Fikra Chanya. (@mfaacomini) header
Fikra Chanya. (@mfaacomini) profile picture

🧠 Nukuu za Maisha & Fikra Chanya 🚀Self-mastery | Kujijenga Kisaikolojia 📚 eBook: Link kwenye bio 🔥 DM kwa ushauri — 1000+ wameshajifunza

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2013
Photo by Fikra Chanya. (@mfaacomini)Photo by Fikra Chanya. (@mfaacomini)Photo by Fikra Chanya. (@mfaacomini)Photo by Fikra Chanya. (@mfaacomini)Photo by Fikra Chanya. (@mfaacomini)Photo by Fikra Chanya. (@mfaacomini)Photo by Fikra Chanya. (@mfaacomini)Photo by Fikra Chanya. (@mfaacomini)Photo by Fikra Chanya. (@mfaacomini)Photo by Fikra Chanya. (@mfaacomini)
Chelewa ukiwa na lengo bora kuliko kukimbia bila mwelekeo mafanikio si mbio ni mwendo wa uhakika na maamuzi sahihi.✍️
6
36
2
228
5,327
Fikra Chanya. retweeted
Hata kama hamko marafiki tena, tafadhali acha kumuongelea pia endelea kuheshimu siri alizokushirikisha. don't be snitch 👊👊
19
48
114
1,694
Fikra Chanya. retweeted
Pesa hubadilisha maisha, lakini haipaswi kubadilisha namna unavyowatendea watu.🚶‍♀️
20
52
3
256
8,123
Post Hata Kama Hakuna Anayeona Post Hata Kama Hakuna Anaye-Like Post Hata Kama Hakuna Anaye-Comment Post Hata Kama Hakuna Anaye-Share Post Hata Kama Hakuna Anayeku-Support Post Hata Kama Post Zako Haziko Perfect… Post! Post! Post!…. Utajishukuru Baadaye🫵
25
56
1
174
3,922
📍Ukweli Mchungu
42
85
5
761
29,141
Mwanaume anayeona kila kitu lakini akajifanya hajui chochote, ni mtu wa hatari sana
16
79
3
596
21,721
Now nimeelewa Kwanini watu wengi waaamuaga kupotea na kwenda mbali na kuanza upya🤦Napitia wakati mgumu sana now 💔
119
98
10
791
25,651
Fikra Chanya. retweeted
Siyo lazima lakini nafikri ni vyema sana kumalizana na Ma-ex zenu vizuri watu wanakufa sana after weddings.
17
44
4
379
17,698
Fikra Chanya. retweeted
Mwisho wa safari, hatutakumbuka tulimiliki nini, bali tuligusa mioyo mingapi, Usiache kutenda wema 🚶‍♀️
11
63
337
7,563
Fikra Chanya. retweeted
""Unajua umenipoteza muda wangu bure, unge nambia mapema kama huji ili niendelee na shughuli zangu"" 😂😂 shughuli gani wewe, pumzika bro
38
73
3
333
9,438
Fikra Chanya. retweeted
Ukishakuwa mkubwa hakuna mtu atakutafuta kujua hali yako ila wengi watakutafuta kuona kama unaweza kuwasaidia.
13
63
4
245
4,257
Fikra Chanya. retweeted
Watu wanakuheshimu zaidi pale ambapo hawakuoni mara kwa mara. Hii ipo hivi hata kwa wazazi sometimes.
25
58
1
297
8,875
Fikra Chanya. retweeted
You think your job is stressful? Try unemployment!!! Damn, that thing is depressing. Rule NUMBER 1: Neverrrrrrrrrrrrrrrr joke with your source of income
41
293
3
3,074
99,364
Fikra Chanya. retweeted
Kuna mtu akikwambia tutaongea baadae, jua hayo mazungumzo ndio yameishia hapo 😂😂
7
6
40
1,016
Fikra Chanya. retweeted
Tunapambana sana kwenye maisha ambayo yanaweza kuisha dakika moja, Mungu atupe Mwisho Mwema🙏
32
110
6
594
12,380
Fikra Chanya. retweeted
Tumezaliwa nchi maskini, kuishi a decent life standard might take half a century. So, along the way furahia maisha katika kipimo chako, panda boda, panda mabasi, dandia private, ishi uchumi wako,ili zikifika time za kudandia ndege ni halisi, sio za kuuza watu, za kuiba au dhulma.
11
114
7
454
12,076
Chakula kisichofunikwa ndicho kinachofuatwa na NZI wengi
6
26
1
172
7,339
Fikra Chanya. retweeted
Ukikosa Akili, Jitahidi Sana Uwe Na Aibu. Ujinga Na Confidence Ni Combination Hatari Sana. SOMA TENA ✍️
23
67
199
4,008
Vita unavyopigwa sehemu ya unayotafutia Riziki ni kubwa sana kuliko Vita unavyopigana navyo kimya kimya moyoni
7
41
259
6,500
Fikra Chanya. retweeted
Changamoto Nne za Maisha na Njia Nne za Kumkaribia Allah. Unapoogopa, mtegemee Allah. Unapohuzunika, muombe Allah. Unapodhulumiwa, mwachie Allah. Unapobarikiwa, mshukuru Allah. Amani ya kweli huja tunapoacha kuhangaikia tusiyoweza kuyadhibiti na kumtegemea Allah, Mwenye mamlaka juu ya kila jambo.
23
63
5
352
17,529
Fikra Chanya. retweeted
Si kila kitu kinahitaji majibu leo. Wakati mwingine unachohitaji ni uvumilivu, imani na ujasiri wa kuendelea. ❤
10
47
2
291
13,488