hamis_tz retweeted
Wakuu jana nimedinya binti flani hivi nilipiga kama tako 7(bao 7) Ila hadi saizi hogo langu hili refu halisimami na pia kifua kinabana sana shida nini wakuu😭😭😭😭😭😭😭
hamis_tz retweeted
Kama haka ka nguo umevaa hapo kwenye Profile yako Bro niwe mkweli wewe hushindwi kuvaa Gauni la kitenge🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
hamis_tz retweeted
Haijalishi anapendeza kiasi gani, ni mrembo kiasi gani, ana mvuto kiasi gani.
kuna mtu mahali fulani amechoshwa na tabia zake.
SOMA TENA 👊
hamis_tz retweeted
Kwenye Swala La DINI👇👇
1. WACHINA Wana UBUDHA.
2. WAHINDI Wana UHINDU.
3. WAJAPANI Wana USHINTO.
4. WAZUNGU Wana UKRISTO.
5. Mashariki Ya Kati Wana UISLAM.
6. WAYAHUDI Wana UYAHUDI.
7. WAAFRIKA Tuna Nini?😂😂
NB: Hakuna Mchina Anayeitwa MUHAMMAD Wala JOHN.😂🙌
Mademu wenye maziwa makubwa kama ndala utasikia haya nimerithi kwa bibi mzaa mama ..ila sasa sema wew kwamba kibamia umerithi kwa Babu Yako uone unavoachwa kweupee😂😂😂
hamis_tz retweeted
Big up kwa kila mwanaume anayepambana kujenga maisha yake mwenyewe.
Bila ndugu matajiri, bila kubebwa.
Bila pesa za mzee.
Hata akipitia hasara na kudharauliwa.
Utafika mbali sana maishani 👊👊
hamis_tz retweeted
Kuamka salama ni kwa Neema tu hivyo hupaswi kujivuna bali kumshukru Mungu 🙏🫂
Good morning my X’s Family 🤝
hamis_tz retweeted
Yaliopita ni kwa ajiri ya kujifunza.
Wakati uliopo ni kwa ajiri ya kuishi.
Wakati ujao ni kwa ajiri ya kukupa.🫡
hamis_tz retweeted
Weka matumaini yako kwa mungu na sio kwa binadamu, binadamu anabadilika muda wowote
hamis_tz retweeted
Yesu Kristo hakuja duniani kutufundisha kuchukiana kwa sababu ya madhehebu, bali kutufundisha upendo, msamaha, huruma na kweli
Ukristo sio mashindano ya dhehebu, ni maisha yanayoakisi mafundisho ya Kristo. Usijivunie jina la kanisa huku ukisahau kuishi upendo wa Mungu. Mwisho wa yote, Mungu anautazama moyo na matendo yetu. (Yohana 4:23-24; 1 Wakorintho 13:1-3)



























