Francis Nyoni, PhD retweeted
In academia, success means your calendar gets full of talking about work you no longer have time to do.
Francis Nyoni, PhD retweeted
6.11.2026: Hukumu ya TUNDU LISSU NA KUMBUKUMBU YA KESI YA MWALIMU NYERERE YA MWAKA 1958. HISTORIA INATUFUNDISHA NINI?
Leo, tarehe 6 Novemba 2026, Tundu Lissu ameshinda kesi ya uhaini lakini mahakama ikasema amepatikana na hatia ya uchochezi (incitement) na kuhukumiwa kifungo cha miaka 4. Tunamshukuru Mungu kwa kesi ya uhaini kutupiliwa mbali na kumpongeza Lissu kwa umahiri na ujasiri wake hadi kujitetea. Lakini hukumu ya uchochezi inasikitisha, inafikirisha na inatukumbusha historia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, ambaye naye mwaka 1958 alikutwa na hatia ya jinai ya kashfa (criminal libel) wakati wa harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika.
Makosa haya mawili ni tofauti kisheria, lakini kesi hizi zinafanana katika jambo muhimu: zote zilihusu kiongozi mkuu wa upinzani aliyeshtakiwa na Serikali kutokana na kauli zake za kisiasa.
Turejee historia.
Tarehe 27 Mei 1958, Mwalimu Nyerere alichapisha makala katika gazeti la Sauti ya TANU, Toleo Na. 29, akiwakosoa Wakuu wawili wa Wilaya wa Serikali ya kikoloni kwa madai ya kutumia madaraka yao vibaya na kuihujumu TANU.
Akafunguliwa kesi ya jinai Na. 2207/1958 chini ya kifungu cha 187 cha Kanuni ya Adhabu (Penal Code). Serikali ya Uingereza ilitoa maelezo kuhusu mashtaka hayo katika Bunge lake (House of Commons) tarehe 26 Juni 1958.
Nyaraka za UN zinathibitisha kwamba Mwalimu alikutwa na hatia katika mashtaka mawili na kuhukumiwa kulipa faini ya shilingi 3,000 za Afrika Mashariki, sawa na pauni 150 za wakati huo, au kifungo cha miezi sita. Alilipa faini tarehe 12 Agosti 1958 na hakukata rufaa.
Kesi hiyo ilizua mjadala mkubwa. Wanaharakati wa kupigania uhuru huko London walihoji iwapo Mwalimu angepata haki katika mahakama za kikoloni na kudai kuwepo kwa waangalizi huru. Serikali ilikataa, ikisisitiza kuwa uamuzi wa kufungua mashtaka ulikuwa chini ya mamlaka ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Miaka 68 baadaye, tunajikuta tena tukitafakari maswali kuhusu uhuru wa kisiasa, matumizi ya sheria za jinai na nafasi ya mahakama katika mfumo wa kidemokrasia.
Pamoja na hukumu ya mwaka 1958, Mwalimu Nyerere aliendelea na harakati zake hadi Tanganyika ilipopata uhuru mwaka 1961.
Funzo muhimu ni kwamba hukumu ya jinai dhidi ya kiongozi wa kisiasa si lazima iwe mwisho wa safari yake ya kisiasa. Historia inaonesha umuhimu wa kuendeleza majadiliano (dialogue) badala ya mapambano na vurugu (confrontation).
Kwa wanaothamini demokrasia, mfumo wa vyama vingi, haki za binadamu, uhuru wa kujieleza na utawala wa sheria, hukumu ya uchochezi dhidi ya kiongozi mkuu wa upinzani inaibua maswali mazito yanayohitaji mjadala mpana wa kitaifa.
Je, mipaka kati ya ukosoaji halali wa Serikali na uchochezi wa jinai ikoje?
Je, mwanasiasa awe mpinzani au wa chama tawala atakosoa je Serikali au kudai maboresho au mageuzi bila kuhofia kutafsiriwa kuwa mchochezi?
