Mwaitenda Ahobokile (@amwaitenda2020) profile picture

CHARTERED ACCOUNTANT (ACCA-UK ), FINANCIAL /ECONOMIC CONSULTANT AND A REGISTERED TAX CONSULTANT IN TANZANIA

Joined May 2020
Mzee wa TRAB na TRAT sio vibaya kukiri uwezo wenu ni mdogo mnoo kushughulikia matatizo ya kiuchumi ya watanzania!Tangu ukiwa waziri wa fedha umetengeneza uchumi wa ajira 5 maarufu nazo ni: 1.Uchawa 2.Uchambuzi wa mpira 3. Kubeti 4.Manabii feki matapeli 5. Wachekeshaji mitandaoni!
2
160
HAPPY EASTER KAKA! UNAJUA HATUKUKUTANA BARABARANI BALI TULIKULA NA KUNYWA PAMOJA KISHA TUKAPANGA MIKAKATI YA KUKIOKOA CHAMA NA TUKAFANIKIWA ,MAOMBI YANGU PASAKA HII MUNGU AKUPE AFYA NJEMA NA NGUVU,ROHO YA UVUMILIVU YENYE IMANI NA MATUMAINI YA KUIONA TANZANIA NJEMA KWA KILA MTU 🙏
1
18
143
2,213
Siku zote ukiwa mwongo uwe na kumbu kumbu! Juzi umesema tuna akiba ya mafuta ya miezi 3 ambayo ndo yanaletwa kwa tenda moja ya BULK PROCUREMENT lkn hata wiki haijapita mafuta yamepanda bei kwa zadi ya 40%!!Akiba iko wapi au wajanja mnapiga bingo mafuta ya akiba? WATZ NI MALOFA!!
3
4
14
902
I miss you brother, najua unakumbuka nimekuja gerezani kukuona mara 2 tukaongea ila baada ya hapo nimefanya kila jitihada kukuona tena magereza wananirudisha getini mpaka naambiwa mie ni Mcongo sio Mtanzania !! I miss our days in Goba for nyama choma na beers !MUNGU ATAKUTOA SOON
3
37
2
292
6,108
Weekend ilopita nilikwenda MAGEREZA UKONGA kumsalimia kakaangu TUNDU LISSU sababu tunashare values za UTU; HAKI NA FURSA ! AFISA MAGEREZA AKASEMA MIE NI MKONGO SIRUHUSIWI ,PIGA MAGOTI TOKA NJE !!
16
67
2
434
13,943
Kama kweli waloshika bunduki ndo wameua vijana wetu ni uthibitisho kuwa NCHI NYINGI ZA AFRICA bado ziko kwenye zama za ujima ambako kujilimbikizia mali lilikuwa ndo lengo kuu la kuishi!Wazungu walikosea sana kutuletea DEMOCRACY wakati bado HATUJASTAARABIKA matokeo yake ndo haya!!
1
3
14
473
Unapokwenda kuwekeza kwenye huu mfuko @UTT_AMISTZ unapewa ahadi nyingiii kuanzia riba nzuri,flexibility,customer care etc kumbe ni UONGO mtupu hata simu ya customer care tu hawapokei !Haiwezekani tukae kimya wkt wamekusanya mabilioni ya fedha za maskini halafu wana uzembe mkubwa!
1
1
296
" INVEST AT UR OWN RISK" ndo ushauri ninaowapa wanaotaka kuwekeza kwenye nchi maskini kama TZ ambayo kila sector is "under state control" iwe soko la hisa,mabenki,mashamba,mifuko ya uwekezaji kama UTT etc!Nani haridhishwi na uendeshwaji mbovu wa UTT AMIS tufungue petition pamoja?
2
218
Walonunuliwa na haya majizi njaa zao hazina hekima ! Kwa kifupi tumbo halina shukrani Siku moja wale mihogo maharage halafu waende chooni kisha siku nyingine wale shawarma na ngamia kisha waende chooni tena ili watofautishie kinyesi cha mihogo maharage na kinyesi cha shawarma !!
