com/p/B8yhks-Fisu/…
BABBA retweeted
The Multi Talented Artist @switcherbaba Ameachia Mbupu linaitwa #Bembeleza ft @JohMakini
Link kwenye Bio ya @switcherbaba instagram.com/p/B8rcTu-BslF/…
BABBA retweeted
Namba 3: @SwitcherBaba ft. @JohMakini - Bembeleza 🎵
Video moja matata. Enjoy!
#PlusXtraUpdates #5Star #CloudsPlus
BABBA retweeted
KAZI ZIMENYOOKA MAPENZI KAMA MAPENZI LOVE SONGS ZA KWENDAAAAAAA FROM MY BROTHERS @switcherbaba FT @JohMakini NA iamtuphy 🔥🔥🔥🔥🔥 instagram.com/p/B8qFU7OFuop/…
BABBA retweeted
Bembeleza | @SwitcherBaba Ft @JohMakini 🔥🔥🔥🔥🔥
BABBA retweeted
Switcher Baba anangoma inaitwa Bembeleza Bonge moja la ngoma Classic music, Trust me
Pakua mtumie My wako 😂😂 muenjoy
C.c @SwitcherBaba





















