𝐭𝐀𝐒π₯𝐨𝐫 πŸ‘πŸ”πŸŽ (@immachozx) header
𝐭𝐀𝐒π₯𝐨𝐫 πŸ‘πŸ”πŸŽ (@immachozx) profile picture

All love here.​ May my dream come true πŸ™

Tanzania
Joined February 2024
Kama mtoto wako anaweza kutumia simu, tablet na kucheza game bila shida, basi ana uwezo wa kushika ufagio, dekio na kuosha vyombo.
17
67
4
489
13,726
Watu wanabadilika kila siku, hakuna unayemjua vizuri. ​Usimdharau yeyote, hujui kesho atakuwa nani!
3
6
44
455
Uwezo wako upo katika kutokuwa na kinyongo, wivu, wala kutojistahilisha.
2
11
27
375
Mambo yakikunyookea na kufanikiwa, usijitangaze. Funga mdomo!
4
13
32
493
Kuna makosa huyaepuki kwa hekima yako pekee, bali kwa kuwa na watu sahihi karibu yako.
2
5
9
173
Siyo kila wakati inabidi ufanye jambo na watu ndiyo liende vizuri. Wakati mwingine, unapaswa kulifanya peke yako ndipo linapofanikiwa.
1
4
11
242
Kuna wakati, kadiri unavyozidi kujaribu kurekebisha kosa, ndivyo unavyozidi kuharibu. ​Wakati mwingine suluhisho si kufanya zaidi ila ni kuwa mtulivu, na kuacha muda uamue.
1
10
1
51
761
Mwanaume mwenye familia, fanya juu chini chakula kiwepo cha kutosha nyumbani. Wakati wote.
2
15
85
1,971
Jifunze kusubiri zamu yako huku ukipongeza mafanikio ya wengine.
4
9
67
722
Maisha yana vituko sana: Kuna watu kadri unavyozidi kuwaheshimu, ndivyo wanavyozidi kukukosea heshima.
2
10
48
797
Wakati fulani lazima uyapende maumivu na ukubali mambo hayawi sawa kila wakati.
5
6
35
636
Kutakuwa na watu kila wakati katika maisha yako watakaokutendea vibaya. Hakikisha unawashukuru kwa kukufanya uwe imara.
1
3
19
337
Waalimu wangelipwa vizuri, tungekuwa na watu smart kila sekta na sheria zilizo bora zaidi.
6
9
1
51
704
Kupunguza kukurupuka, au kujibu vitu kwa hasira na hisia kali, ni sehemu kubwa sana ya kukua na kupunguza msongo wa mawazo.
4
4
30
505
Kwenye mambo mengi ya kubahatisha, bahati huenda kwa wale waliojiandaa vyema.
2
8
1
33
525
Siyo kila jambo linahitaji maoni au kauli yako. Kuna wakati kukaa kimya ni ulinzi bora zaidi dhidi ya migogoro, majungu, na hatari za kisheria au kijamii. Kumbuka: ​Samaki hakamatwi na ndoano ikiwa atafunga mdomo wake.
1
1
8
204
Jiepushe na marafiki wanaoona shida zako kama fursa kwao.
4
5
26
380
Dunia tunapita, eh... Kila kitu kitabakia, ah. Binadamu ni mchanga, ah... Kitabaki milele ni milima. β€‹πŸŽΆπŸŽ§ Samba Mapangala | Dunia Tunapita.
3
16
267
Katika maisha, kuna watakaoonekana wako mbele yako, na wapo watakaoonekana wako nyuma yako. ​Ukweli ni kwamba kila mtu anatembea kwenye majira na muda wake mwenyewe. ​Hesabu hatua zako, si za wenzako.
3
10
51
808