kwaiyo wapinzani ndo walifanya afe?
Replying to @munyamambogo
Ajabu wapinzani na wanaharakati walimuombea afe...jamaa alijitoa kupigania wananchi ila ndio hivyo tena kila mmoja anakitaka kile kiti kwa maslahi binafsi.
1
1
66
ndege ianguke afe
Rais Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini kuelekea nchini Uturuki kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31).
Akiwa nchini humo, Rais atahutubia mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali na kushiriki kikao cha ngazi ya juu kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia barani Afrika pamoja na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake, Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan.
62
dah KAMA UTANI TWAHA HATUNAE TENA. hii style ya kupoteza ndugu zetu ishakuwa mazoea daaaah...mdude,kipanya,soka,kaswahili,manengero, hawa WOTE WAMEPOTEZWA KWA MFUMO ULE ULE ALIOTAKA KUPOTEZWA @Sativa255 jaribio la sativa lingefanikiwa hadi leo tusingejua alipo coz kipindi kile
sativa hakuwa radical kwenye siasa kama sasa, ndo maana wengi hatukujua nini kimemfanya apotee, bila kupatikana tusingejua kwamba kumbe {kupost mgomo wa kariakoo ndo chanzo} angebaki anajua @Eric__Bernard peke ake kama sativa amekufa, maana ndo alikuwa amemchoma
4
73
NITAHANGAIKA KWA WAGANGA WE MSENGE SAMIA UFE...KUMA WEWE, hii nchi sio ya ukoo wenu kuma la bibi yako
hivi mungu yupo? kama yupo mbona anaona huu usenge alafu anakausha tu..SAMIA suluhu hassani inabidi afe kuma la mamake
unauliza swali la kikuma kwanini usilambe block? we hujui kama mange kuja bongo ni hatari kwake, mbona unakuwa kama sikufiragi
Ndugu wanaharakati mnataka kukomboa nchi mbona mnatublock .....nikosa kuuliza "kesho na nyinyi mtakuja tusikilize hukumu ya T.A.L pamoja " 😁sasa mkishika nchi tukiwaudhi si mtatuchinja
2
93
kwaiyo hutaki tuamini wengine lkn unataka tukuamini wewe, au wewe mtoto wa judge
Labda ihairishwe Ila HUKUMU mnayosambaza mtandaoni si yenyewe tutaambiana na Kesho ndo ntaibuka mshindi baada ya Lissu kushinda! Kesi haiko mnavyodhani, acheni kuwapa mawazo majaji kwamba ooo Kumbe hata tukimfunga wameshaandaana kisaikolojia
Kesho tupo na ntaretweet
1
168
imekuwaje naona post yao, wakati wasenge wenzio wote wapo kabatini
Juzi taarifa ya Lissu ilitoka akisema atachangia Mil 15 ya msiba na familia yake wahakikishe wanashirikiana vyema na kanisa katoliki la Singida, ambako huko ndio kigango cha Kitima.
Na sasa rambirambi za Lissu kutoka kwenye kundi la wanamapinduzi ambao wamemponza kuwa jela zinapitishwa kwa Kitima. Kitima bado anaamini wanaweza kuendeleza mission za kupindua serikali tena hivyo bado anaendelea kuorganize mapinduzi kupitia wanafunzi wake wa zamani na watu wengine.
Njooni mseme ni AI, hapo kitima yuko kwenye vikao vya kupanga mapinduzi… kuna siku kinga ya Kitima itaondoka tu na ataenda na yeye kuelezea mahakama ilikuwaje alikuwa anaongoza genge pale TEC
38
sasa hilda wewe mwenyew ulisema upo nairobi, mbn una siasa za kitoto wewe...sisi sote hatupendezwi na lema ila wewe umezidi miyeyusho...hakuna ambae hajui kama upo nairobi humu labda watu wa fb uko
Sijawai kumuaga mtu yeyote kumwambia naenda Nairobi,
Sijawai kuutangazia Umma wa Watanzania kwamba anaenda au nipo Nairobi lakini leo @godbless_lema kwenye press yake anasema kwamba “Hilda Newton yupo Nairobi” means anawatangazia watekaji kwamba kama mnataka kumteka Hilda na yeye yupo hapo hapo mlipomtekea Twaha Mwaipaya.
