Safi kila mtu awajibike kwa nafasi yake
Wanaharakati uchwara na wacheza Chudai hata hili wataumia ila sisi tunasonga mbele
Rais Samia Suluhu Hassan amewaonya Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri wanaoshindwa kusimamia nidhamu ya watumishi, miradi ya maendeleo na kutatua kero za wananchi. Ameeleza kutoridhishwa na watumishi wanaopotea kazini bila taarifa na usimamizi dhaifu wa fedha
377
Sahihi kabisa Rais Wetu amesema vyema sana
Wana harakati uchwara na wacheza Chudai nadhani mnaona namna kazi nzuri inayo fanywa na Rais Wetu
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Makatibu Wakuu wa Wizara kusimamia kikamilifu taasisi zilizo chini yao na kutatua changamoto za wananchi bila kusubiri maelekezo ya Mawaziri. Amesisitiza udhibiti wa mbolea feki, matumizi sahihi ya ruzuku za mbolea na ubadhirifu katika
323
Jambo jema na sahihi sana
Wanaharakati uchwara na wacheza Chudai wakiona hivi wanaumia sisi hatujali wala nn tunasonga mbele
Dawa Feki zipate udhibiti
Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri wa Mifugo na watendaji wake kudhibiti uuzaji wa dawa feki na zisizo na viwango kwa wafugaji. Aidha, ameelekeza mashamba ya Serikali kushirikishwa na sekta binafsi katika ufugaji na uzalishaji wa nyama kwa ajili ya soko la ndani na nje
470
Safi kabisa kiongozi wetu anafanya kaz kwa vitendo
Wanaharakati uchwara na wacheza Chudai wanaumia huko
Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri wa Ardhi, David Silinde, na watendaji wa sekta hiyo kushughulikia migogoro ya ardhi mapema ili kuzuia wananchi kufikia hatua ya kuuana. Amesisitiza kliniki za ardhi zifanye kazi ipasavyo, mipaka ya maeneo yaliyopimwa iheshimiwe na
398
Miss B ๐น retweeted
Rais Samia: Shughulikieni Migogoro ya Ardhi Msisubiri Watu Wauane
Rais Samia Suluhu Hassan, amemtaka Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, David Silinde, pamoja na watendaji wa sekta hiyo, kushughulikia kwa wakati migogoro ya ardhi nchini na kuhakikisha wananchi
Miss B ๐น retweeted
Rais Samia Aagiza Udhibiti Dawa Feki za Mifugo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemtaka Waziri wa Mifugo, Bashiru Ally, pamoja na watendaji wa sekta hiyo, kuchukua hatua kudhibiti uuzaji wa dawa feki na zisizo na viwango kwa wafugaji nchini.
Rais Wetu anafanya kazi kubwa
Wanaharakati uchwara na wacheza Chudai wanaumia huko
Rais Samia Aagiza Udhibiti Dawa Feki za Mifugo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemtaka Waziri wa Mifugo, Bashiru Ally, pamoja na watendaji wa sekta hiyo, kuchukua hatua kudhibiti uuzaji wa dawa feki na zisizo na viwango kwa wafugaji nchini.
295
Hakika huyu ndie Rais wetu tunajivunia uongozi wake bora
Wanaharakati uchwara na wacheza Chudai wanateseka kuona wananchi wanapata suluhisho
Rais Samia: Shughulikieni Migogoro ya Ardhi Msisubiri Watu Wauane
Rais Samia Suluhu Hassan, amemtaka Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, David Silinde, pamoja na watendaji wa sekta hiyo, kushughulikia kwa wakati migogoro ya ardhi nchini na kuhakikisha wananchi
307
Miss B ๐น retweeted
Rais Wetu Mama Samia leo atakua akiwaapisha viongozi wateule.
Tufuatilie live kwenye mitandao yetu ya kijamii.
Maendeleo yanaendelea, wanaharakati uchwara na wacheza Chudai wanaumia huko!
Lengo la maendeleo endelevu la dunia ni vifo 70 vya uzazi kwa vizazi hai 100,000. Rais Samia amesema Tanzania imebakiza vifo sita tu kulifikia, baada ya kushuka hadi 76. Pengo hilo dogo linaonyesha kuwa nchi iko karibu mno na kiwango kinachotakiwa kimataifa. #AfyaYaMamaNaMtoto
344
Maendeleo hayasimami kwa sababu ya kelele. Wanaharakati uchwara na wacheza Chudai wanaumia huko!
Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza imani kubwa kuwa Tanzania itafikia lengo la maendeleo endelevu la vifo vya uzazi ifikapo mwaka 2030.
#AfyaYaMamaNaMtoto President Samia Suluhu
1
419
Maendeleo hayasimami kwa sababu ya kelele. Wanaharakati uchwara na wacheza Chudai wanaumia huko!
Rais Samia amesisitiza neno usawa katika hotuba yake, akisema huduma bora za mama na mtoto lazima zimfikie kila mwanamke na kila mtoto, bila kujali mahali anapoishi.
#AfyaYaMamaNaMtoto President Samia Suluhu
1
402
Maendeleo hayasimami kwa sababu ya kelele. Wanaharakati uchwara na wacheza Chudai wanaumia huko!
Rais Samia amesema ongezeko la vituo vya afya limewezesha Watanzania kupata huduma za afya ndani ya kilomita tano kutoka maeneo wanayoishi.
#AfyaYaMamaNaMtoto President Samia Suluhu
1
375
Serikali inasonga mbele, wacheza Chudai waendelee kuumia huko!
Akizungumza kama Kinara wa Umoja wa Afrika wa Afya ya Mama na Mtoto, Rais Samia amesema Mpango Elekezi wa afya ya mama na mtoto ni mwendelezo wa hatua na malengo ya bara.
#AfyaYaMamaNaMtoto President Samia Suluhu
2
328
Kazi zinaonekana, matokeo yanapatikana. Wacheza Chudai wanaumia huko!
Rais Samia ameeleza kufurahishwa na kauli mbiu ya mkutano huo, inayohimiza kuharakisha matokeo yenye usawa ya huduma za mama na mtoto kupitia ugharamiaji endelevu, ubunifu katika kutatua changamoto na mifumo imara ya afya nchini Tanzania.
#AfyaYaMamaNaMtoto President Samia Suluhu
2
327
Huduma kwa wananchi zinaimarishwa. Wanaharakati uchwara na wacheza Chudai wanaumia huko!
Kwa upande wa watoto wachanga, Rais Samia amesema vifo vimepungua kutoka 24 hadi 17 kwa kila vizazi hai 1,000. Lengo la dunia ni vifo 15, hivyo Tanzania imebakiza vifo viwili tu kufikia kiwango hicho.#AfyaYaMamaNaMtoto President Samia Suluhu
1
279
Habari njema kazi inaendelea
Wanaharakati uchwara na wacheza Chudai wanaumia huko
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia akitembelea Mabanda ya maonesho ya huduma mbalimbali za afya ya uzazi ya mama na mtoto baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, tarehe 26 Novemba, 2026.
585
Habari njema sana kwa Tanzania
Wanaharakati uchwara na wacheza Chudai wanaumia huko
Tanzania imeanza hatua za kurejesha usimamizi wa sehemu ya anga yake ya juu inayohudumiwa na Kenya kwa takribani miaka 40.
Hatua hii inalenga kuimarisha mamlaka ya nchi katika usimamizi wa anga, kuongeza mapato kupitia ndege zinazotumia eneo hilo na kujenga uwezo wa ndani
383




















