♟️ retweeted

Fabrizio Romano@FabrizioRomano17h
Italy
ItalyConnected via Italy App StoreAccount-level information, not a live location or per-post device.
❤️🔥 Rio Ngumoha: “We have the best fans in the world. To hear my name is amazing!”.
♟️ retweeted
Unaweza kua unajiona mjinga ila ukimuona Bihemo na ndugu zake unanafarijika.😂😂😂 – at Dar es Salaam, Tanzania
Replying to @Makaveli_255
Hilo ni kosa kisheria aisee. Majanja wanalalamika kuwatoa main road. Kiuhalisia ni sahihi watoke ila kiupambanaji mzee wanarudisha zama za Wako lea
♟️ retweeted
Dear Comrades,
Waongo, wezi, wadanganyifu, wahalifu, matapeli, wasaliti, watu wasio na maadili na wadanganyaji, hao ndio viongozi pekee tulionao nchini Tanzania.
Replying to @theutdcode
Walambya watz wapo sana mbona ni wengi sana. Hapo mchawi ni hizo boarders za Wakoloni ndio namaanisha
Replying to @samz__23
Na ya kwanza yuko sahihi kabisa bila kutumia hisia. Bajaj ni ghasia highway
Replying to @theutdcode
Janja hao Walambya ni Wamalawi kabisa na hata ukiwa Ileje amini network zinazoshika vizuri ni za Malawi. Kabila la Wanyamwanga pia ambao wanatenganishwa tu na Nakonde boarder
Replying to @samz__23
Anyways kwa nature ya Mbeya aisee na hayo maagizo ametoa Mheshimiwa kutakuwa na shida sana mtaani. Hiyo 2&3 ni sahihi sana ila hiyo 1 ndio inaleta matatizo. At the end acha sheria ifuate mkondo






