KITUKUU (@chaizrael) header
KITUKUU (@chaizrael) profile picture
Joined January 2016
Photo by KITUKUU (@chaizrael)Photo by KITUKUU (@chaizrael)Photo by KITUKUU (@chaizrael)Photo by KITUKUU (@chaizrael)Photo by KITUKUU (@chaizrael)Photo by KITUKUU (@chaizrael)Photo by KITUKUU (@chaizrael)Photo by KITUKUU (@chaizrael)Photo by KITUKUU (@chaizrael)Photo by KITUKUU (@chaizrael)
Zaburi 50:15 Ukaniite siku ya mateso; Nitakuokoa, na wewe utanitukuza.
2
199
KITUKUU retweeted
You gotta love Tundu Lissu, man. His mitigation factors is that of a no nonsense lad. “Sheria inapotaja adhabu ya faini au kifungo, ni lazima kwanza itoe adhabu ya faini. Huu ni msimamo wa kisheria.” “Mkinipa maximum sentence itakuwa ni ushaidi kuwa mmeelekezwa.” Oii🙌🏼🫡
41
325
10
1,199
36,230
Leo ni BLACK FRIDAY. Mahakama Kuu inapotoa uamuzi kuhusu tafsiri ya sheria, uamuzi huo unaweza kuwa na athari kwa kesi zijazo, hasa katika Mahakama za chini. Uamuzi wa leo uliotolewa na Mahakama Kuu una hatari ya kuwa judicial precedent itakayotumiwa na Mahakama za chini katika kuamua kesi zijazo, Uamuzi huo utaathiri kwa upana zaidi haki ya washtakiwa wanaoshindwa kutiwa hatiani kwa makosa makubwa waliyoshtakiwa nayo. Kwamba sasa imewezekana mtuhumiwa kufikishwa mahakamani kwa kosa kubwa, akanyimwa dhamana na kukaa mahabusu kwa takribani siku 577 Wakati mtuhumiwa akisubiri haki yake atakuwa akitokea gerezani kwenda mahakamani. Kwamba, mtuhumiwa atapoteza uhuru wake wakati wote. Upande wa Jamhuri ukishindwa kuthibitisha kosa aliloshtakiwa nalo, Mahakama inachukua ushahidi huo huo na kutengeneza kosa jingine dogo, Halafu Mahakama inatoa hukumu ya kifungo gerezani bila fursa ya kulipa faini. Hakimu atafanya rejea ya kesi ya Jamhuri Vs. Tundu A.M Lissu. Unafungwa gerezani kwa kosa ambalo hujashtakiwa na hujawahi kusikilizwa popote. Unabadilishiwa kosa lako ukiwa kizimbani na unahukumiwa kifungo. Hii ni siku mbaya sana kwa utawala wa sheria, haki ya kusikilizwa na misingi ya utoaji haki. Kama unaona haikuhusu, itawagusu ndugu, jamaa na rafiki zako
21
245
1
1,015
34,113
“Today the High Court has confirmed what we have said from day one: the treason charge was a political fabrication. The prosecution failed to prove any intention to intimidate the government. Instead of ordering my release after 577 days in detention, the court has convicted me of an offence I was never charged with and never given a chance to defend. This is not justice. This is damage control. History will record how the court searched for a lesser charge simply to keep me in prison.” Tundu Antipas Lissu November 6, 2027 —Admin.
66
1,204
15
3,792
73,954
KITUKUU retweeted
Akiwasilisha mitigating factors, Lissu anasema: "Historia haijawahi kuwa nzuri kwa Majaji wanaofunga watu wasio na hatia ili wamridhishe mteule. Hilo kosa la uchochezi mmelitafuta wenyewe Majaji kumsaidia mteule wenu." What a Man!
53
497
10
1,796
45,190
💪💪💪💪💪💪💪 Solidarity!!
40
188
1,874
Kiongozi wa Chama CHADEMA Tundu Lissu Siku Chache tu atakutana na Siku muhimu Saana Katika Hstoria ya Maisha yake .Atpandishwa mahakamani kwa Yale Makosa aliopewa na Serikali .Kwa Niaba ya Watu wa Zanzibar Tunamtakia Ushindi ili aendelee na Family yake na Kazi zake za Siasa Amin
19
228
5,354
Piga kazi mzee; “peleka moto peleka moto” kwa maneno ya Lissu. Integrity ndio silaha yako pekee na inaonekana mpaka sasa imefanikiwa kushinda kwa kiasi kikubwa sana. Ukisema HAPANA, basi iwe HAPANA KWELI KWELI. Na ukisema NDIO, basi iwe NDIO KWELI KWELI. Piga kazi.
