Mkurugenzi Mkuu wa Duda Development Foundation atashiriki Mdahalo ulio andaliwa na Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha CBE Dodoma.
Ikiwa Mada kuu ni
“Biashara, Uchumi na Maendeleo kwa Vijana”
Duda Development Foundation retweeted
HAPPY BIRTHDAY MHE. SAID MTANDA,
MKUU WA MKOA WA MWANZA.
Nakutakia Maisha Marefu yenye Afya Njema na Mafanikio, zaidi Uhai wa Muda Mrefu.
Endelea Kuchapa Kazi kwa Bidii Ukiongozwa na Hekima na Busara kwani Wana Mwanza wanakutegemea kwa Uongozi wako Bora. 💪🏿
Duda Development Foundation retweeted
It's your day! 😄
Wishing our Resource Mobilization Officer, Amina at TYVA, a long and fulfilling life!
Cheers! – at Dodoma, Tanzania
Duda Development Foundation retweeted
Leo tumewatambua na kuwapongeza wajumbe wa Kamati ya Uchaguzi ya NaCoNGO kwa kazi yao kubwa ya kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa haki na uwazi. Hongereni kwa kujitolea na kuleta ufanisi katika sekta ya mashirika yasiyo ya kiserikali! #NaCoNGO2024
Uongozi wa DDF unaungana na Rais @SuluhuSamia kwa Niaba ya Watanzania wote.
Tunaungana na Rais @DrHmwinyi wa Zanzibar kwa niaba ya Familia, Ndugu na Jamaa wa Ukoo wa Mzee Mwinyi Kutuma Salamu za Pole na Rambirambi kwa Watanzania wote kwa Msiba wa Mzee Ali Hassan Mwinyi.
Muwe mnaacha Ujinga Nyie watoto wa CHADOMO cha Ajabu ni Kipi Hapo?
Rais ni Binadamu kama wewe Ana Hisia za Uchungu misibani pia. Lakini Kukosea ni Jambo la Kawaida kwa Binadamu.
Msitake kufanya Mtaji wa Siasa Jambo hili, Lakini Kukoswa Ajenda nako kunawaponza!
Hamna lakusema😂🙆🏾♂️
If you want to feel good about yourself, do good things.
#sunday #HappySunday
Duda Development Foundation retweeted
Mapema leo mkoani Mwanza, nilipogawa vizimba vya kufugia samaki na boti za kisasa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu hasa vijana wanaojishughulisha na uvuvi katika Ziwa Victoria, ambapo pia nilipata wasaa wa kuzungumza na wananchi.
Nimeagiza Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuhakikisha inaendelea kutekeleza kwa kasi programu za mafunzo na utoaji wa vifaa vya kisasa kwa makundi mengi zaidi, kama mbinu mojawapo ya kuondoa uvuvi haramu, unaotishia uhai wa sekta hii ambayo ni nguzo ya uchumi kwa mamilioni ya Watanzania.
Sisi wana Taasisi ya Duda Development Foundation (DDF) Tunaungana na wana Mwanza na Watanzania Wote Kukukaribisha Mkoa wa Mwanza, Rais @SuluhuSamia .
#karibumwanza
Tunakutakia Jumapili njema, yenye Afya na Furaha tele! kwako na Familia yako.
Kumbuka kusali.
🙏🏿🙏🏿🙏🏿
#Sunday #SundayFunday #sundaymotivation #sunday
DUDA DEVELOPMENT FOUNDATION YAFANYA SEMINA YA MAFUNZO KWA MAFUNDI UJENZI. (KIGAMBONI)
Mkurugenzi Mkuu wa Duda Development Foundation Ndg Peter L. Dafi ashiriki Mafunzo ya Ufundi Standi kwa Mafundi Ujenzi wa Wilaya ya Kigamboni siku ya Jumapili ya Tarehe 21/01/2024……..
……
4…
Hii ni Sambamba na kuzingatia taratibu za usalama wa afya zao kazini na matumizi sahihi ya bidhaa za finishing katika ujenzi.
Moja ya Bidhaa adhimu na Adimu ya Exta Power Skimming Putty ilitumika Kujifunzia na kuelezea Ubora wa Skimming Putrty hiyo.
Duda Development Foundation retweeted
“Linda Afya yako, Kipindupindu sio DILI”
#kipindupindunoma #KataaKipindupindu
“Linda Afya yako, Kipindupindu sio DILI”
#kipindupindunoma #KataaKipindupindu
Tufuatilia kwa Ukurasa huu wa Instagram pia.
instagram.com/dudadevelopmen…






























