@ms_tebbe

Nauza nguo za mtumba za watoto gradeA,na mpya.Pia nauza pochi za kike,viatu za kiume.PITIA PHOTOS KUTAZAMA BIDHAA

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2014
Quality is 🔥🔥 Bei tsh145,000 Call/whatsp 0654 328893 Popote unatumiwa kwa uaminifu Karibu sana😘.
4
23
28
421
Tebbe 🫦 retweeted
Life.
1
3
4
82
Usijilinganishe na mfanyabiashara aliyefanikiwa kwa sababu hujui ni changamoto ngapi amepitia mpaka kufika hapo alipo ✍️✍️✍️
2
5
8
73
Miaka 23 namiliki BNB mbweni.wewe una miliki nini ndugu? – at Dar es Salaam, Tanzania
8
9
17
379
Tebbe 🫦 retweeted
Miradi ya NHC unanunua nyumba 260m afu bado utatakiwa kulipia 400k kila mwezi kama gharama ya ulinzi na maintenance mpaka unakufa. Hapa si ni kama bado umepanga 😂😂
24
18
8
185
14,151
Tebbe 🫦 retweeted
Ila 🤔🤔
6
4
21
1,200
MWEKE MUNGU MBELE ♥️ Mshukuru YEYE kwa kila kitu alichokupa !! #jumamosinjema
8
17
2
59
939
Tebbe 🫦 retweeted
Mambo, mnyamwezi hapa! naomba nikuoe, nikuweke ndani uwe wangu pekeyangu
Mpaka kupika pilau najua ila kunioa hamtaki😂😂
1
4
9
129
Tebbe 🫦 retweeted
MFALME WA VIKAPU KARUDI TENA 🤑🤑🤑 🤑 CHINESE BASKETBALL IMELIPWA 💥 💥 💥 1 MILLION TZS WAS PAID. Kaa karibu na Hii page uwe mshindi Ushindi mfululizo,hatuchani Ovyo Kujisajili DBBET chini 👇 Link ya kujisajili👉 Dbbet Promocode jaza: 👉 JOBE RT PLEASE
BASKETBALL 🏀 🏀 02+ ODDS OF THE DAY🔥 Betcode ▶️ 2F2LX 💥STAKE HIGH STEP 1: ✳️ Register/Play👉 Dbbet STEP 2: ✅ 🎁Use Promo Code: JOBE RT TAFADHALI
3
1
3
92
Ila 🤔🤔
6
4
21
1,200
Ndo nachopitia now! Ila sala zinanisaidia kunipa Amani ya Moyo🤲
2
5
12
286
Tebbe 🫦 retweeted
Maisha ni vile utakavyoamua wewe ila amini sikupangi njia zilizonyooka zinachelewesha sana.Kama kuna namna unaweza kupita Shortcut fanya hivyo wepesi.
6
6
28
378
✍🏿
1
2
5
140
Tebbe 🫦 retweeted
Ila wanaume 😂😂🙌
4
6
15
2,275
Tebbe 🫦 retweeted
Maandamano ya wanafunzi huko Albania😂
2
5
16
499
Mwalimu anapouliza nani ana swali lakini wewe hujui chochote lakini unataka tu kuonekana uko macho 😂😂😂
1
8
18
429
Tebbe 🫦 retweeted
Malawi Mazombie ni Mengi😅
5
6
14
558
Ya 10k bei ni 150 Ya 17k bei ni 220k Njooni mnunue acc☺️❤️
5
15
26
533
Tebbe 🫦 retweeted
Leo hiyooo....!
7
9
31
425
Tebbe 🫦 retweeted
Mcheki @MkulimaKante akuuzie wine yuko msimbazi muda huu. Wine yake nzuri sana
22
39
5
91
3,445
Tebbe 🫦 retweeted
Leo JUMUIYA amekuja demu mgeni, mzuri vibaya mno, ikabidi niombe namba, natoa simu mfukoni, imezima chaji na yeye kaacha simu ikabidi niombe karatasi niiandike, nafika Getho nikaanza kufua, ile nakuja kusituka kikaratasi cha namba kimelowana na kuchanika kabisa. Sija heal💔🥲🙌
11
14
1
44
1,416