3
49
222
2,974
BURIANI WAKILI ALUTE LISSU MUGHWAI: Leo tarehe 1 Novemba 2026 majira ya SAA KUMI ALFAJIRI, nilipokea ujumbe wa SIMU kutoka kwa Wakili IKOTI LISSU kuwa, Wakili ALUTE LISSU MUGHWAI, kaka wa TUNDU LISSU 👇 AMEFARIKI DUNIA. Poleni sana familia na Ukoo wa LISSU.🥲
34
174
6
1,053
35,604
KITUKUU retweeted
Ndugu yangu Twaha Mwaipaya BADO hatujampata. Tuendelee kuweka #FreeTwahaMwaipaya au kurepost bila kuchoka kama ambavyo alikuwa mtu asiechoka juu ya kupambania nchi yake. #FreeTwahaMwaipaya REPOST 200
5
334
861
10,514
‼️HABARI MBAYA‼️ Huyu kwenye picha anaitwa Yahaya Said Mbaga, ni mkazi wa Ituha-Mbeya. Amepoteza maisha baada ya kupata ajali ya gali maeneo ya Ituha relini, majirani zake wanasema kwao ni Mlola- Tanga lakin hawamfahamu ndugu zake so kama kuna yoyote ambae anamfahamu huyu kijana tafadhali nichek DM. Naomba nisaidie kurepost huenda tukawapata ndugu zake.
5
161
6
430
82,642
🤖 Made with AI
10
1,604
9
3,910
32,334
KITUKUU retweeted
Tanzania’s Tundu Lissu deserves the Sakharov Prize. Facing a possible death sentence amid concerns over the fairness of his trial, the Tanzanian opposition leader remains a courageous symbol of the fight for democracy, human rights and the rule of law. Hear more from EPP Group MEP @ReinholdLopatka.
44
249
8
578
10,494
KITUKUU retweeted
The Sakharov Prize should go to Tundu Lissu!
The Sakharov Prize should go to Tundu Lissu! @ReinholdLopatka @lukasmandl @davidmcallister
15
158
5
398
4,834
‼️MBUNGE HARAM WA CCM AKAMATWA KISA KUHOJI ALIPO NCHIMBI ‼️ Nimejulishwa kwamba Mbunge haram wa CCM, Mariam Ditopile, anashikiliwa na Jeshi la Polisi tangu siku ya Jumanne yani September 15, 2026 na jana usiku kasafirishwa kutoka Dodoma kaletwa Dar es salaam. Kosa lake alihoji kwenye group lao Wabunge kwamba Nchimbi yupo wapi.??
46
167
10
1,002
107,541
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Agosti 12, 2026 Kesi ya uhaini dhidi ya Mhe. Lissu inaendelea katika Mahakama Kuu ya Dar es salaam ambapo Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia Cross Examination Shahidi wa Jamhuri ACP Amin Mahamba. Jana tuliishia part 231 so leo tunaendelea na Part 232. Imepigwa high court. Majaji wameingia wapo watatu kama kawaida yao. Mtuhumiwa nae ameingia japo leo Askari Magereza wamemzonga sana ili asisalimiane na watu. Mtuhumiwa yani Mhe. Lissu amechukua nafasi yake, na shahidi Amini Mahamba amekaa katika kizimba tayari. Karani anaita kesi kwa namba yake : JAMUHURI dhidi ya TUNDU LISSU Mawakili wa serikali wanaongozwa na AJUAYE, Katuga, Job Mrema , Cuthbert Mbilingi na Winniwa Kasalla. Majaji wanamuuliza mtuhumiwa kama yupo tayari… Mhe. Lissu anaomba kufanya consultation toka kwa Mawakili wake/researchers Majaji wanamruhusu Mawakili wake Nashon Nkungu Na Sisty Aloyce wanainuka na kusogea kizimbani kumconsult Mhe. Tundu Lissu wanateka Kama dakika tano hivi kisha wanarudi kukaa kwenye viti vyao. Jaji anamkumbusha Shahidi kuwa bado yupo chin ya kiapo. Mhe. Lissu anaruhusiwa aanze kumuhoji Shahidi. Anamwambia leo hana maswali mengi sana Anamuuliza kama alidhamiria kuwa maelezo yake aliyotoa alidhamiria yaaminiwe kama ushahidi wa kweli. ACP Amin Mahamba anajibu kwamba ndio alidhamiria Mhe. Lissu : Ulidhamiria kuwa maelezo yako uliyotoa kule Polisi yawe ushahidi Mahakamani? Lissu anasema “IM TYING UP THE LOOSE ENDS” Anamuuliza kuhusu wale mashahidi waliofichwa waliotolewa