intelligencefx retweeted
Wanangu @intelligencefx hawachezi wameweka pesa kweli hizo podcast wanafanya 🙌🏽🙌🏽 levels za Dunia
intelligencefx retweeted
Replying to @gabyconscious @intelligencefx
Hawa ndio traders pekee ambao vijana wanatakiwa kujifunza kwao, sio baadhi ya wapuuzi waliojawa chuki na kukatishana tamaa kwenye online hustling...
intelligencefx retweeted
Nimetoka kuchek podcast ya mzee @intelligencefx nimegundua watu wengi wa mjini ig hawajui kama jeff yupo ngome.
intelligencefx retweeted
Replying to @gabyconscious @intelligencefx
WANAIESHIMISHA SANA INDUSTRY!
@intelligencefx 🚀
intelligencefx retweeted
Maisha yamekuwa matamu, baraka ziko kila kona,
furaha imenizidia hadi nimesahau hata kuingia 𝕏
intelligencefx retweeted
“Either wewe ni mwizi au umerithi otherwise ni ngumu kupata pesa ukiwa kijana” hiki ndio kitu kilichopo kwenye akili za wengi,
Ukweli unaoumiza ni kwamba pesa haina urafiki, undugu wala uhusiano na ujana au uzee
na watu wengi hawatofikia level ya kuwa financially free hata wakipewa nafasi ya kuishi 100 yrs,
na sababu sio kutokuwa na pesa(mtaji) au kukosa muda wa kufanyia kazi melengo,
Bali kutokana na tabia mbaya chache, ambazo nimezi-experience kwa macho yangu, sio kwa kusimuliwa wala kusoma kwenye vitabu na sio kwa mtu mmoja au wawili,
Kufika stage ambayo pesa unayoingiza bila kufanya chochote ni kubwa kuliko matumizi yako, stage itakayofanya uamue ufanye kazi gani, saa ngapi na kuwa na full control ya maisha yako ukiwa na hizi tabia ni haiwezekani, ukizi-fix kila kitu kinabadilika,
1. Kupuuza roadmap; hakuna ambae hajui kupata pesa inahitaji kuwa na maarifa, descipline, kuanza biashara, kufanya kazi kwa bidii, kuitathimini kila leo umeitendea haki kiasi gani, wote tunajua mafanikio hayahitaji kuendekeza ulevi, ngono, betting, kubweteka,etc
2. Kuongea na kupanga sana na sio kuanza; vitu unavyosema utaanza kufanya tangu January mpaka leo tuu ungekuwa umeanza tayari ungekuwa sehemu tofauti na ulipo leo, na tatizo ni kutaka everything to be perfect ndio uanze na kutaka kuanza vitu ambavyo huna what it takes,
3. Kukaa kwenye mazingira ambayo sio sahihi na kuzungukwa na watu ambao sio sahihi; badala ya kukimbizana kutafuta watu unaona ni sahihi, build value and your potential first, wewe uwe mtu sahihi kwanza,
4. Kufanya kazi kwa bidii lakini kwenye vitu, biashara, au kazi ambavyo sio sahihi, sehemu ambazo hata ukifanya kazi kwa bidii kiasi gani malipo hayawezi ku-grow exponentially
Bila hivi vitu, utaaminishwa na utaamini kwamba unatakiwa uwe mwizi, at the end uoga wa kufa masikini unaweza kukufanya ufe kijana au uishie jela,
au uishi kwa kuamini one day yes, Mungu atajalia, wakati Mwenyezi Mungu ameshaweka principles za maisha kuwa ukifanya xyz utapata matokeo gani,
nimeshakuwa kwenye stage ya kukosa buku mfukoni so naelewa mambo ni magumu lakini impossible is nothing and it’s never too late to start 💯
Happy New Week
intelligencefx retweeted
Baada ya kukosa mualiko wa pasaka hadi kwa @Mike_IFX
Sasa niwashe zangu BIMA, niweke sport mode, nijipe road trip ya kujifariji
intelligencefx retweeted
Replying to @intelligencefx
Sure pana wengine ambao bado hatuja ingia kwenye community au live room trading ila kwa videos ambazo zinakuwa realised for free zina impact kubwa sana kwa wale ambao ni non members kama mimi, Wengi wetu we still watching you @intelligencefx 🫡
intelligencefx retweeted
AI zinafanya vijana wanakuwa walemavu,
Kitu cha kuandika kwa kutumia akili ya kawaida tuu tayari mtu kakimbilia chatGPT,
Yani hadi text msaada, message ya kuelezea changamoto au kwanini anafanya anachofanya inabidi uandike kwa AI?
intelligencefx retweeted
Merry Christmas kutoka IntelligenceFx family! 🎄🎉
Nina special Christmas gift for you—one you’ve never imagined! Hii ni kitu ambacho kitabadilisha journey yako na kukuweka kwenye njia ya kufikia goals zako za 2025.
