๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
Ni umaskini tu,,, kama mzazi unatakiwa upambane sana mtoto wako asije kusoma hizi shule za kata
Nimeoana baadhi ya video, Wanafunzi waliomaliza form IV wengi wao tayari wameshaharibikiwa kabisa
๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
Young Africans SC have parted ways with head coach Manqoba Mngqithi with immediate effect.
It follows the 0-0 draw with TRA that left them five points off leaders Simba SC.
#TimuYaWananchi ๐ฐ
๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
BRO TO BRO
Endelea kubadilisha wapenzi ovyo, hivyo hivyo ndivyo utakavyokuwa unabadilishiwa manesi wa zamu wodini
๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
โUtopolo toka mwaka juzi alishakata upepo, ni sisi tu huwa tunaleta michezoโฆ.โ
Mdau kutoka DM.
๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Rugemeleza Nshala amesema mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu amesema kuanzia Jumatatu, Oktoba 26, 2026, ataanza mgomo wa kutokula baada ya kunyimwa haki yake ya kukutana na mawakili.
๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
Mahakama ilitoa AMRI ya Mh Lissu kupata FARAGHA ya kuzungumza na mawakili wake ila MAGEREZA wameipuuza mahakama.
Hii nchi inakera kinomaโhakuna kitu kinaenda sawa kabisa. Kila mtu anaamua anavyotaka yeye na mapenzi yake.
Tunasafari ndefu sana kama taifa.
๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
#HABARI Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema watuhumiwa wawili wanaodaiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na uporaji wa pikipiki wamefariki dunia baada ya kujeruhiwa katika mapambano na askari wa polisi eneo la Kijenge, jijini Arusha.
Watuhumiwa hao ni Yusuph Hamis, maarufu kama Yuzo, na Dickson Livingstone, anayefahamika kwa jina la Ndesaa.
Kwa mujibu wa polisi, tukio hilo lilitokea Oktoba 21, 2026, majira ya saa 3:30 usiku, ambapo watuhumiwa hao walifariki dunia walipokuwa wakipatiwa matibabu hospitalini.
Akizungumza Oktoba 22, 2026, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, SACP Justine Masejo, amesema watuhumiwa hao walijeruhiwa wakati wa mapambano na askari, huku wakidaiwa kujaribu kuzuia kukamatwa kwa kutumia silaha.
Polisi wamesema watuhumiwa hao walikutwa na bastola, panga pamoja na pikipiki mpya isiyokuwa na namba za usajili.
Kwa mujibu wa Kamanda Masejo, Yuzo alikuwa akituhumiwa kuongoza genge la uhalifu linalohusishwa na matukio mbalimbali, yakiwemo mauaji ya madereva wawili wa bodaboda, Erasto Losujaki, aliyekutwa amefariki dunia eneo la Olkaria, Arumeru, Aprili 28, 2026, na Adiel Thomas Spitari, aliyeuawa katika Kijiji cha Likamba, Wilaya ya Arumeru, Septemba 15, 2026. Katika matukio hayo, pikipiki za marehemu ziliripotiwa kuporwa.
Aidha, polisi wamesema watuhumiwa hao waliwahi kufikishwa mahakamani na kuhukumiwa kwa makosa mbalimbali ya jinai, yakiwemo unyangโanyi wa kutumia silaha na kuvunja nyumba na kuiba.
Jeshi la Polisi limesema linaendelea na uchunguzi ili kuwabaini watu wengine wanaodaiwa kushirikiana na watuhumiwa hao, pamoja na kufuatilia pikipiki na mali nyingine zinazodaiwa kuporwa. #EastAfricaTV
๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
๐ฃ๏ธ ๐๐ข๐ ๐ฎ๐๐ฅ ๐๐๐ซ๐๐จ๐ฌ๐จ:
โItโs a big knock out this oneโฆ a big punch in our faces.โ
#CAFCL | @Masandawana
VIDEO:
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, ameikosoa Serikali ya Tanzania kwa kile alichodai kuwa ni kushindwa kutengeneza ajira za kueleweka kwa vijana na kuporomoka kwa sekta ya viwanda, huku akiwataka madereva wa bodaboda na bajaji kuacha kutumiwa na wanasiasa wakati wa kampeni na badala yake wadai mabadiliko ya kiuchumi.
Akizungumza Oktoba 23, 2026 katika mkutano wa hadhara uliofanyika wilayani Nzega mkoani Tabora, Heche ameeleza kuwa ni jambo la kusikitisha kuona madereva bodaboda wakipewa jina la "maafisa usafirishaji", kutumiwa wakati wa kampeni za uchaguzi, lakini baada ya kampeni kuisha wanaachiwa mateso ya umasikini.
"Halafu nyie mnaambiwa muendeshe bodaboda na mnaongezewa ujinga mnaitwa maafisa usafirishaji, mnavimba vichwa, wanawatumia wakati wa kampeni kampeni ikiisha mnasema tusemeee bodabodaโ, ameeleza Heche.
๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
๐ฆ๐ด ๐๐๐๐๐๐๐ ๐
๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐! ๐ฅ
Petro de Luanda travelled to Zimbabwe, received a red card in the first minute and lost 2-0 away.
Today, they came home and won 3-0 to book their place in the group stage.
Wiliete SC drew 0-0 at home against Mamelodi Sundowns, travelled to South Africa and held the African champions to a 1-1 draw to qualify on away goals.
Two Angolan teams. Two different battles. Same mission accomplished. ๐
Angolan football deserves serious attention!
#CAFCLwithMicky #AfricanFootball #Angola
๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
๐จ UPDATES โ๏ธ
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Lameck Nchemba ambaye ni mlezi wa Singida Black Stars ๐น๐ฟ amelipia tiketi zote kwaajili ya mechi ya marudiano ya CAF CC dhidi ya Tusker Fc ya Kenya ๐ฐ๐ช
Mechi itapigwa Jumapili hii Oktoba 25 ndani ya Azam Complex.
๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
Mabululu with his trademark celebration! ๐ฆ๐ดโจ
Sundowns need another goal as soon as possible.
Otherwise, Wiliete SC will progress on the away goals rule.
#CAFCLwithMicky #Sundowns
๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
Kuna ma broo flani huwa wanapiga cheers wenyewe na chupa zao mbili mezani ๐ kipindi chan nyuma nilikuwa naona wamedata ila kumbe ni raha bana ๐๐๐๐พ
๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
Mamelod hayupo
Al Ahly hayupo.
Simba na Yanga mshindwe kuchukua Kombe la Klabu Bingwa Barani Afrika?
Kwakweli wadau wa soka hatutawaelewa.
โฝ๏ธ by #JustFit
#ElimikaWikiendi
๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
๐จ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐ ๐๐๐ ๐
๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐
๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐! ๐ฅ
๐ช๐ฌ Pyramids FC: 11 wins
๐น๐ฟ Simba SC: 11 wins
Both clubs are on incredible winning runs across all competitions. ๐ช
๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐? ๐
#AfricanFootball #CAFCLwithMicky #NguvuMoja





