mikoani. Mhe. Lissu : Swala la kwanza eneno hilo; unakumbuka ulisema kwamba hawa mashahidi waliofichwa ni watu waliokamatwa na Polisi ni KWELI walikutwa wakipanga njama? ACP Amin Mahamba : sio tu kupanga niama, na kuhamasisha Mhe. Lissu: Walipokamatwa walikiri Polisi kupanga kufanya njama na vurugu Uchaguzi na kadhalika ni kweli?? ACP Amin Mahamba : Hayo yalikuwa ni makosa ya jinai. Mhe. Lissu: Wakakiri kwa maandshi? ACP Amin Mahamba : Sahihi. Mhe. Lissu: Waleleze Majaji hizo tuhuma za kijinai mlizowakamatia ziliishia wapi? ACP Amin Mahamba : Waheshimiwa rejea maelezo yangu ya siku ya kwanza, kuwa baaada ya watu hao kukamatwa tuliitisha jalada, tukasoma tukapitia. Mhe. Lissu: Umeelewa swali langu shahidi? Nimesema sitaki unipotezee muda, nataka kutumia nusu saa. Katuga anainuka Kabla hajasema chochote Mhe. Lissu anamwambia kaa, Katuga anasema si jukumu la Mhe. Lissu kumwambia akae chini. Mhe. Lissu anakubali na kumueleza Shahidi kuwa akiuliza swal anataka jibu sio hotuba Mhe. Lissu anauliza kuwa hizo tuhuma za kupanga njama ziliishia wapi? ACP Amin Mahamba : Baada ya kupitia majalada… Mhe. Lissu: kweli kuwa mliwafutia kesi wote? ACP Amin Mahamba : sahihi Mhe. Lissu : Tuanze na DSM… 29/10.. kulitokea vurugu zilizoua watu 182 ACP Amin Mahamba: Mimi sio msemaji wa Jeshi la Polisi, hizo ni taarifa nyeti. Kwa mujibu wa Tume ya Jaji Chande watu 182 waliuwawa DSM. ACP Amin Mahamba : si kweli Mhe. Lissu: Katika wale watu waliokamatwa wapo wa kutoka Arusha ACP Amin Mahamba : Kweli Mhe. Lissu: Walikiri kupanga uhalifu, kupiga watu nk na Mkawaachia,? ACP Amin Mahamba : Kimya Mhe.Lissu : Siku ya uchaguzi 29, kwa mujibu wa Tume ya Jaji Chande, waliuwawa watu 53 Arusha, watu ambao mlikuwa mnajua walichopanga mkawaachia, wakaenda kutekeleza hayo.? ACP Amin Mahamba : Aaah, eeh Mhe. Lissu : Twende Mbeya, kuna watu mlikwakamata Mbeya, walisema wanapanga kufanya vurugu kwenye Uchaguzi, watapiga watu mawe wakakiri halafu mkawafutia mashtaka kweli si kweli. ACP Amin Mahamba : KWELI Mhe. Lissu : Arusha, Dar es Salaam, Mbeya jumla ya watu waliouawa ni 315. Eleze kama kuna Mkuu wa Polisi, au DC, alichukuliwa hatua kwa uzembe wa maafa haya? ACP Amin Mahamba : Sina hakika kama kuna aliechukuliwa hatua Part 233 itaendelea kwenye post inayofuata. Naomba Repost yako.
32
342
3
871
52,876
هكذا تقاتل أمريكا القوات الإيرانية
Readers added context they thought people might want to know
هذا الفيديو مأخوذ من لعبة محاكاة عسكرية وليس لقطات حقيقية. مقاطع من مثل هذه الألعاب تُستخدم بشكل متكرر في المنشورات حول النزاع بين أمريكا وإيران. aljazeera.net/news/2026/3/4/ألعاب-الحرب-بين-أمريكا-وإيران-معارك youtube.com/watch?v=CqbFKJ…
702
654
66
5,195
1,200,544
KITUKUU retweeted
That is my Boss, Spirit yake haiwezi kuvunjwa na kuta za gereza. Watanzania wamekusikia Boss. Kila mtu achangie chama kwa uwezo wake. CHANGIA M-Pesa Namba: 0744446969 Jina: CHADEMA HQ NMB Bank Namba ya Akaunti: 22606600140 Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
39
400
4
1,418
27,070
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
295
1,103
66
3,370
176,064
Kubaaaaabake. Masela wamekataa porojo. Zimeletwa stori za awamu ya sita, watu wamezomeaa balaa. Watu wapo kwenye burudani unawaletea habari za awamu ya sita. Tunajenga arenaaa. Tunajenga arenaaaa. Tuna, tuna, tuna miaka nenda rudi. Masela wamekataa porojo. 😁
158
310
17
1,897
104,611
3
17
1
57
1,565