
No noise. Just growth. 🥷💀 #LFC
Dar
Joined February 2023
- Tweets12.3K
- Following535
- Followers1.5K
- Likes7.1K
.• retweeted
Wiki kadhaa, Raisi wa El Salvador aliingiza jeshi lake nchini HAITI kwa lengo la kumaliza magenge ya kihalifu baada tu kutekwa wanajeshi wake wanne nchini HAITI.
Siku nne zilizopita kuna mdada anaitwa Sophia (F1) alitweet kuwa, toka mwaka 2010 nchi ya Haiti imekumbwa na
⤵️
.• retweeted
Nikikutana na dogo Janja road kajizingatia code kinyamwezi kama Nina buku buku mbili nampoza asikae kinyonge mfukoni nafurahi kuona majanja wenye ubrother men mwingi.
.• retweeted
Christmas za matajiri huanza November alaf kuna sie inaanza tarehe 24 au 25 Dec asbh 😆😆😆
Nimekupangishia Apartment ya 1.2M kwa mwezi.
Nimekufungulia duka lenye thamani ya 2.8M.
Shida zako na za nyumban kwenu nasolve bila shida kabisa.
Wadogo zak nasomesha.
Nakuridhisha kitandan.
Na sijawah kukuchit hata siku1.
Hivi ndo umeamua kunilipa RACHEL!!
Sisi ni pipo😭😭😭
.• retweeted
Tanzania ndio nchi ya kipuuziiii Duniani
Imagine Sugu aliwahi fungwa jela miezi sita
Kosa ni kwamba ali mkasirisha rais
.• retweeted
Katika vitu vinakatisha tamaa wafanyabiashara wa kuagiza bidhaa nje ni cargo, Imagine wanakwambia mzigo siku 3 au 7 ,then unafika baada ya week 2, na ukijaribu kuwauliza shida nini wanakujibu tu we vumilia tu utapata mzigo🥲💔.
.• retweeted
Kipindi nipo chuo Mwaka wa tatu nimewahi kulomba Cycle nzima ya marafiki wa manzi yangu aliekuwa first year walikuwa wanne, hata hivyo vilizidisha tamaa.




















