Pinned Tweet
Huyu @henryimani_ anapaswa pongezi nyingi chapa retweet hapa katuulia hili jinga vizuri kabisa🚮🚮
Deo Mwashota retweeted
Humu name ukitoka kidogo lazima ukute mapya haya nani tena kadhulumiwa sofa za buble?😅😅
Deo Mwashota retweeted
Bro @mlinganya yule crush wako nimemuona Tegeta jana.
Kazuri banah.
Pambania kaka.
Deo Mwashota retweeted
Ngoja niende WhatsApp nikaombe mademu hela leo, nawaambia Nina shida ya ten K.! natia huruma kinomanoma kwa kila shapapi alafu nione watajibu nini..! 😅🫵🏾
Deo Mwashota retweeted
Mnyonge Mnyongeni , Apa Ongeza Camera Na Boresha Tu Background,
89%✅
Deo Mwashota retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Deo Mwashota retweeted
Hebu nisaidieni kucheka jamani, ila hawa wauza furniture uchwara tunaowaokota mitandaoni na kutaka kuwasupport eti kisa marafiki zetu na tuna ukaribu nao wanajuaga sana kutudissapoint😂
Nlitaka sofa frame 1 na nikainsist sana kwamba iwe hivyo akanambia nimpe 850k uhakika (YAANI NLITAKA SAME EXACT DESIGN HADI RANGI) mind you mwanzo budget ya sofa ilikua 780k akasema siezi pata hiyo design kwa 780 niongeze hela bila shida nikaongeza hadi 850k
Sasa nkaa nashangaa mtu anainsist kunitumia vitu bila kutuma picha, kheee si ndo nmforc picha natumiwa huo utumbo😹
Haya hebu niambirni hiyo frame two na huto tumito ndo nini😂 mi hapa hadi badala ya kukasirika nmebidi nicheke kwanza😹😹😹
Hivi hatakama nna gubu hiyo frame 2,3 na 4 ni sofa ya LAKI NANE NA NUSU HIYO?!
😂😂😂😂MKISUPPORTIWA HEBU SAPOTIKENI JAMANI MNATUPA WAKATI MGUMU
Deo Mwashota retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 35,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi








































