Conde Abuu retweeted
Alhamdulillah....May Allah bless us.
Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary
Conde Abuu retweeted
JE, NI KWELI #SAUDIA🇸🇦 KAKOSEA HUKMU YA KUWAUA WALE RAIA WA BANGLADESH⁉️📚💦🤔
[_elimu elimu elimu kwanza__]
>>naona masufy na mashia wamekuja juu sana bila kuelewa hukmu za kisheria za kimahakama
🫴_kosa waliofanya wale wabangaldesh wawili ni kosa la kuadhibiwa kwa #TAAZIR na sio #RAJM(Kupigwa mawe) kama watu wanavyojua
_ ni kweli ni #uzinzi ila umefanyika ndani ya msikiti mtukufu na kitendo hiko kwa #sheria_law kinawekwa katika makosa ya #KUFANYA UFISAD KTK ARDHI
Ambayo hukmu yake inatokea kwenye aya zifuatazo;
سورة المائدة: 33
﴿إِنَّمَا جَزَاءُ الَّذِينَ يُحَارِبُونَ اللَّهَ وَرَسُولَهُ وَيَسْعَوْنَ فِي الْأَرْضِ فَسَادًا أَنْ يُقَتَّلُوا أَوْ يُصَلَّبُوا أَوْ تُقَطَّعَ أَيْدِيهِمْ وَأَرْجُلُهُمْ مِنْ خِلَافٍ أَوْ يُنْفَوْا مِنَ الْأَرْضِ ۚ ذَٰلِكَ لَهُمْ خِزْيٌ فِي الدُّنْيَا ۖ وَلَهُمْ فِي الْآخِرَةِ عَذَابٌ عَظِيمٌ﴾
“Hakika malipo ya wale wanaopigana na Allah na Mtume Wake, na wakafanya juhudi za kueneza ufisadi katika ardhi, ni #kuuawa, au #kusulubiwa, au kukatwa mikono yao na miguu yao kwa kupishana, au kufukuzwa katika nchi. Hayo ni fedheha yao duniani, na Akhera watapata adhabu kubwa.”
🫴_ hivyo kosa la #Taazir hukmu yake ya utekelezaji inakua tofauti na ile ya rajm
kukiuka utukufu wa msikiti mtakatifu huko Makka kunaweza kuwa sababu iliyofanya mahakama ichukulie kosa hilo kuwa zito zaidi.
Hata hivyo, kwa mujibu wa tangazo rasmi la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia, watu hao wawili hawakuhukumiwa kwa #rajm, bali walihukumiwa kuuawa kwa #Ta‘zir.
Tofauti hii ndiyo ufunguo wa kuelewa kwa nini waliuawa kwa upanga badala ya kupigwa mawe.
Rejea tangazo la wizara ya mambo ya ndani lilitangaza ADHABU YA TAAZIR NA SIO RAJM
_pita kwenye linki hii ; 👇
spa.gov.sa/en/N2701392?utm_s…
🫴je , Kwa nini waliuawa kwa upanga badala ya kupigwa mawe?
Kuna tofauti kati ya hukumu hizi mbili:
#Rajm: Ni adhabu iliyothibiti katika Sunnah kwa mtu aliyefanya zinaa akiwa Muhsan, baada ya kosa kuthibitika kwa mujibu wa masharti ya Sharia.
#Ta‘zir: Ni adhabu ya kinidhamu inayotolewa na mahakama kwa makosa ambayo adhabu yake haijaainishwa kwa namna ileile ya adhabu za Hudud. Katika mfumo wa kisheria wa Saudi Arabia, baadhi ya hukumu za Ta‘zir zinaweza kufikia adhabu ya kifo.
Katika tukio hili, Wizara ya Mambo ya Ndani ilitangaza kwamba watu hao wawili walihukumiwa kifo kwa Ta‘zir kwa sababu ya uzito wa kosa lao na kukiuka kwao utukufu wa mahali na heshima za watu.
Je, sababu ni kwamba walifanya kosa ndani ya msikiti mtakatifu?
Kwa mujibu wa tangazo rasmi, ndiyo, utukufu wa mahali ulikuwa miongoni mwa sababu zilizotajwa.
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia ilieleza kuwa kosa hilo lilikuwa zito kwa sababu wahusika walikiuka utukufu wa mahali na wakati, pamoja na kuhusisha tukio hilo na uvunjaji wa heshima za watu. Hata hivyo,
Hivyo, hakuna msingi wa kusema kwamba waliuawa kwa upanga kwa sababu #rajm imefutwa au #imebadilishwa au walikosea .
Tangazo rasmi linaonyesha kwamba mahakama ilitoa hukumu ya #Ta‘zir.
HAPO CHINI PAGE INAYOFUATIA NITAWEKA KWA KISWAHILI TAARIFA RASMI YA SERIKALI YA SAUDIA KUPITIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI KUHUSU TUKIO HILO NA HUKMU ILIOTEKELEZWA👇👇👇
fuatilia ukurasa unaofata;
Conde Abuu retweeted
Mdogo wetu anahitaji msaada anauza lapitopi yake ili aweze kupata pesa ya kumrudisha chuo📌📍
New balance 9060
Size 36-45
Tsh 150,000
Location:Dubai,Uae🇦🇪
Whatsapp:+255758452384. – at Dubai, United Arab Emirates
Conde Abuu retweeted
New balance 9060
Size 36-45
Tsh 150,000
Location:Dubai,Uae🇦🇪
Whatsapp:+255758452384. – at Dubai, United Arab Emirates
Conde Abuu retweeted
Repost yako 🙏💯❤️
AMOUAGE
Interlude For Men Available ✅
📞WhatsApp +255719068333
@emirates @AirTanzania
Mudi in Dubai 🇦🇪
Conde Abuu retweeted
Repost yako 🙏💯❤️
AMOUAGE
Love Hibscus For Woman Available ✅
📞WhatsApp +255719068333
@emirates @AirTanzania
Mudi in Dubai 🇦🇪
Conde Abuu retweeted
Repost yako 🙏💯❤️
AMOUAGE
Honour For Men Available ✅
📞WhatsApp +255719068333
@emirates @AirTanzania
Mudi in Dubai 🇦🇪
Conde Abuu retweeted
Tsh 25,000,000/=
Omega Speedmaster watch Available ✅
Warranty ✅
Membership ✅
☎️ WhatsApp +255719068333
Mudi in Dubai 🇦🇪
Conde Abuu retweeted
Tsh 122,740/=
Issey Miyake
L'EAU D'ISSEY POUR HOME
Intense Available ✅
📞WhatsApp +255719068333
Mudi in Dubai 🇦🇪
Alhamdulillah....May Allah bless us.
Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary


























