Kirombo (@b_assenga) header
Kirombo (@b_assenga) profile picture

Believer✝️ Man United Fun⚽

Tanzania
Joined December 2022
Photo by Kirombo (@b_assenga)Photo by Kirombo (@b_assenga)Photo by Kirombo (@b_assenga)Photo by Kirombo (@b_assenga)Photo by Kirombo (@b_assenga)Photo by Kirombo (@b_assenga)Photo by Kirombo (@b_assenga)Photo by Kirombo (@b_assenga)Photo by Kirombo (@b_assenga)Photo by Kirombo (@b_assenga)
Ukipata nafasi ya kumtia neno lolote Mwanaume la kumpa moyo, aman na nguvu ya kuendelea kusonga mbele we fanya hivo.... Hii dunia haina huruma na wanaume.
3
3
60
Swali kuu ni: Wanafanya nini kinachowafanya wahisi hawako salama? Ni wazi kuwa wanafanya illegal Deals.
4
Let the young man in his desperation go out and hunt. If he kills the elephant, his poverty ends. If the elephant kills him, his poverty ends.
Hakuna kitu cha maana duniani kama kupambania ndoto yako. Watu watakuona hauna maana, hawakuheshimu, wanakudharau. Baada ya miaka kumi watakusalimia kwa heshima. Usiiache ile ndoto yako.
1
1
1
7
Ni wachache sana wamejitambua au wameanza kuwa expose Watoto wao katika mitikasi Yao wanayofanya.
Naanza kuelewa kwanini wabongo wengi huwa ngumu kurithishana utajiri. Unashangaa baba alikuwa tajiri mkubwa watoto wanakuja kuishi maisha ya kimaskini sana. Wenzetu dogo akiwa bado mdogo kabisa anafundishwa biashara . Imagine huyu janja tayari anajua namna system inavofanya kazi. Huku wabongo wengi mtoto unashangaa haruhusiwi hata kusogelea dukani tu. Hapa tuna cha kujifunza walahi📍📌
1
1
1
30
JIFUNZE KUSIMAMA PEKE YAKO WATU WAKO BUSY SANA.
7
Sku hizi biashara nyingi zinazotangazwa ma wadada lazima ageuke shape ionekane mapaja nyonyo.. na haijalishi iwe biashara ya chupi twendee.. biashara ya vitanda twendee.. kukopesha magari geukaa twendee. What happened mbona mitandao inatisha.. Ukiscoll reels 5 basi 3 za ajabu.
1
13
Hakikisha uyo mchezaji wa akiba kabla ya kusajiliwa anafanyiwa vipimo vyote vya kimwili had utimamu wa akili.
Siku zote hakikisha una mchezaji wa akiba,mchezo unaweza ukabadilika mda wowote .
1
16
Shida Yako unataka kazi ya ofisini ukae, uvae suti, Moka, ubebe na kile ki briefcase and get Respected from your society huku unalipwa Laki 3..
Na Degree yangu, nimeamka kuchunga ng'ombe 📌 Huku kijinini wameanza kunidharau wanaona kama nilifeli chuo. Ety nakuaje kijinini baada ya kuwa maofisini
16
Na Degree yangu, nimeamka kuchunga ng'ombe 📌 Huku kijinini wameanza kunidharau wanaona kama nilifeli chuo. Ety nakuaje kijinini baada ya kuwa maofisini
15
32
2
73
1,515
Wachana na kushika Fagio waoshe pants zao wenyewe, watandike kitanda, waoshe vyombo... This kizazi tunawaendekeza sana.... Kipengele kidogo tu utaskia Dada Fanya hivo Fanya vile aaahg Qmmk
Kama mtoto wako anaweza kutumia simu, tablet na kucheza game bila shida, basi ana uwezo wa kushika ufagio, dekio na kuosha vyombo.
11
Kujitanbua na Sehemu uliyopo ni vitu viwili tofauti
Kuna mtu hapa anasema mafanikio nimatokeo ya kujitambua nimeamua nikae pembeni kidogo.
7
Kwa bahati mbaya zaidi asilimia kubwa ya Wazazi Maskini huzaa watoto kama mradi wao wakiamini watakuja kusaidiwa na watoto wao, huu ni UPUMBAVU.
Ni mwendelezo wa UMASKINI tu kuamini Kwamba UKIOA au ukipata watoto ndo utaanza kufanikiwa au eti ndo milango ya mafanikio itafunguka. Mbona hii nchi ingekua na MATAJIRI WENGI SANA kama formula ndo iyo.
1
15
Kirombo retweeted
Ukipata nafasi ya kumtia neno lolote Mwanaume la kumpa moyo, aman na nguvu ya kuendelea kusonga mbele we fanya hivo.... Hii dunia haina huruma na wanaume.
3
3
60
Hii ni kubwa kuliko binafsi na wish Nifanye adventure before this year ends... Huu mwaka umekuja na Mambo mengi + na - sana I have to take my Medulla somewhere to heal it a little.
I wish niandike kitabu kuhusu mtanzania na route za maisha yake ya kila siku au niandike kitabu kuhusu nature na jinsi inasaidia kuponya afya ya akili Nina Imani naweza
1
1
1
32
Juzi kati Nimeumwa na jipu la Kujirudia nimeenda zahanati Moja hapa DSM wameniandkia dawa na kunifanyia upasuaji maana lilijirudia na Cha anabu wakati naondka nesi mmoja akanishauri nikacheki Afya yangu kwenye Tent Nje na Majengo yak nkasema hii kubwa.Kwenda kumbe ni HIV Testing
Tukumbushane tu Mwenye HIV huwezi mjua kwa kumwangalia jinsi alivyo.
2
31
Mwisho wa siku majibu yametoka Negative. Ila Bado Mdada kashikilia bomba Dawa za Prep Hizo wanatoa Bure ikiwa umefanya ndani ya masaa 72 au Ku utumie za ku strengthen immune system umeze ndani ya miez 6... Nkasema ni mgao umepita uko nini maana so kwa kufosi hizo nichkue dawam
1
15
Aposto Kuna Muujiza uku...
Kama sio Emergence jiepushe mahusiano na wanaume wa kanda ya Iringa😌 utaona moto.
28
Kujitaftia sonona zisizo na msingi af mbaya ukute ni mwanayunifesiti 😂
Unaleta mambo ya “She is mine” na demu anaishi mkoa mwingine... Pumzika kaka.😂
1
18
Kitimoto kiwe kinapimwa kabla na baada ya kuandaliwa kwa kweli.
1
1
5
Hakuna Tuzo ya kuwa Na Madem wengi.. While you end up draining your energy.
Mpenzi ulieanza nae mwaka ndo huyo huyo unamaliza nae mwaka au una mwingine?
1
1
13