Je, wananchi watawezaje kudai haki zao kwa nguvu ya hoja bila kuonekana wanachochea uvunjifu wa amani?
Walimu na wanataaluma tutawezaje kufundisha, kuchambua sera, kutoa mapendekezo na kukosoa mifumo ya utawala bila kuhofu kuitwa wachochezi?
Viongozi wetu wa dini watawezaje kutekeleza wajibu wao wa kinabii wa kukemea maovu na kusimamia haki bila kuonekana wanachochea waumini wao?
Uhuru wa kujieleza una mipaka yake na hauhalalishi haki ya kukashfu, kuchochea vurugu au uhalifu. Lakini ni muhimu sana kuweka mipaka iliyo wazi kati ya uchochezi wa jinai na ukosoaji halali wa kisiasa.
Iwapo sheria za jinai zitatumika kudhibiti ukosoaji halali wa kisiasa au kitaalamu, tunaweza kujikuta tunadhoofisha demokrasia, haki za binadamu, kuongeza hofu na kuzidisha mkwamo wa kisiasa na kiuchumi badala ya kuutatua.
Hukumu ya leo inatupa sababu nyingine ya kujadili kwa kina uhuru wa kujieleza, uhuru wa mahakama, haki za raia na za vyama vya upinzani na mipaka ya matumizi ya sheria za jinai katika siasa.
Ninarejea msisitizo wangu wa muda mrefu kuhusu falsafa ya Rais Samia ya 4Rs. Tujenge utamaduni wa kusikilizana na kukosoana kwa hoja
TUJISAHIHISHE
I'm honored to participate in the Training of Trainers program and be part of the global agenda on Renewable Energy Education under the READ ProjectOrg project funded by the European Union under the Erasmus+. Representing the @StAugustineoftz in the consortium. #readproject #ToT
The @ReadProjectorg has landed in Kütahya, Türkiye!
The Training of Trainers (ToT) Programme takes place 21–25 September 2026, strengthening the pedagogical and technical capacity of academic staff in renewable energy education. @EU_in_Somalia @EUErasmusPlus @ICESomalia
25
Francis Nyoni, PhD retweeted
The @ReadProjectorg has landed in Kütahya, Türkiye!
The Training of Trainers (ToT) Programme takes place 21–25 September 2026, strengthening the pedagogical and technical capacity of academic staff in renewable energy education. @EU_in_Somalia @EUErasmusPlus @ICESomalia
Very true
Kuna mabadiliko yametokea ambayo ni magumu sana kuyabaini.
Miaka ya 2000 hadi 2010 kabla ya utanuzi wa barabara za Dar es Salaam, foleni ya hili jiji ilikuwa kali sana, hadi madereva na abiria walikuwa wanaweza kuzima gari, kushuka nje na wakaa kupiga stori, kupunga upepo na kunywa soda wakisubiria foleni isogee.
Na foleni inaweza ikasogea kwa mita 500 ndani ya lisaa limoja. Kuna nyakati raia walikuwa wanaamua kutembea kwa miguu kutoka Posta hadi Ubungo na wakafika kabla au sambamba na gari waliloanza nalo.
Dar es Salaam used to be hell!
35
Chanjo imekuwa kama kukata utepe wa madarasa? Mtu ambaye sio Medical Practitioner ana-administer vipi utoaji wa chanjo?
1
50
Future ipo kwenye mikono ya wenye teknolojia. Consumerism at its expansion globally.
Nimeambiwa hii posti imeleta mjadala kidogo kwenye vyumba mbalimbali, hivyo naomba kuweka muktadha. Kwanza, Tanzania na nchi nyingi za Afrika siyo za kwanza kuwa na kampuni zinazofanya tafiti, uzalishaji, uuzaji na usambazaji wa mbegu bora au za kisasa, na mimi sina tatizo na teknolojia au mbegu zinazoongeza uzalishaji. Hoja yangu ni mfumo unaojengwa nyuma ya bidhaa hizi na namna unavyoweza kubadilisha mtumiaji kutoka kuwa mzalishaji mwenye uwezo wa kujiendeleza na kuwa mteja wa kudumu.