👇👇
intelligencefx retweeted
Never miss this good video from @amrisaly @intelligencefx @Mike_IFX
intelligencefx retweeted
Avoid shortcuts kwenye maisha,
tafuta namna ya ku-learn the skills, master the craft, stay disciplined & trust the process,
That’s where real success lies, 99% ya muda, shortcut ndio huwa njia ndefu.
intelligencefx retweeted
“Fulani alipata pesa nyingi ila zote zikapotea” this is very common mtaani
Ila uhalisia ni kwamba hata wewe kama hujajifunza kutunza pesa kidogo unayopata sasa,
usitegemee utatunza pesa kubwa ukizipata. Discipline huanza na kidogo ulicho nacho.
intelligencefx retweeted
ukipewa wadhifa wa kuitwa mentor na mtu jitahidi kujitoa, hata kama huwezi kufanya vitu level za intelligenceFx (naelewa viti kama kwenda na members Zanzibar ni level za juu sana na gharama) lakini unaweza kufanya vitu at your levels na kuweza ku-impact watu to the highest level
intelligencefx retweeted
Netflix level production
kwenye hii industry ya forex hapa sijawahi ona kitu kama hikii
Something big is coming...!!!!
intelligencefx retweeted
Juzi nimekaa hapa naangalia this amazing view nikawa nakumbuka miaka yangu miwili ya mwanzo wa career yangu ya entrepreneurship,
nikakumbuka nilivyokuwa najufunza na kufanya kazi usiku na mchana siku 365 za mwaka bila kupumzika naunganisha mwaka mwingine, no weekend, no holiday na kwa siku nlikuwa nalala maximum 4hrs
hata wakati nikisema nitoke nikapumzike najikuta nimebadili tuu location ya kufanyia kazi na sio kupumzika lakini leo it’s a different story na nataka nikuambie kitu kikubwa sana..
Kipindi kama hiki cha December unaona watu wanatake-vocation, wanasafiri kwenda kufurahia steps walizopiga ndani ya miezi kumi na mbili pamoja na kupanga malengo na kufanya reflection ya 2025,
Sasa soma kwa makini sana hapa kuna vitu viwili ambavyo najua ni changamoto kubwa kwetu vijana,
-Unayoyaona kwenye social media yasikufanye upate stress za kwanini wewe hujaweza kujifanyia vitu fulani ambavyo wengine wameweza, stress zitakufanya utumie pesa ambazo hujazipata, utumie mbegu kwa kuiga wanatumia 0.01% ya mavuno yao na hii stress inaweza ikafanya bills zako za January uone zimekuja ghafla ukaishia kuanza kusumbua watu,
-Kupanga mipango makini na kuanza kuitekeleza haikuhitaji uende vocation, usininukuu vibaya, sisemi kwamba kwenda kupumzika, kubadili mazingira na kurudi na momentum mpya ni kitu kibaya bali nnachomaanisha ni kwamba kama haujafika kwenye stage hata ya kuchomoa small % ukajipongeza wewe na wanaokuzunguka inabidi utulize kichwa zaidi, inabidi uwe na hasira ya maisha 10times ya hawa unawaowaona wapo sehemu unapopatamani,
Kama umeshindwa kujitimizia malengo yako au kusupport ulienae na kuvumiliana nae akatimiza malengo yake, usimuwekee pressure mtoto wa mtu, na usikubali kuwekewa pressure, maana nowdays maneno kama “fulani kaenda na mtu wake vocation sisi tupo tuu” ni very common na mtu unajikuta unavuruga malengo yako kufurahisha mtu mwingine insteady ya kufanya vitu according to plan na mfuko wako”
Na pia haikuhitaji ifike tarehe 1, kila mtu aanze kupost new year new goals ndio uanze kupanga/kutekeleza malengo,
At the end, kupanga ni kuchagua na kubaki na matokeo the same ni rahisi kuliko kuyabadili
Mambo sio rahisi lakini yanawezezekana 100%
intelligencefx retweeted
Humbled and inspired!
Leo kwa mara ya kwanza nimepata privilege ya kukutana na Obby na Nassary, true followers na supporters wa kile ninachofanya – wameenda far and beyond kwa kuweka picha yangu kwenye bajaji yao,
This moment reminds me why I do what I do: to connect, inspire, and grow together with amazing people like you.
Ahsante sana! Let’s keep moving forward, making progress, and inspiring each other along the way







































