
#Unlockyourpotential || Mentor || Mtaalamu Wa Akili za Binadamu na Tabia zake || Sensei๐ฅท๐ป|| MT II Drone Pilot #YangaAfrica #COYG #GIFTEDmind #ElimikaWikiendi
Dodoma, Tanzania
Joined July 2015
- Tweets52.3K
- Following7K
- Followers9.7K
- Likes41.3K
Pinned Tweet
HATUA MUHMU ZA UKUAJI WA MTOTO ANAPOZALIWA MPAKA MIAKA MITANO
UZI๐๐ป๐๐ปTusome tusi sahau ku RT tushuke sasa.
Makau. Js retweeted
Congratulations 25+ ODDS BET FOR THE DAY BOOOOOOOOOOOOOOM๐คฃ๐คฃ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐คฃ๐คฃ๐ฅ๐ฅโ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
๐๐๐๐๐๐๐
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
๐ Congratulations to all Stakers๐ง๐ฐ
Makau. Js retweeted
Huyu QBOY zamani alikua Designer wa Diamond kabla ya Noel sijui amekutwa na nini jamaa Afya imezorota sana kiasi kwamba ameamua kurudi kukaa uswahili, na analipa kodi ya chini ya 30K kwa mwezi, imagine kutoka kwenda SA kama unaenda Mbeya hadi kukaa Uswahilini kodi ya 30.
Makau. Js retweeted
Imeripotiwa kutokea kwenye benki moja Nigeria. Mlinzi wa benki, ambaye kumbe alikuwa mhitimu chuo kikuu, alimwendea Meneja na kuomba nafasi ya kufanya usaili wa kazi iliyokuwa wazi hapo benki.
Akaruhusiwa kufanya mtihani na cha kushangaza akawa msailiwa bora zaidi! ๐ฎ๐
Ijumaa: alikuwa mlinzi.
Jumatatu: akaanza kazi kama banker. ๐ผ
Usidharau mtu kwa nafasi aliyonayo leo. Nafasi moja inaweza kubadilisha maisha yake kesho.
Makau. Js retweeted
7/7 CORRECT SCORES๐๐๐
STAKE RESPONSIBLY & FLEX๐๐ฅ
Estoril Praia ๐ต๐น 1-3 ๐ต๐น Benfica
Porto ๐ต๐น 2-1 ๐ต๐น Santa Clara
Leverkusen ๐ฉ๐ช 3-1 ๐ฉ๐ช Hamburger
Freiburg ๐ฉ๐ช 1-2 ๐ฉ๐ช Leipzig
Al Hilal ๐ธ๐ฆ 3-1 ๐ธ๐ฆ Neom
Viking ๐ณ๐ด 3-0 ๐ณ๐ด Start
Willem ๐ณ๐ฑ 2-1 ๐ณ๐ฑ Almere City
REPOST For The Street
Makau. Js retweeted
Ukipoteza NIDA Idโ unatakiwa upeleke
1. Loss report
2.barua ya serikali ya mitaa
3.cheti cha kuzaliwa copy na orrignal
4.Nida Id ya Mzazi kama hana upeleke kiapo
5. Passport size 2
6. Elfu 20.
Mambo kibao utadhani unataka u renew uhai..๐๐พ
Makau. Js retweeted
Unanunua Bus Jipya Million 300, kwa Mwezi linafunga faida ya 10M, inakuchukua miaka 3 lile bus kurudisha ile Ela (Ambapo wengi bus wanatumia Miaka 2 linakuwa limechoka) apo kuna interest za Bank ๐
Makau. Js retweeted
Kiswahili fasaha;
Usiseme Wakina โ mama, baba = Sema Akina โ
Mama, baba
Usiseme
Tangia โ = Tokea โ
Mahusiano โ = Uhusiano โ
Makande โ = Kande โ
Mapacha โ = Pacha โ
Makampuni โ = Kampuni โ
Makaratasi โ = Karatasi โ
Misamiati โ = Msamiati โ
Lete โ = Leta โ
Makau. Js retweeted
Pleaseeeeee hold ๐๐ญ






