Nimeipata hii video ikionyesha hali ilivyo katika baadhi ya mataifa makubwa na yaliyoendelea, na kinachonivutia ni kwamba mambo haya hayaji kama tukio moja kubwa linalotangazwa na kila mtu. Yanakuja taratibu. Usimiliki mbegu kwa sababu unatakiwa kununua tena msimu unaofuata. Usimiliki software kwa sababu unatakiwa kulipia subscription kila mwezi. Usimiliki kikamilifu gari, printer au simu kwa sababu baadhi ya uwezo wake unadhibitiwa na software na kampuni iliyotengeneza. Kwenye mifugo unaweza kupewa aina inayokua kwa kasi lakini haiwezi kuendelezwa kirahisi kizazi hadi kizazi, hivyo kila kizazi kinakuwa mwanzo wa manunuzi mapya.
Anyway, siyo mjadala rahisi na watu wanaweza kuona kama hili ni shambulizi dhidi ya maslahi yao. Halikuwa lengo langu. Wanisamehe
1
71
Francis Nyoni, PhD retweeted
🚨🔵🔴 BREAKING: Barcelona agree deal to sign Gabriel Jesus from Arsenal, here we go!
Exclusive details: medical booked on Monday, #AFC to receive €10m package plus add-ons for permament deal.
Gabriel Jesus will travel for medical as authorized by Arsenal.
Francis Nyoni, PhD retweeted
🚨🇪🇸 𝗣𝗘𝗣 𝗚𝗨𝗔𝗥𝗗𝗜𝗢𝗟𝗔:
🗣️ “I will unanimously support FC Barcelona in their Champions League clash against Manchester City. The reason is simple — I love Barcelona more than I love myself. 🔵🔴❤️
🗣️ “Manchester City was a job I did, but Barcelona is a club that lives in my heart. That connection will always be different.” 🏟️💙
Francis Nyoni, PhD retweeted
🚨 💣 MAJOR BREAKING: Manchester City star Erling Haaland has hired agent Jorge Mendes as he eyes Barcelona! Mendes holds strong ties with both Manchester City and Barça,Haaland sees no future with Enzo Maresca.!!
Francis Nyoni, PhD retweeted
🚨🎙️| Pep Guardiola:
For so long, I knew Rodri would eventually end up at Barcelona. He’s a great player and a key part of my squad, so I told him to wait until I left Manchester City before making the move to Barca. Today, he has finally fulfilled his dream. I made it happen I forced him to wait so he could go and play for the greatest club of all time.
Francis Nyoni, PhD retweeted
🚨 𝐄𝐗𝐂𝐋:
CAF Referee of the Year Omar Artan has been invited by UEFA to attend the UEFA Men’s Summer Course 2026 in Geneva, Switzerland. 🇨🇭
The course will take place from 31st August to 2nd September 2026.
UEFA has also indicated that they want Omar Artan to officiate football matches in Europe.
UEFA has sent an official letter to CAF and the Somalia FA to inform them about the invitation.
#CAF
#UEFA
#AfricanFootball
Mambo ndiyo haya ¡Vamos @FCBarcelona_es
🚨🔵🔴 EXCLUSIVE: RODRI TO BARCELONA, HERE WE GO! 💥
Deal agreed for Spanish midfielder to join Barça from Man City, all done for the former Ballon d’Or.
Green light from Man City to last Barcelona bid.
More follows. 💣
31
Francis Nyoni, PhD retweeted
The real way to detect AI isn't with software tools; it's asking, "Did this teach me something new?"
90% of AI content fails that test… but 90% of human writing fails it too.
Most AI writing is boring, but honestly, so is most human writing. AI didn't invent bad content; it just made average content cheaper to mass-produce.





























