To build, empower and sustain a vibrant community development that fosters sustainable economic development and champions accountable governance

Tanzania
Joined November 2022
Include

Only show posts containing:

Exclude

Hide posts containing:

Time range
-
Minimum likes
Duda Development Foundation@DevelopmentDuda25 Mar 2025
Jukumu la @tanpol ni Kulinda Raia na Mali zao, Acheni watekeleze wajibu wao.
2
Duda Development Foundation@DevelopmentDuda1 Feb 2025
Mkurugenzi Mkuu wa Duda Development Foundation atashiriki Mdahalo ulio andaliwa na Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha CBE Dodoma. Ikiwa Mada kuu ni “Biashara, Uchumi na Maendeleo kwa Vijana”
1
75
Duda Development Foundation retweeted
HAPPY BIRTHDAY MHE. SAID MTANDA, MKUU WA MKOA WA MWANZA. Nakutakia Maisha Marefu yenye Afya Njema na Mafanikio, zaidi Uhai wa Muda Mrefu. Endelea Kuchapa Kazi kwa Bidii Ukiongozwa na Hekima na Busara kwani Wana Mwanza wanakutegemea kwa Uongozi wako Bora. 💪🏿
1
117
Duda Development Foundation retweeted
It's your day! 😄 Wishing our Resource Mobilization Officer, Amina at TYVA, a long and fulfilling life! Cheers! – at Dodoma, Tanzania
1
2
93
Duda Development Foundation retweeted
Leo tumewatambua na kuwapongeza wajumbe wa Kamati ya Uchaguzi ya NaCoNGO kwa kazi yao kubwa ya kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa haki na uwazi. Hongereni kwa kujitolea na kuleta ufanisi katika sekta ya mashirika yasiyo ya kiserikali! #NaCoNGO2024
4
8
429
Duda Development Foundation@DevelopmentDuda1 Mar 2024
Uongozi wa DDF unaungana na Rais @SuluhuSamia kwa Niaba ya Watanzania wote. Tunaungana na Rais @DrHmwinyi wa Zanzibar kwa niaba ya Familia, Ndugu na Jamaa wa Ukoo wa Mzee Mwinyi Kutuma Salamu za Pole na Rambirambi kwa Watanzania wote kwa Msiba wa Mzee Ali Hassan Mwinyi.
1
130
Duda Development Foundation@DevelopmentDuda1 Mar 2024
Muwe mnaacha Ujinga Nyie watoto wa CHADOMO cha Ajabu ni Kipi Hapo? Rais ni Binadamu kama wewe Ana Hisia za Uchungu misibani pia. Lakini Kukosea ni Jambo la Kawaida kwa Binadamu. Msitake kufanya Mtaji wa Siasa Jambo hili, Lakini Kukoswa Ajenda nako kunawaponza! Hamna lakusema😂🙆🏾‍♂️
Huwezi amini kama huyu ni Rais wa Nchi, na anatangaza msiba wa Rais Mstaafu. "FUTA"
131
Duda Development Foundation retweeted
Mapema leo mkoani Mwanza, nilipogawa vizimba vya kufugia samaki na boti za kisasa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu hasa vijana wanaojishughulisha na uvuvi katika Ziwa Victoria, ambapo pia nilipata wasaa wa kuzungumza na wananchi. Nimeagiza Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuhakikisha inaendelea kutekeleza kwa kasi programu za mafunzo na utoaji wa vifaa vya kisasa kwa makundi mengi zaidi, kama mbinu mojawapo ya kuondoa uvuvi haramu, unaotishia uhai wa sekta hii ambayo ni nguzo ya uchumi kwa mamilioni ya Watanzania.
637
278
29
2,614
214,882
Duda Development Foundation@DevelopmentDuda20 Jan 2024
Duda Development foundation is coming up with strategies to a sustainable vibrant community development that will foster sustainable economic development....!
