Pinned Tweet
Me tweeting is one story but you taking the tweets serious it's totally another different story...!
winnie mtui retweeted
Mwanaume unakuaje na Suruali za kitambaa 9 zote za nini hizo?Unataka kufanya cut-walk au!!🙆🏾♂
Suruali ya kitambaa 1 tu ya kanisani na hiyo hiyo ya kwenda kwenye interview na hiyo hiyo kwenda kutolea mahari 🤣 @McinikaWaLamar sijui tumeelewana
winnie mtui retweeted
KIMENUKAAAAAAAAA, naomba niingie kulala, ila nikiamka na ku-drop watoto shule na drop 💣 moja kali.
Video itakuwa hewani saa 1 usiku ya Tanzania.
ISSUE NI DIPU!!!!!
winnie mtui retweeted
1. GEN Z, LEO MMEKUWA VINDICATED! Mpaka wazee sasa wamejoin movement yenu ya kudai haki………
2. Kama hali hii itaendelea Tanzania basi nawahakikishia ndani ya 5-10 years itaibuka armed group Tanzania. Historia inakwambia hili……
3. Jeshi la JWTZ, JESHI LA POLISI NA USALAMA WA TAIFA - VIMETEKWA KAMA CCM ilivyotekwa……
winnie mtui retweeted
Replying to @SuluhuSamia
@SuluhuSamia @ccm_tanzania
This is what you did to the people of Tanzania for the sake of power and greed.
1st video: How do you justify shooting protesters as they were running away?
2nd video: How do you justify shooting people who were simply sitting in a café, not even protesting? This was about instilling fear.
3rd video: You went into residential neighborhoods and shot mothers who were simply sitting outside their homes. These children are scared forever.
4th video: This is not ordinary police ammunition. This is military-grade ammunition.
winnie mtui retweeted
Replying to @mangekimambi
Yan ugunude mimba ikiwa na 5 months?
Wakati ili maumbile ya mtoto yakamilike vizuri ni 1st trimester ni miezi 3 ya mwanzo , na ndo mama hupata physiological and psychological charges during pregnancy, na usijue ?
Unakuja kujua ikiwa na miezi 5 ?
MAYBE YA ROHO MTAKATIFU
winnie mtui retweeted
Wale mnaoogopaga kutoa habari mpaka ni prove ni mimi, sijui tufanye video call sijui nini haya nimemaliza tatizo. Sasa account yangu ya WhatsApp iko verified.
Wewe jimwage unavyotaka, hakuna mtu atakaa kujua wewe ndio umeniletea habari. Usiri na kuwalinda waleta habari ndio siri ya mafanikio tuliyoyapata so far kwenye safari hii ya kudai haki kwenye nchi yetu.
Samia, TCRA na wauwaji wa CCM hawana access yoyote na WhatsApp na hawawezi kuona wala ku access messages za WhatsApp. Au kama huiamini WhatsApp, pia napatikana app ya signal kwa same number au username mangekimambi.80
winnie mtui retweeted
Hongera Mzee kwakuwa Mwanademokrasia wa kweli kwenye hili.










