Ati aje 🤣
Baada ya kuumishwa dust sana na wasichana hii Nairobi, nilikaa chini nikaamua sitawai kaa na dem mmoja pekee tena. So nilitafuta wawili na nikaanza kuishi vizuri kama wale wanaume wengine, na pia ndio at least mmoja akiniacha, nibaki na huyo mwingine akinisaidia kupanguza dust nitakuwa nimekulishwa na mwenzake.
Sasa, nilimake sure napanga shifts zao vizuri wasikuje wakajuana ama wakakutana hapa waniletee dramas. Lakini nakwambia this mapenzi thing was not meant for me buana. Three months into those relationships, wasichana wote wawili waliamua kuniacha on the same week. Na ujue hawakuwa wanajuana or any of them akasuspect wanafanyia ile kitu Millenial walikuwa wanaita double dealing. Apaana, walinighost tu hivo because of their own individual reasons. Hapo nakwambia nilikula dust double double mangai.
Hey dia,Im a proud owner of 20 Kenya airways shares and Im honoured by your remarks,unaeza nitembelea nikuoneshe sufuria ya plastic akiz
Oee @AIB_AXYSAfrica jambo very much as a beginner investor kwani mtu anabuy aje shares akiz,mnicomb juu kila saa nikipress buy inasema hivi









