
Broadcast Journalist | Past Lives Iringa, Mwanza & | Christian | Founder @niungishe_tz | Media Personality
Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2014
- Tweets11.1K
- Following553
- Followers690
- Likes43.7K
Pinned Tweet
Nikiwa katika maonesho ya 77 yaliyomalizika Julai 13, 2024 nilikutana na Samora Michael mwanafunzi wa VETA (Kagera) mwenye kipaji cha uchoraji.
Changamoto yake kubwa ni kuzitangaza kazi zake mtandaoni kwani hana simu janja (smartphone) na anaomba asaidiwe
Namba yake; 0756783111
Siku nyingine ya kusogeza ndoto za biashara hatua moja mbele, mafanikio hayaji kwa bahati, yanajengwa kwa maono, nidhamu na hatua za kila siku
Usikate tamaa 💪
4
Gerald Michael Nyang'ali retweeted
Siku moja, kila kitu unachomiliki kitatumiwa na wengine, kitatolewa kama msaada, au kitatupwa. Kile kitakachobaki si mali uliyokusanya, bali ni mabadiliko chanya uliyoyaleta katika maisha ya watu wengine.
Gerald Michael Nyang'ali retweeted
Mancity wako nyuma kwa bao mbili dhidi ya Notting Ham Forest
HT | Nottm Forest 2-0 Man City
Gerald Michael Nyang'ali retweeted
Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Thomas Mtume - CHANIKA, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, limetabarukiwa leo Jumamosi ya Oktoba 31, 2026. Atukuzwe Mungu milele.
Maskani zako zapendeza kama nini, Ee Bwana Mungu wa Majeshi🙏
Gerald Michael Nyang'ali retweeted
They Threw Him Into a Den Full of Lions...
But God Had Other Plans 🦁 🙏
Gerald Michael Nyang'ali retweeted
Kitu kimoja ninachokipenda sana kwa Simba ni jinsi wanavyomtanguliza Mungu katika kila jambo. Kabla ya mechi wanasali, na baada ya mechi wanamshukuru Mungu, bila kujali matokeo.
Bila Mungu sisi si chochote. Kila kipaji, uwezo na ushindi ni kwa mapenzi Yake. Allahu Akbar! ❤️🦁
Gerald Michael Nyang'ali retweeted
Maiko Kaniki msimu huu
9 matches
4 losses
3 draws
2 wins (against Sabah and Ipswich)
Huyu alizoea kucheza mechi moja kwa mwezi ,huu mziki wa bandika bandua hauwezi
Kuna muda utafika atatapika Damu
#Mchambuzihuru
Gerald Michael Nyang'ali retweeted
Tanzania's message regarding the UN 2027 budget, presented today by UN Secretary-General António Guterres:
"Our aspirations for the United Nations grow annually, yet our financial commitments often remain unfulfilled. It is regrettable that the primary obstacle is a lack of political will rather than a shortage of resources. If we can secure funding for conflicts, we certainly have the capacity to support the United Nations in its mission to promote peace, development, and human rights. Investing in the United Nations is a sound economic decision; let us therefore unite our efforts and honor our obligations."

