1
1
3
139
Duda Development Foundation@DevelopmentDuda8 Dec 2023
SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA WANA MKOA WA MANYARA WILAYA YA HANANG. Taasisi yetu ya DDF inaungana na Rais @SuluhuSamia na Watanzania wote kwa Ujumla kuwapa Pole kwa Maafa yalowakumba wana Hanang. Mungu awatangulie na Kuwatia Moyo na Nguvu za Kunyanyuka Upya na Kujenga Taifa letu.
2
4
93
Duda Development Foundation retweeted
Welcome to the registration portal of the Annual NGO's Forum set to take place from October 3rd to 5th, 2023, at the Jakaya Kikwete Convention Centre in Dodoma under the theme: *OUR NGOs, OUR VALUES, OUR NATION* Click the link to *Register*. register.nacongo.or.tz
2
4
202
Duda Development Foundation@DevelopmentDuda25 Jul 2023
Unapaswa kujiuliza pia tu kwamba kwanini Miaka Michache hapa Katikati Pesa za Madafu zilizidi Kuimarika na Kupanda thamani na Dola ikaonekana si lolote si Chochote na Thamani ya Pesa ya Tz iliheshimiwa na kuwa ya Maana kwa Kila Mtanzania! Tuliza Medula lakini usihemke kwenye hili
unavailable
1
2
36
Duda Development Foundation@DevelopmentDuda25 Jul 2023
Replying to @Kiganyi_
Ungemalizia vizuri sasa Kaka @Kiganyi_ Kwamba ni Kama MWAJUMA NDARA NDEFU 😂🤪
96
Duda Development Foundation retweeted
Leo nchi yetu inaadhimisha siku adhimu kuwakumbuka mashujaa wetu. Hii ni miamba na majabali ya kihistoria ambayo kwa kujitoa kwao kwa hali na mali kumetufanya sisi kuwa huru, kuishi huru, kuwa na Taifa letu, nyumbani kwetu, na kuwa hapa tulipo kama nchi. Tunajenga mnara mrefu zaidi barani Afrika katika Jiji la Dodoma kama sehemu ya kuendelea kuwaenzi mashujaa wetu. Mnara huu ni alama nyingine ya uhuru wetu, shukrani yetu na kujitambua kwetu wapi tumetoka, wapi tupo na wapi tunakwenda. Nawaelekeza Ofisi ya Waziri Mkuu, Wizara ya Fedha na wote wanaohusika na ujenzi huu wa kihistoria kuhakikisha unakamilika kwa wakati na kwa viwango. Siku hii pia ni siku ya tafakari. Tafakari ya kuendelea kuyaishi waliyoyaamini na kuyasimamia mashujaa wetu kwa kutunza amani, umoja, utulivu, mshikamano na kufanya kazi kwa bidii kwa Taifa letu. Katika siku hii muhimu, tuendelee pia kukumbuka na kuzingatia kuwa Tanzania ni moja, itabaki kuwa moja na kamwe haitagawanyika. Tusikubali na hatutaruhusu mtu yeyote au kikundi chochote kutugawa kwa kisingizio chochote kile. Mwenyezi Mungu Ibariki Afrika. Mwenyezi Mungu Ibariki Tanzania.
349
281
18
1,689
156,508
Duda Development Foundation@DevelopmentDuda10 Jun 2023
Inasikitisha Sana
14
Duda Development Foundation@DevelopmentDuda6 Jun 2023
1
2
51
Duda Development Foundation@DevelopmentDuda3 Jun 2023
Tunaomba Mualiko kama bado Mdahalo huu Unaendelea.
11
Duda Development Foundation@DevelopmentDuda7 May 2023
Replying to @TukupalaMwalyo1
Happy birthday Tukupala
1
11
Duda Development Foundation@DevelopmentDuda15 Mar 2023
March 11, 2023 @PoliceTanzania Tanzania walipokea Pikipiki 5 kutoka @BANKOFAFRICA_TZ ambazo zitagawiwa kwa Kata 5 za Wilaya ya Chamwino ili kusaidia Ukinzi. @DevelopmentDuda iliwakilishwa na Ndg @PeterDafi. Shughuli Nzima iliratibiwa na Radio A FM ya Dodoma
4
5
124