Kaka @thomasjkibwana leo mkeka wako umechanika.
2
1
718
Elihuruma John retweeted
2028/29 anarudi kundini. 2030 anachukua fomu na kugombea Urais kama anti-establishment.
Elihuruma John retweeted
Tuchukue vijana toka shule za vipaji kama Kibaha, Ilboru, Mzumbe, Tabora nk, tuwasimamie wapate vyuo vya nje vinavyo ongoza katika Teknolojia, wasome wapate ujuzi kisha tuwarudishe nchini tuwape nyezo wanazohitaji ili wafanye mabadiliko makubwa katika Teknlojia na Uhandisi nchini
Inatakiwa iwe vijana kutoka nchi nzima sio hizo shule ulizotaja tu . Pia kuna uwezekano watu wasio na sifa wakapata nafasi, kulingana na maslahi wachache watarudi na wakirudi watakimbilia kwenye siasa.
Tuchukue vijana toka shule za vipaji kama Kibaha, Ilboru, Mzumbe, Tabora nk, tuwasimamie wapate vyuo vya nje vinavyo ongoza katika Teknolojia, wasome wapate ujuzi kisha tuwarudishe nchini tuwape nyezo wanazohitaji ili wafanye mabadiliko makubwa katika Teknlojia na Uhandisi nchini
52
Elihuruma John retweeted
Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema hayo Julai 24, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (#THRDC) unaofanyika Jijini Dar es Salaam.
Fuatilia zaidi jamii.app/NchimbiKatibaMpya
#JamiiForums #Siasa #JFMatukio #Democracy
Elihuruma John retweeted
Mdau, ukisikia Haki za Binadamu unaelewa ni kama zipi?
Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi amezungumzia hoja kuhusu Haki za Binadamu katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (#THRDC).
Fuatilia zaidi jamii.app/HakiBinadamu
#JamiiForums #Utawala #HakiZaBinadamu
Elihuruma John retweeted
DAR: Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Taifa haliwezi kuwaza kitu pamoja katika kila kitu, amesema hayo leo Julai 24, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (#THRDC).
Zaidi jamii.app/WatuRoboti
#JamiiForums #JFDemokrasia #UtawalaBora
Elihuruma John retweeted
DAR: Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi ameyasema hayo Julai 24, 2026 alipokuwa akizungumza kwenye kipindi kinachorushwa na Wakili TV.
Mjadala unaendelea jamii.app/CCMkukosolewa
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa
Elihuruma John retweeted
DODOMA: Mahakama Kuu inatarajiwa kutoa uamuzi wa mapingamizi yaliyowekwa na Chama Cha Mapinduzi (#CCM) dhidi ya Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa, ambaye anapinga uhalali wa mchakato uliompitisha Rais Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwania urais kupitia Chama hicho.
Mawakili wa CCM, Fabian Donates na Alex Mgongolwa, leo Agosti 19,2025 wamewasilisha mapingamizi wakidai hatua za kufungua shauri hilo hazikufuatwa, huku wakisisitiza mlalamikaji alipaswa kuandika barua kwa Katibu Mkuu badala ya mwenyekiti wa Chama.
Aidha, wakili wa mlalamikaji, Denis Maringo, amesema taratibu zilizingatiwa kwani Februari, 2025, Dkt. Malisa alimwandikia barua Rais Samia akilalamikia uteuzi wake, ambapo baada ya hoja za pande zote kusikilizwa, Kesi hiyo imeahirishwa hadi Agosti 22, 2025.
Soma jamii.app/MalisaNaCCM
#JamiiAfrica #JamiiForums #Siasa #Demokrasia #UchaguziMkuu2025 #Governance
Elihuruma John retweeted
Wizara ya Elimu nchini Ethiopia imetoa Mwongozo mpya unaopiga marufuku Viongozi wa Serikali na viongozi wa Kisiasa nchini humo kutunukiwa Shahada za Heshima (Honorary Doctorate).
Agizo hilo ambalo limetiwa saini na Waziri wa Elimu Nchini Ethiopia Profesa Berhanu Nega kuwasilishwa kwa Vyuo vikuu na taasisi za Elimu nchini humo limezitaka taasisi hizo hususa ni Vyuo ambavyo Wanafunzi wake hawajahitimu angalau awamu nne na havitoi Shahada ya Uzamilivu havitoruhusia kutokoa shahada ya Heshima.
Mwongozo pia unaeleza kuwa Shahada za Heshima zinaweza kutolewa kwa raia wa Ethiopia au Wageni waliotoa mchango wa kipekee katika taaluma au nyanja zao za kazi. Tuzo hiyo inaweza kutolewa kwa mtu mmoja au kikundi kilicho hai au kilichofariki, mradi kimekidhi vigezo vilivyowekwa.
Aidha kuna masharti ya vizuizi Kifungu cha 2 Ibara ya 10 kimeeleza kuwa wafanyakazi wa kudumu wa vyuo vikuu, wajumbe wa Seneti au miundo ya uongozi hawawezi kupokea shahada ya heshima wakati bado wako kazini, isipokuwa pale ambapo uhusiano wao rasmi na chuo hicho umeisha na pia viongozi wa serikali walioko madarakani hawataruhusiwa kuteuliwa kabisa.
Sambamba na hilo kwa mujibu wa masharti ya mwongozo huo chuo kikuu kitakachotoa shahada ya heshima kinapaswa kuwa kimehitimisha angalau wanafunzi wa awamu nane, kinatoa kozi ya PhD, kinakubalika kwa viwango vya kitaifa na kimataifa na kutokana na masharti haya, vyuo vipya kama vile Selale, Dembi Dolo, Mekdela Amba, Raya, na Debarak havitaruhusiwa kwa sasa kutoa shahada za heshima.
#MillardAyoUPDATES





















