Pinned Tweet
KATI YA MARAIS WOTE WA TANZANIA, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NDIYE PEKEE AMBAYE ROMAN CATHOLIC WAMEAMUA KUACHA NDALA 😂🔥
Chapa kazi Mama Yetu.
#TanzaniaCOP31
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye picha na viongozi mbalimbali wanaoshiriki katika Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), Antalya Expo
Tanzania ina takribani hekta milioni 48.1 za misitu, ambazo ni rasilimali muhimu katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Kupitia uhifadhi wa mazingira na masoko ya hewa ukaa chini ya Ibara ya 6 ya Mkataba wa Paris, taifa linafungua fursa mpya za uwekezaji na uchumi
Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere ni hatua kubwa katika mapinduzi ya nishati nchini Tanzania. Ukiwa na uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 na uwekezaji unaozidi Shilingi trilioni 6.5, mradi huu unaimarisha uzalishaji wa umeme na kuchochea maendeleo ya viwanda.
#TanzaniaCOP31
Tanzania inaendelea kupiga hatua kuelekea upatikanaji wa umeme kwa wote. Kutoka asilimia 34 mwaka 2021 hadi asilimia 71 mwaka 2026, taifa linaimarisha huduma za nishati, kufungua fursa za kiuchumi na kuchochea maendeleo ya jamii.
#TanzaniaCOP31
Tanzania inaendelea kuboresha upatikanaji wa nishati safi majumbani kupitia usambazaji wa mitungi 450,000 ya gesi kwa ruzuku ya asilimia 50 kutoka Serikalini. Hatua hii inapunguza utegemezi wa kuni na mkaa huku ikihamasisha matumizi ya nishati salama.
#TanzaniaCOP31
Tanzania imepiga hatua kubwa katika matumizi ya nishati safi ya kupikia, kutoka asilimia 6.9 mwaka 2021 hadi asilimia 28.6 mwaka 2025. Ukuaji huu wa zaidi ya mara nne unaonesha dhamira ya kuboresha afya za wananchi na kulinda mazingira.
#TanzaniaCOP31
SSH 2530 retweeted
When Tanzania engages the world, it must be about bringing home opportunities that improve people's lives. That is the value of climate diplomacy under President Samia. #TanzaniaCOP31
SSH 2530 retweeted
Under President Samia, Tanzania is demonstrating that African leadership can shape the global conversation on clean energy and climate action. The continent must be part of designing solutions, not simply receiving them.
#TanzaniaCOP31 #SiNdotoTena
SSH 2530 retweeted
Kuna wakati ukweli huchelewa kutambuliwa lakini haupotei.
Wapo waliodhani kuwa safari ya maendeleo ingekwama wapo walioibeza dhamira ya uongozi lakini leo matokeo ya kazi yanaendelea kujibu maswali mengi kuliko maneno yanavyoweza kujibu.
Hongera sana Rais wetu Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Umeonesha kuwa uongozi wenye maono haupimwi kwa ukubwa wa ahadi zake bali kwa uwezo wa kuzigeuza ahadi hizo kuwa miradi na matokeo yanayogusa maisha ya wananchi.
SGR Bwawa la Mwalimu Nyerere na uwekezaji katika miundombinu ya barabara ni sehemu ya ushahidi wa safari ya Tanzania kuelekea uchumi imara na maendeleo ya muda mrefu.
Haya si mafanikio ya siku moja ni msingi unaowekewa kizazi cha sasa na vizazi vijavyo.
Tunamuona Waziri Mkuu akisimamia utekelezaji wa dhamira hiyo kwa bidii akihakikisha maono ya Rais yanapata nguvu kupitia vitendo.
Hapo ndipo tunapotambua thamani ya kuwa na serikali yenye dira na viongozi wanaotambua wajibu wao 📌.
Sisi wazalendo tuna wajibu wa kutambua mema kusema ukweli na kuunga mkono maendeleo ya taifa letu.
Hatuwezi kuruhusu tofauti za mitazamo au chuki binafsi zifanye tusione hatua zinazopigwa kama wafanyavyo chandimu.
Taifa ni kubwa kuliko hisia za mtu mmoja au kundi fulani.
Kelele zinaweza kutawala mijadala ya leo lakini matokeo ya kazi ndiyo yatakayobaki katika kumbukumbu za kesho.
Tuna imani na Tanzania yetu tuna imani na serikali yetu na tunaendelea kuamini kuwa safari ya maendeleo inahitaji umoja mshikamano na uzalendo.
Mungu ibariki Tanzania! 🇹🇿Mungu amlinde Raisi wetu🙏
SSH 2530 retweeted
Climate change is a shared challenge, but African solutions must reflect African realities. Tanzania is bringing that message to the international stage through its climate diplomacy and commitment to sustainable development. #TanzaniaCOP31
SSH 2530 retweeted
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye picha na Mhe. António Guterres, Katibu Mkuu wa
Umoja wa Mataifa (UN) (kushoto) pamoja na Mhe. Recep Tayyip Erdoğan, Rais wa Jamhuri ya Uturuki (kulia), baada ya kuwasili ANFAŞ Antalya
SSH 2530 retweeted
Clean cooking also means giving women and families more time for productive activities, education and economic opportunities. A cleaner kitchen can contribute to a better household and a stronger society. #TanzaniaCOP31
SSH 2530 retweeted
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kushiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP31). #TanzaniaCOP31
SSH 2530 retweeted
Tanzania understands that climate action requires more than promises. It needs financing, technology and partnerships that deliver real results for communities affected by droughts, floods and changing weather patterns. #TanzaniaCOP31
SSH 2530 retweeted
Rais Samia Suluhu Hassan ni Bingwa wa Umoja wa Afrika wa Nishati Safi ya Kupikia, jukumu alilokabidhiwa na Wakuu wa Nchi wa AU mwezi Februari 2026 jijini Addis Ababa. Akiwa Antalya, anasimama kama kiongozi aliyepewa dhamana na bara zima kusukuma ajenda hii muhimu mbele ya dunia. #TanzaniaCOP31 Rais Samia Suluhu
SSH 2530 retweeted
Dira 2050 inatarajia sekta binafsi kuchangia asilimia 70 ya uwekezaji. Ndiyo maana ujumbe wa Tanzania kwenye COP31 umejumuisha sekta binafsi na vijana, kutafuta mitaji, teknolojia na masoko. Rais Samia Suluhu Hassan anaongoza mkakati wa kuufanya uchumi wa taifa ujengeke.
SSH 2530 retweeted
Tanzania understands that climate action requires more than promises. It needs financing, technology and partnerships that deliver real results for communities affected by droughts, floods and changing weather patterns. #TanzaniaCOP31




























