Pinned Tweet
WAWEKEZAJI WA REAL ESTATES NAWAPA MALI HII, ENEO LA UFUKWENI LINAUZWA
MAHALI: Mwanza Tanzania, Ilemela.
UKUBWA:Hekari 3.5
SIFA ZA ZIADA:Eneo lipo mita 500 kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwanza
BEI: 450,000,000 tsh (negotiable) MAW: 0761419399
Mboso Khan mshedede
Chino
Mario
King Kiba
Jay Melody
Kiukweli waliotajwa hapo juu Kazi zao ndo zinawabeba....Hongera kwa la Masimba ila nguvu anayotumia ni kubwa mno sii kitu kibaya as zinampush International...hao niliowataja wakitoa ngoma kama ni nzr inaenda bila kiki.....😅
Chigaka ndo huyo bonge?
Sio mwanasiasa, ila ni msafara wa kijana mmoja hapo #Kahama kashusha basi mpya 🔥🔥
Hajachoka wala nn, si alitangaza angerudi yani alikua analiwa kichwa maoni pale bila ajizi
Hiki kitamkuta Odo mama yake wa kambo na mporipori





























