๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
Eee Mwenyezi Mungu Tujaalie Vipato Vya Halali,Tusiipende Dunia Na Mali Zake,Tuipende Akhera,Maana Sisi Duniani Tu Wasafiri,Tujaalie Hekima Juu Ya Maamuzi Juu Ya Wale Wanaotukosea,Tusiwahukumu Sisi Bali Tuwasamehe,Yarabi Tukumbushe Kufanya Ibada Natoba Tupe Mwisho Ulio Mwema ๐๐ฝ๐๐ฝ
Ricky retweeted
Pambania unachokiamini
Watunze unaowapenda
Waheshimu wanaokupenda
Mshike anayekushika
Mpende anaekupenda
Usipoteze mda kwa asiye na mda na wewe maisha ni mafupi mno.
โ๐ฟโ๐ฟโ๐ฟโ๐ฟโ๐ฟ
Ricky retweeted
Hujabarikiwa na Mungu ili uje kuwalipizia waliokutenda siku za nyuma. Kimbizana na baraka zako, muachie Mungu huyu huyu aliyekubariki apambane na waasi wako. Watakupotezea muda ambao ungeutumia kufanikiwa zaidi.
Ricky retweeted
Tumia muda wako mwingi kutafuta PESA, kamwe hutokwazika na vitu visivyokuingizia pesa... and most importantly PESA kamwe haitakukwaza.








