Katika Kipindi cha 12 msimu wa 4 wa UTT Live Series, tumejadili kwa kina masuala yafuatayo:
-Ni mtu wa aina gani anaweza kuwekeza kwenye mifuko ya UTT AMIS?
-Faida zipi mtu anazipata anapowekeza?
-Hatua zipi mtu anapaswa kuchukua ili kuanza uwekezaji?
Jiunge nasi leo saa 5 kamili asubuhi kupitia link xitter.cf/i/spaces/1YqKDZZqyRLJV
Katika Kipindi cha 12 msimu wa 4 wa UTT Live Series, tutajadili kwa kina masuala yafuatayo:
-Ni mtu wa aina gani anaweza kuwekeza kwenye mifuko ya UTT AMIS?
-Faida zipi mtu anazipata anapowekeza?
-Hatua zipi mtu anapaswa kuchukua ili kuanza uwekezaji?
1
5
699
Katika Kipindi cha 12 msimu wa 4 wa UTT Live Series, tutajadili kwa kina masuala yafuatayo:
-Ni mtu wa aina gani anaweza kuwekeza kwenye mifuko ya UTT AMIS?
-Faida zipi mtu anazipata anapowekeza?
-Hatua zipi mtu anapaswa kuchukua ili kuanza uwekezaji?
Tunawatakia maadhimisho mema ya siku ya Sabasaba.
#UTTAMIS #Sabasaba #2025 #investing #uwekezaji #wekeza #Weekend #MutualFunds #Fedha #JifunzeUwekezaji #Finance #mifukoyetu #vipande #wekeza #akiba #akibahaiozi #saving #investement #UkuajiWaPamoja
5
567
Andaa maisha mazuri kwa kutengeneza kipato cha uhakika hata baada ya kuacha kufanya kazi.
#UTTAMIS #investing #uwekezaji #wekeza #Weekend #MutualFunds #Fedha #JifunzeUwekezaji #Finance #mifukoyetu #vipande #wekeza #akiba #akibahaiozi #saving #investement #UkuajiWaPamoja
6
433
UTT AMIS ina mifuko 6 ya uwekezaji.
Kila mfuko una malengo yake, vigezo vyake na faida yake kulingana na uendeshaji wa mfuko huo.
Wasiliana nasi au tembelea ofisi zetu kupata elimu na ushauri juu ya mifuko hii ya uwekezaji.
#UTTAMIS #investing #uwekezaji #akiba
Kuwa mstari wa mbele kupata habari na taarifa kwa wakati juu ya mwenendo wa uwekezaji wako na UTT AMIS kupitia mitandao yetu ya kijamii na application yetu.
#UTTAMIS #Uwekezaji #MifukoYaPamoja #Taarifa #UsiachweNyuma #Updates #UkuajiWaPamoja #MutualFunds #JifunzeUwekezaji
6
372
Kipindi cha 9 msimu wa 4
Tunaenda kuzungumza jinsi ya kuchagua mfuko au mifuko bora ya kuwekeza kati ya mifuko yetu sita(6) ya uwekezaji wa pamoja.
Tutakuwa live kupitia instagram kuanzia saa 5 kamili
#UTTAMIS #UkuajiWaPamoja #Fedha #JifunzeUwekezaji #PersonalFinance
6
332
Katika mifuko 6 ya UTT AMIS ni mfuko gani uliona unakufaa kuwekeza? Tuambie kwenye comments na tuelezee kwanini umeona unafaaa.
Pakua App yetu ya UTT AMIS pia kupitia App Store ama Google Play.
#UTTAMIS #Uwekezaji #MifukoYaPamoja #Saving #Investment #PersonalFinance
14
430
Katika dunia ya kisasa, mabadiliko ya soko la uchumi na mzunguko wa fedha huchochea hali ya wasiwasi kwa watu wengi, hasa linapokuja suala la uhifadhi wa thamani ya fedha.
Wasiliana nasi kupata ushauri na usaidizi zaidi wa uwekezaji kupitia mifuko ya pamoja ya UTT Amis.
#UTTAMIS
9
350
Kama unaanza au unafikiria kuanza uwekezaji, uliza swali kuhusu uwekezaji kwenye comments.
Kwa wazoefu kwenye uwekezaji tupite kutoa ushauri na kujibu maswali. #TukueKwaPamoja
#UTTAMIS #Uwekezaji #MifukoYaPamoja #Saving #Investment #PersonalFinance #Tanzania #MaswalinaMajibu
4
229
Uwekezaji wako ni akiba unayojiwekea ya maisha, UTT AMIS tunahakikisha kuwa unatunza na kukuza thamani ya pesa yako kila siku.
#UTTAMIS #Uwekezaji #MifukoYaPamoja #Saving #Investment #PersonalFinance #Tanzania #MaswalinaMajibu #JifunzeUwekezaji
4
250
Taarifa ya thamani ya mifuko ya uwekezaji Tarehe 21 Mei, 2025.
Taarifa hii hutolewa kila siku kupitia tovuti yetu : uttamis.co.tz
Kwa nini uwekeze na UTT AMIS ?
Kwa Mwaka wa Fedha Ulioanzia Julai 2023 na kuishia Juni 2024, Mifuko a uwekezaji wa pamoja inayosimamiwa na UTT AMIS ilitengeneza Faida ya zaidi asilimia 12%.
5
244
Taarifa ya thamani ya mifuko ya uwekezaji Tarehe 20 Mei, 2025.
Taarifa hii hutolewa kila siku kupitia tovuti yetu : uttamis.co.tz
#uttamis #ukuajiwapamoja #agmutt #UkuajiWaPamoja #UTTAMIS #Uwekezaji #MutualFunds #Fedha #JifunzeUwekezaji #UkuajiWaPamoja #UTTAMIS
11
259
Hivyo ndivyo faida za mifuko yetu ya UTT AMIS ilivyokuwa kwa mwaka 2024. Viwango hivi hutokana na mwenendo wa masoko na uwekezaji nchini katika kipindi cha mwaka mmoja.
#uttamis #TBT #investing #uwekezaji #wekeza #MutualFunds #Fedha #JifunzeUwekezaji
1
13
477
Taarifa ya thamani ya mifuko ya uwekezaji tarehe 14 Aprili 2025.
Taarifa hii hutolewa kila siku kupitia tovuti yetu : uttamis.co.tz
#UTTAMIS #ukuajiwapamoja #UkuajiWaPamoja #Uwekezaji #MutualFunds #Fedha #JifunzeUwekezaji #UkuajiWaPamoja #personalfinance #investing




