Lema ni rafiki mkubwa sana wa Faustine Mafwele, Mafwele ambae anawinda roho yangu daily, nimejiuliza sana hivi kama anaweza kusema hivi hadharani Je akiwa sirini na Mafwele akiulizwa kuhusu mimi huwa anasemaje?
Hivi Lema angekuwa anajua mahali ambako naishi ningepona kweli????
60
wapi kasema
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amewaelekeza ndugu zake kuhakikisha kaka yake mkubwa, Wakili Alute Mughwai Lissu, anazikwa kwa heshima na staha, huku akiahidi kuchangia Shilingi milioni 15 kwa ajili ya maandalizi ya mazishi hayo.
Lissu ambaye yupo mahabusu katika Gereza la Ukonga akisubiri hukumu ya kesi ya uhaini inayotarajiwa kutolewa Novemba 6, 2026, alipokea taarifa za kifo cha kaka yake Jumapili, Novemba Mosi, baada ya kutembelewa na ndugu zake gerezani.
Mdogo wake Lissu, Ikota Lissu, amesema kumfikishia taarifa hizo ilikuwa kazi nzito kihisia kutokana na uhusiano wa karibu uliokuwapo kati ya Lissu na marehemu, ambaye alikuwa kaka yake mkubwa, mlezi na mshauri wake katika masuala mbalimbali, yakiwamo sheria na siasa.
Akisimulia tukio hilo, Ikota amesema walifika Gereza la Ukonga majira ya saa 12 asubuhi wakiwa watu wanne, wakiwamo yeye, Jenerali Ulimwengu, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika na mpwa wa Lissu, lakini uongozi wa gereza uliwaruhusu ndugu wawili pekee kuingia kumfikishia taarifa hizo.
Amesema walipokutana na Lissu, hawakuhitaji kutoa maelezo marefu, kwani baada ya kusalimiana na kuulizana hali za nyumbani, mpwa wake alimtajia jina la Alute, jambo lililomfanya Lissu kuelewa mara moja kuwa kaka yake amefariki dunia.
Kwa mujibu wa Ikota, baada ya kupata taarifa hizo, jambo la kwanza Lissu alilosisitiza ni kuhakikisha marehemu anapata mazishi yanayostahili, huku akiahidi kuchangia Shilingi milioni 15 kugharamia shughuli hizo.
Pia, Lissu aliwaelekeza ndugu zake kushirikiana na mapadri, askofu, viongozi wa Kanisa Katoliki mkoani Singida pamoja na marafiki wa marehemu katika kuratibu mazishi hayo, akisisitiza umuhimu wa kumpa heshima kaka yake aliyekuwa mtu wa karibu sana katika maisha yake.
Alute alifariki dunia saa 8 usiku wa kuamkia Jumapili, Novemba Mosi, 2026, katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha Selian, alikokuwa amepelekwa kwa matibabu. Familia imeeleza kuwa mazishi yanatarajiwa kufanyika nyumbani kwao Mahambe, Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, baada ya hukumu ya kesi ya Lissu kutolewa Novemba 6, 2026.
70
wasafi bet walipigwa 24M wakagoma kulipa...kampuni za uhakika ni betpawa,sportybet,premier,meridian, ila hizi za kiswahili kaa mbali
Oya X wakamaria hawa wajuba (Paripesa) nimewakanda 1M, nimeenda kutoa michuzi yangu wananiambia ni watumie documents zangu kwenye email yao ya security
Nimewatumia kila kitu lakini bado wanaleta maZing Zong oya msaada hapa nafanyeje wakuu
Nb: sitaki kusikia arakati za 1xBet
1
2
178




