1
4
24
3,158
Kama MTAALAM wa masuala ya kodi na mzalendo kwa nchi yangu naomba ufafanuzi kutoka @TRATanzania kwanini gari analotumia mgombea urais wa CHAUMA bwana SALUM MWALIMU land cruiser ZX T610DGP limesajiliwa details MAKE- KIA na MODEL -SEDONA?Je wamekosea plate number?Kodi ililipwa?🤔
43
73
7
326
29,275
Nilipojiuzuru UJUMBE KAMATI KUU kwa KUTOKUKUBALIANA na MWELEKEO wake,wengi hawakunielewa na kunitukana lkn Mungu ameyaweka wazi!CHAMA KIMEFUNGIWA;VIONGOZI WAKO JELA NA KUSIKOJULIKANA; RUZUKU?Yeye ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ila ana UTHUBUTU kwenda kwenye KAMPENI za maccm!😡
23
39
3
161
8,970
Mwaitenda Ahobokile retweeted
Mnaenda kwenye ziara badala ya kujenga hoja dhidi ya ccm mnahangaika na ajenda ya #NoReformsNoElection !!! Elezeni watu hoja zenu, wambieni watu mnachotaka kufanya… msimamo wetu uko palepale na ndio msimamo wa wananchi Mnasema mkipata wabunge hata watatu mtazuia ccm bungeni kupitisha sheria mbovu!!!! Kwani sasa hivi mna wabunge wangapi bungeni? Si mna wabunge wanne kutoka Pemba? Au hao ni tofauti na wanne ambao unahitaji sasa? Kwanini hawakuzuia hiyo sheria ya usalama wa Taifa? Au hao wanne wa sasa watakua na Utofauti gani? Tulikua bungeni wabunge 105 wa upinzani lakini ccm walitumia wingi wao kupitisha kila uchafu, bajeti mbovu, sheria ya mitandao na vyombo vya habari, walipitisha maazimio yote ya hovyo kupongezana, walizuia kila mjadala wetu ikiwemo utekaji.. Kwahiyo dawa sio kuziba matundu, dawa ni total overhaul, tupitishe sheria nzuri tuwe na uchaguzi huru na haki tumshinde Samia na chama chake turudishe heshima ya Nchi .. Vinginevyo ni kutumiwa na ccm kujaribu kuhalalisha uchafu wao, bahati nzuri Watanzania wameshitukia mchezo huo.
184
696
21
2,839
125,248
Hii ni bajeti ya wizara ya FEDHA mwaka 2025/26 . Chha ajabu waziri @mwigulunchemba1 anatuona watz wote mambulula tu maake kahamishia wizarani kwake bajeti ya CAG na wadhibiti wa FEDHA haramu ! La kujiuliza uhuru (INDEPENDENCE) ya hizi taasisi 2 uko wapi kama zinaomba hela kwake??
2
1
12
953
Miaka 2 ilopita nikiwa MJUMBE WA KAMATI KUU CHADEMA nilimshauri Mwenyekiti wa wakati huo Mh.Freeman Mbowe KUIVUNJA SECRETARIAT yake ya kamati kuu sababu ya UBADHIRIFU,KUKOSEKANA UWAJIBIKAJI,kutumia jina lake kuumiza watu wa chini etc ....hawakunielewa !Nashukuru MUNGU AMEJIBU 🙏
20
72
333
18,145
Tunakushukuru Mungu wa mbinguni kudhihirisha UTUKUFU wako dhidi ya SHETANI 🙏Sisi ambao tumeshuhudia matendo yako makuu TUMEINULIWA na hatua hii ya watesi wetu kuendelea kumtumikia SHETANI ili UTUKUFU wako ujidhirishe mbele yao mwaka huu maake uliahidi WATU WAKO HAWATALALA NJAA🙏
3
18
864
Mwaitenda Ahobokile retweeted
G55, malizieni petition yenu haraka ya kupinga Azimio halali la chama la #NoReformsNoElection. Pia, malizieni kualika vyombo vya habari siku ya tarehe 3, kesho. Ila Kumbukeni, kupinga azimio halali la chama ni USALITI.
96
138
19
532
187,084
Also Hon.Minister @DBiteko help us with data what have we achieved as a country on small regional declarations like MAPUTO DECLARATION ON AGRICULTURE that makes you think we will achieve AFRICAN MISSION 300 ON ENERGY??🤔 There are 5 ommited facts on your AMBITIOUS 5 YEAR PLAN 👇
2
6
582
Mh. Waziri wa nishati @DBiteko watanzania tuelezwe manufaa ya kuandaa mkutano wa nishati 'eti' kuwapatia watanzania milioni 8 wkt Tanesco ina umeme wa ziada 1200MW?Kwann hela mlizotumia mkutano msisambaze umeme kila kijiji badala ya kuharibu ratiba za kujipatia kipato kwa siku 2?
1
4
12
582
Ndugu wanachadema napenda kutoa taarifa kwa umma kuwa baada ya kuridhishwa na mabadiliko ya uongozi tulofanya,kumshirikisha Mwenyezi Mungu kwa maombi leo J2 nakupata ushauri wa familia yangu NIMEBADILI uamuzi wa kujiuzuru ujumbe wa kamati kuu ili niweze kusaidia ujenzi wa chama✌️
51
78
6
485
42,429
Tutafanya FORENSIC AUDIT ya miaka 3 ilopita, tuna jukumu la kulinda raslimali za Chama na kodi za watanzania tunazopewa ruzuku💪
27
40
1
477
16,985