Dzene Asangama retweeted
Kuna wakati KUCHELEWA kwa BARAKA unayohiitaji ni kwa FAIDA yako ili UJENGE MISULI inayohitajika ya kupambana na VITA inayoambatana nayo. Wakati wa kusubiri ni wakati wa KUJIANDAA na kujenga STAMINA inayotakiwa. Kuna vitu VINACHELEWA kwa FAIDA YAKO ili vikukute Uko IMARA, njia pekee ya KUVIHARAKISHA ni kwa wewe KUJENGA uwezo MAPEMA.
Usisahau Kuna wengi WALIHARIBIKIWA baada ya kupata BARAKA kubwa ambazo walikuwa HAWAJAJIANDAA KUZIPOKEA.
Dzene Asangama retweeted
Kuna Muhindi mmoja alikuwa anaishi vizuri na vijana wake (wabongo).
Kutokana na wao kuwa waaminifu aliwaahidi atawapa mtaji siku za mbele ili na wao waingie kwenye uwekezaji wajitafute.
Madogo wakawa so happy.
Imagine after so many years, uaminifu wao finally UNALIPA!
🧵
Dzene Asangama retweeted
MUSA aliua MMISRI aliyekuwa ANAMUONEA ndugu yake akiamini kwa kufanya hivyo atakuwa AMEONYESHA upendo MKUBWA Kwa ndugu yake na ATAPENDWA zaidi. Badala yake NDUGU YAKE huyohuyo AKAMGEUKA siku ya pili. SOMO: USIUE hatima za WENGINE kwa KUAMINI kuwa UTAKUBALIWA zaidi. WATAKUGEUKA!
Dah! Have you been reading my mind? 😂😂 Nilikuwa na tafakari kitu kama isho hii asubuhi... Kwa kweli ubarikiwe
Kila siku inapoanza kuna mambo ambayo yako ndani ya UWEZO wako na kuna yale ambayo yatakuwa NJE ya uwezo wako. Wanaofeli ni wale wanaonza “Kujistress” KULALAMIKIA yale ambayo HAWANA uwezo wa KUYABADILISHA. WANAOFAULU ni wale WANAOANZA na yale YALIYO NDANI YA UWEZO WAO KWANZA.
7
Dzene Asangama retweeted
Kuna MAJIRA kwenye maisha yako kitu pekee utachokihitaji ni KUELEWEKA. Yaani watu wawe TAYARI KUSIKILIZA na KUELEWA “Your Side of Story”. Bahati mbaya sana, WATU wengi huwa WANAHUKUMU kwa kile WALICHOKISIA KWANZA. Tafuta AMANI yako kwa KUZUNGUMZA na MUNGU WAKO. Ipo Siku Watajua!
Dzene Asangama retweeted
Kuna wale watu ambao ndio CHANZO cha wewe KUCHELEWA kutimiza MALENGO yako. Siku utakayofanya MAAMUZI MAGUMU ya Kuachana nao,ndio huwa wa kwanza KUTAFUTA Mbinu ya kuhurumiwa ili WAPATE TENA NAFASI kwenye MAISHA YAKO. Uwe nao Makini Sana.🙇🏽♂️
See You At The Top
Dzene Asangama retweeted
Dzene Asangama retweeted
“The LORD is close to the brokenhearted and saves those who are crushed in spirit.” — Psalm 34:18
Dzene Asangama retweeted
Kama kuna kitu cha maana Mungu aliumba, basi ni watoto na wazazi. Na ndugu wenye upendo wa dhati. Na marafiki wa kweli. Thamani yao utaiona ukiwa na matatizo. Hii ni siku yangu ya kuzaliwa, miaka miwili iliyopita, nikiwa ICU, wanangu walifanya haya mambo 😭😭😭🙏🏿🙏🏿#Alhamdulillah














