Kelvin odira (@hart_zu) header
Kelvin odira (@hart_zu) profile picture

Data Analyst. NBS HQ. The dream runner. USIOGOPE, The sky is just the beginning, siyo limit kama watu wanavyosema. #MpendwaMwanaWaMungu Exodus 14:14

Dodoma Tz
Joined September 2018
Photo by Kelvin odira (@hart_zu)
Msijisumbue kwa neno lolote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu. Wafilipi 4:6 (SUV)
4
4
296
"Tutashiriki kwa namna itakayolenga kulinda na kukuza utu wetu. Tutashiriki kwa kuzungumza lugha itakayoeleweka na dola. Tutashiriki kimapambano na kigangwe. Tutashiriki kushinda na sio kuchezewa na kufanyiwa fedheha." - Dorothy Semu na Othman Masoud Othman Shariff
104
18
15
98
29,295
Kelvin odira retweeted
Huu ni uongo Mwami. Mkiamua kuwa waongo jidanganyeni peke yenu.
"Tutashiriki kwa namna itakayolenga kulinda na kukuza utu wetu. Tutashiriki kwa kuzungumza lugha itakayoeleweka na dola. Tutashiriki kimapambano na kigangwe. Tutashiriki kushinda na sio kuchezewa na kufanyiwa fedheha." - Dorothy Semu na Othman Masoud Othman Shariff
20
56
337
12,776
ALIYEKUWA Naibu Meya wa Ilala Ojambi Didas Masaburi, amechukua fomu leo kuwani Jimbo Jipya la Kivule, Jijini Dar es Salaam. Ojambi kabla alikuwa Diwani wa Kata ya Chanika, Wilayani Ilala. #KitengeUpdates
7
9
395
26,830
Kuna siku tumeenda kuzurura Serengeti sasa tukafika kwenye pool ya Hippo’s tukashuka bana ile kushangaa shangaa dreva akapiga kelele ya kuona Simba, watu watatu wote tukaingia kwenye mlango mmoja ndani ya sekunde kadhaa!
1
1
30
959
Kelvin odira retweeted
Wakuu Nikiwa nataka kulala na Usingizi Sipati Nifanyeje Kupata Usingizi..?
16
5
1
48
2,763
Kelvin odira retweeted
Wakati wengine wanaback-up ya wazazi,tupo sisi wenye back-up ya maombi na bidii.
6
16
61
846
Unaona mtu hakutafuti kama ilivyo kuwa zamani badala umtafute na wewe unaamua kumvimbia kumbe mwenzio amesha fariki tayari.✍️ Good morning, FAM 🤝
22
35
154
2,751
Tsh Elfu kumi ya mkononi ni tofauti kabisa na elfu kumi ya kwenye simu.
28
29
4
469
21,073
Mtu unazaliwa,kusoma na kukulia Dar es salaam,ila Ubunge unataka wa ILEJE, MICHEZO 🤣
16
6
9
73
5,468
Kelvin odira retweeted
ACT WAZALENDO wamesema watalinda kura. Raisi katoa maagizo kwa mkuu wa mkoa wa mbeya Kulinda heshima ya SPIKA. TUTAKUWEPO🫵🫵
22
64
736
16,530
Kelvin odira retweeted
Kuna Madhara gani ya Kudate na mwanamke mzuri sana?
10
4
87
6,253
Zaidi ya 70% ya watu wanaowania UBUNGE na nafasi nyingine za kuchaguliwa ndani ya CCM, hawafanyi hivyo kwa sababu ya utashi wa kuitumikia Nchi Ila wengi wanajitokeza kwa sababu mazingira ya uchaguzi yamezungukwa na dhuluma,uharamia na wizi wa kura na hivyo hakuna hofu ya wao kushindwa uchaguzi kwa sababu ya tabia hizi mbaya ambazo zimeondoa ushindani wa haki ktk Uchaguzi. Ni hatari kuwa na aina hii ya jamii haswa vijana.Hatari zaidi unaendelea kuwa na Wabunge wenye aina hii ya fikra na kwamba ushindi wao umeamuliwa na dhambi mbaya ya uhalifu.Inatisha sana, kazi ya wito mwema ya kujenga Nchi bora zaidi kesho inapokuwa biashara ya kitapeli na kihuni. Kila mtu atajuta kabla hatujaamka wote huku tukiwa tumechelewa sana. Mshahara wa matendo haya utaligharimu sana Taifa letu. Naogopa hata kuwaza, kwamba una jamii inayopata ujasiri ktk ukatili wa matendo mabaya. So Sad.
94
302
5
1,523
51,924
Kelvin odira retweeted
Kuna mtu kapoteza maisha sababu ya kuoanda pressure na kushuka sukari, baada ya kufukuzwa kazi tena akiwa anaumwa Malaria. Kweli dunia haina huruma
16
26
453
16,746
Kelvin odira retweeted
Tafuta pesa uache kununua vitu vya bei kubwa!!SIJUI MNANIELEWA!!?😁
6
34
1
82
1,501
Kumbe kuna mtu amejitokeza kujenga reli kutoka Mtwara hadi Mbamba Bay Aisee
11
17
4
301
9,408
Kelvin odira retweeted
Ingekuwa Bongo Kuna Mambo za Mgombea Huru (Asiye na Chama ) kesho Asubuhi Ningechukua Pesa zangu za Mbaazi Nikavute Iyo Fomu ya Ubunge pale Arumeru Mashariki !! 🤣
8
8
1
97
2,299
Kelvin odira retweeted
Natamani ingekua rahisi kupima "Nia" za watu.
22
15
8
277
13,619
Daniel Chongolo amechukua form kugombea Ubunge jimbo la Makambako, kabla alikuwa Mkuu wa mkoa wa Songwe. Kwasasa Jimbo la Makambako Mbunge wake ni Deo Sanga. Hapa napo pamoto sana
38
34
5
579
17,397
Kelvin odira retweeted
mwendo unao utumia kutafuta pesa ndio huohuo yanao utumia majukumu kuja kwako!!✍️
8
41
127
1,624