DPM retweeted
FARMING LESSON:
MULCHING:
Mulching is the process of covering the soil surface around the plants with either organic or inorganic materials.
In this TWEET-THREAD, we are going to talk about MULCHING in details (Types, Importance and Rules of Mulching).
THREAD: 1/15.
DPM retweeted
JE USHAWAHI KUJIULIZA NI NAMNA GANI FORENSIC INVESTIGATORS WANAWEZA KUKADIRIA HUYU MTU AMEFARIKI MDA GANI..?.
Ambatana na Mimi katika Uzi Huu...Usisahau kuretweet kwa manufaa ya wengi zaidi.
Na usisahau Kunifollow for More Updates.
POSTMORTEM CHANGES....👇👇👇 🔞
DPM retweeted
Mwaka 1999, mwandishi wa habari alimuita Mwanamuziki wa Pop;Bob Geldof na kufanya interview kuhusu muziki wake, maisha kwa ujumla, na aliongea maneno mengi sana kuhusu Teknolojia(Especially Simu).
RT&LIKE&COMMENT&FOLLOW ME I FOLLOW BACK Twende pamoja na Mdogo wenu wa 2000s..✍️👇
DPM retweeted
VIDEO: Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akiwa katika ziara ya kikazi mkoni Ruvuma amekagua mradi wa ujenzi wa skimu ya umwagiliaji katika kata ya Muhukuru wilaya ya Songea na kutoridhishwa na kusuasua kwa ujenzi huo.
DPM retweeted
Some people will never engage in your tweets because they are jealous of your winnings.
DPM retweeted
Leo tarehe 30th jumla ya minada sita ya korosho imefanyika jumla ya Kilo 23,228,642 zimepelekwa minadani ,Wakulima wameuza jumla kilo 16,360,726 . Bei ya juu ni 2,200 na bei ya chini ya wastani 1800 kwa kilo
Wiki ya kwanza bei ambazo wakulima walikataa ilikua 2,220 kwa 1,480 .
DPM retweeted
Replying to @Athena_Codes
Kuwa nazo tu nyingi wataacha kuomba, Wanawake wanavutiwa zaidi na vitu ambavyo hatuna 😎
DPM retweeted
Kadri tunavyozidi kuishi ndivyo tujitahidi kupunguza uongo tuliomezeshwa kwa muda mrefu sasa. Kwa mfano kuna ofisi inayoitwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli tunaye mtu kama huyo, au tuliye naye ni Waziri Mkuu wa Tanganyika ru? Tufikiri kidogo, tutaona.
DPM retweeted
Ndugu msomaji naomba retweet yako, jisikie huru kuuliza maswali au kutoa maoni uliyo nayo.Kama una shida nicheki wa.me/255655862858
-DIGITAL NURSE-
DPM retweeted
Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ameongoza kikao cha pamoja na Waagizaji wa mbolea nchini, Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea TFRA) na Wataalam wa Wizara ya Kilimo katika maandalizi ya mpango wa kutoa ruzuku ya mbolea katika msimu ujao wa kilimo.
#Ajenda10/30 #KilimoNiBiashara – at Dodoma, Tanzania

































