Pinned Tweet
Kuna siku nitakuja kuwa punter mkubwa na milionea hapa bongo (Ardhi ya mbambadu)ntatumia nafasi hyo kuiaminisha jamii,mitaa inayotuzunguka km betting ni sehemu ya investment km ilivo baadhi ya nchi na kupewa heshima kubwa... very soon 🔜💰💯🎉
Pablo El Chapo retweeted
Kuna muda najiulizaga hivi hawa wakina MASAJU sijui majaji nao walisoma Darasa hili hili la sheria walilosoma wakina MWABUKUSI?
Wajomba wakishafika kwenye TEUZI vichwa vinageuka kama PANGO LA MENO.
Pablo El Chapo retweeted
WAZEE SIO WA KUJIVUNIA TENA ENZI HIZI.🙇🏽♂️
BIG YES 👍🏾 🙌🏾
GENZ WAMEKUWA WENYE MADINI NA HEKIMA KULIKO WAZEE.
Wazee nao wana tamaa ya fedha! 🤦🏾♂️🙌🏾
Pablo El Chapo retweeted
“Mnatoa hukumu za aibu kama ya Lissu halafu unasema msijajadili, aliyekwambia Hukumu haijadiliwi nan?..”-; @Mwabuk2Boniface , Rais wa TLS
























