Ayoub the Great 🧠 (@ayoubjohn987) header
Ayoub the Great 🧠 (@ayoubjohn987) profile picture

Phone & Computer 🖥️ Technician 💪 🪛. Man city na Barcelona forever.

The Great tech
Joined November 2022
Photo by Ayoub the Great 🧠 (@ayoubjohn987)Photo by Ayoub the Great 🧠 (@ayoubjohn987)Photo by Ayoub the Great 🧠 (@ayoubjohn987)Photo by Ayoub the Great 🧠 (@ayoubjohn987)Photo by Ayoub the Great 🧠 (@ayoubjohn987)Photo by Ayoub the Great 🧠 (@ayoubjohn987)Photo by Ayoub the Great 🧠 (@ayoubjohn987)Photo by Ayoub the Great 🧠 (@ayoubjohn987)Photo by Ayoub the Great 🧠 (@ayoubjohn987)Photo by Ayoub the Great 🧠 (@ayoubjohn987)
Dodoma one way halaaa🫡😀
6
31
186
44,580
Yaliopita ni kwa ajiri ya kujifunza. Wakati uliopo ni kwa ajiri ya kuishi. Wakati ujao ni kwa ajiri ya kukupa.🫡
2
5
84
Uvuvi unalipa Sana🤜🤛
1
54
Maisha halisi ndio maisha rahisi.
3
4
5
183
Ayoub the Great 🧠 retweeted
Huwa najiuliza simu ukiifungua ndani hakuna hata vitu vyamaana 🤣🤣ila bei inafika milion+
1
1
1
52
Good morning Tanzania.
3
8
1
12
335
Wakuu malaika wa jua huko kwenu VP😀
1
3
86
Sema tunafanya desturi tu ,ila kwa kizazi hiki maswala ya ndoa tungeachana nayo😀
1
1
5
129
Mungu ni mwema nyakati zote.
34
Good morning Tanzania 🇹🇿
1
56
Ayoub the Great 🧠 retweeted
This man from which series?????
4
8
27
9,046
Ni swala la muda tu kila mtu atagongewa😁
1
3
131
Mungu ni mwema nyakati zote.
68
Mwanadamu akiona Kosa anafuta wema, Mungu akiona toba anafuta makosa .
1
1
2
83
Unadhani nani anaweza kumkalisha huyu mchizi chap tu.
1
1
1
86
Wakati mwingine kukosa unachotaka ndiyo njia ya kuepuka usichokijua.
1
2
92