FINALLY!
A product MADE IN TANZANIA 🇹🇿 .
Baada ya siku 10 ya kusubiri, app imefika playstore. Kama unatumia TTCL, App yenu hiyo hapo.
TUMEMUMBWA KUTOBOA, na leo tunaanza safari yetu!
God is GREAT!
Playstore Link:
play.google.com/store/apps/d…Day 30/30 - Final Day!
App imekamilika. Tunachosubiri ni playstore waipitishe iwe hewani
Lengo kuu ya App ilikuwa app ifanye mauzo ya Tsh 1,000,000+ kuanzia siku ya 1, ikiwezekana wiki ya kwanza tusikose hata Tsh 5M🤣
Nawashukuru wote kwa uvumulivu wenu, kazi imebaki kwenu💪🏾💯