𝐉𝐫 ο£Ώ (@imaaJr01) header
𝐉𝐫 ο£Ώ (@imaaJr01) profile picture

Influencer

Joined May 2024
Photo by 𝐉𝐫 ο£Ώ (@imaaJr01)Photo by 𝐉𝐫 ο£Ώ (@imaaJr01)Photo by 𝐉𝐫 ο£Ώ (@imaaJr01)Photo by 𝐉𝐫 ο£Ώ (@imaaJr01)Photo by 𝐉𝐫 ο£Ώ (@imaaJr01)Photo by 𝐉𝐫 ο£Ώ (@imaaJr01)Photo by 𝐉𝐫 ο£Ώ (@imaaJr01)Photo by 𝐉𝐫 ο£Ώ (@imaaJr01)Photo by 𝐉𝐫 ο£Ώ (@imaaJr01)Photo by 𝐉𝐫 ο£Ώ (@imaaJr01)
𝐉𝐫 ο£Ώ retweeted
Mbwembwe zote zile kumbe anashinda njaa.
2
12
5
13
1,327
𝐉𝐫 ο£Ώ retweeted
Sehemu ya hotuba yangu leo nikiwaapisha viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam. Pamoja na mambo mengine, nimewaagiza viongozi kushughulikia changamoto za wananchi na kutekeleza majukumu yao kikamilifu bila kusubiri maelekezo au ziara za viongozi wa kitaifa.
32
66
3
235
15,564
𝐉𝐫 ο£Ώ retweeted
Rais Samia Suluhu Hassan amewaonya Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri wanaoshindwa kusimamia nidhamu ya watumishi, miradi ya maendeleo na kutatua kero za wananchi. Ameeleza kutoridhishwa na watumishi wanaopotea kazini bila taarifa na
1
6
6
165
Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri wa Ardhi, David Silinde, na watendaji wa sekta hiyo kushughulikia migogoro ya ardhi mapema ili kuzuia wananchi kufikia hatua ya kuuana. Amesisitiza kliniki za ardhi zifanye kazi ipasavyo, mipaka ya maeneo yaliyopimwa iheshimiwe na‡️
1
9
7
94
𝐉𝐫 ο£Ώ retweeted
Rais Samia Aagiza Udhibiti Dawa Feki za Mifugo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemtaka Waziri wa Mifugo, Bashiru Ally, pamoja na watendaji wa sekta hiyo, kuchukua hatua kudhibiti uuzaji wa dawa feki na zisizo na viwango kwa wafugaji nchini.
1
5
4
183
𝐉𝐫 ο£Ώ retweeted
Viongozi mbalimbali wakiapa Kiapo cha Maadili, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Novemba, 2026.
8
7
307
𝐉𝐫 ο£Ώ retweeted
Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri wa Mifugo na watendaji wake kudhibiti uuzaji wa dawa feki na zisizo na viwango kwa wafugaji. Aidha, ameelekeza mashamba ya Serikali kushirikishwa na sekta binafsi katika ufugaji na uzalishaji wa nyama kwa ajili ya soko la ndani na nje
1
4
3
64
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Makatibu Wakuu wa Wizara kusimamia kikamilifu taasisi zilizo chini yao na kutatua changamoto za wananchi bila kusubiri maelekezo ya Mawaziri. Amesisitiza udhibiti wa mbolea feki, matumizi sahihi ya ruzuku za mbolea na ubadhirifu katika‡️
1
8
6
135
Rais Samia Suluhu Hassan amewaonya Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri wanaoshindwa kusimamia nidhamu ya watumishi, miradi ya maendeleo na kutatua kero za wananchi. Ameeleza kutoridhishwa na watumishi wanaopotea kazini bila taarifa na usimamizi dhaifu wa fedha
1
3
1
3
445
za miradi, akisisitiza viongozi kuwajibika kikamilifu katika maeneo yao badala ya kusubiri viongozi wa kitaifa kuingilia kati.
23
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Makatibu Wakuu wa Wizara kusimamia kikamilifu taasisi zilizo chini yao na kutatua changamoto za wananchi bila kusubiri maelekezo ya Mawaziri. Amesisitiza udhibiti wa mbolea feki, matumizi sahihi ya ruzuku za mbolea na ubadhirifu katika
1
2
1
2
385
vyama vya ushirika ili kulinda maslahi ya wakulima na kuhakikisha wanapata haki zao.
8
𝐉𝐫 ο£Ώ retweeted
Rais Samia Aagiza Udhibiti Dawa Feki za Mifugo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemtaka Waziri wa Mifugo, Bashiru Ally, pamoja na watendaji wa sekta hiyo, kuchukua hatua kudhibiti uuzaji wa dawa feki na zisizo na viwango kwa wafugaji nchini....
1
6
4
104
𝐉𝐫 ο£Ώ retweeted
Rais Samia: Shughulikieni Migogoro ya Ardhi Msisubiri Watu Wauane Rais Samia Suluhu Hassan, amemtaka Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, David Silinde, pamoja na watendaji wa sekta hiyo, kushughulikia kwa wakati migogoro ya ardhi nchini na kuhakikisha wananchi.....
1
6
5
154
𝐉𝐫 ο£Ώ retweeted
Wauzaji wa dawa feki za mifugo, kiama chenu kimefika.
1
15
17
422
𝐉𝐫 ο£Ώ retweeted
Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri wa Mifugo na watendaji wake kudhibiti uuzaji wa dawa feki na zisizo na viwango kwa wafugaji. Aidha, ameelekeza mashamba ya Serikali kushirikishwa na sekta binafsi katika ufugaji na uzalishaji wa nyama kwa ajili ya soko la ndani na nje ya nchi, hatua inayolenga kuongeza uzalishaji, ajira na kuwapa vijana wa BBT fursa za kiuchumi
9
9
274
𝐉𝐫 ο£Ώ retweeted
Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri wa Ardhi, David Silinde, na watendaji wa sekta hiyo kushughulikia migogoro ya ardhi mapema ili kuzuia wananchi kufikia hatua ya kuuana. Amesisitiza kliniki za ardhi zifanye kazi ipasavyo, mipaka ya maeneo yaliyopimwa iheshimiwe na kudhibiti vitendo vya kuuza kiwanja kimoja kwa watu wengi. Aidha, amemtaka Kamishna wa Ardhi kuhakikisha anatoa ushauri sahihi kwa Waziri ili kuboresha usimamizi wa sekta hiyo
15
18
429
Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri wa Ardhi, David Silinde, na watendaji wa sekta hiyo kushughulikia migogoro ya ardhi mapema ili kuzuia wananchi kufikia hatua ya kuuana. Amesisitiza kliniki za ardhi zifanye kazi ipasavyo, mipaka ya maeneo yaliyopimwa iheshimiwe na
1
2
1
3
465
kudhibiti vitendo vya kuuza kiwanja kimoja kwa watu wengi. Aidha, amemtaka Kamishna wa Ardhi kuhakikisha anatoa ushauri sahihi kwa Waziri ili kuboresha usimamizi wa sekta hiyo
18
Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri wa Mifugo na watendaji wake kudhibiti uuzaji wa dawa feki na zisizo na viwango kwa wafugaji. Aidha, ameelekeza mashamba ya Serikali kushirikishwa na sekta binafsi katika ufugaji na uzalishaji wa nyama kwa ajili ya soko la ndani na nje
1
2
1
2
526
ya nchi, hatua inayolenga kuongeza uzalishaji, ajira na kuwapa vijana wa BBT fursa za kiuchumi
16