
Tutor, VOA, Poet, writer, Photographer, Gdesigner 😀 #BusaraZaBonge #AbaaShots📸 LFC&SimbaSC❤ @udsmalumni SIIPENDI MANU
Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2018
- Tweets53.5K
- Following3.7K
- Followers9.6K
- Likes28.5K
Pinned Tweet
#UZI
#BusaraZaBonge
My future wife ita na mashoga zako na wake watarajiwa wa watu wengine kuna ujumbe wenu hapa. Usilalamike ukaona kuwa sijali confidentiality kati yatu, hapana! nafanya hivi kwa maslahi ya wengi.
The goal was “kuondoa kitambi” huku kwengine sijui tumefikaje.
By the way, safari moja huanzisha nyingine.
Niko radhi kuwa baba wa kambo.
#DearNyerere I’m a happily single parent, grateful to be thriving after surviving domestic violence (na visu juu)😄
Brother Mkama retweeted
I dislike series that the main characters have no flaws, every plan they make goes to perfection . It’s start to seem unrealistic, that’s why I’ll always rate scofield and professor over those two frauds
Anasound kama Mzee Jakaya.
VIDEO:
Makamu wa Rais wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ameyataka mashirika ya umma, taasisi za serikali na wizara kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ikiwemo ununuzi wa magari ya kifahari (V8) na safari za nje ya nchi ili kupata kiasi cha Shilingi bilioni 120 zitakazoelekezwa katika kuwanoa na kujenga uwezo wa rasilimali watu na vijana nchini.
Akizungumza leo Septemba 28, 2026, wakati akifungua Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma (C-CEOs Forum) 2026 kinachofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha (AICC), Ndejembi amehoji matumizi makubwa yanayofanywa na bodi na taasisi hizo kwenye vikao, posho, na safari za nje, akieleza kuwa kubana matumizi hayo kutawezesha taifa kupata fedha za kutosha kujenga nguvukazi imara itakayosukuma uchumi wa nchi.
Akiirejelea Dira ya Taifa ya Maendeleo na nguzo zake ikiwamo kujenga uchumi shindani na kuendeleza watu, Ndejembi amesisitiza kuwa maendeleo ya kweli yatafikiwa pale tu taifa linapowekeza kwenye utaalamu na ujuzi wa watu wake.
"Katika zile nguzo tatu za dira yetu ya maendeleo ya taifa tunasema tujenge uchumi shindani, nguzo ya pili tunasema kujenga watu, ya tatu mazingira. Sasa hizi zote ili tuweze kuziishi nguzo hizi na tukafanikiwa, lazima tuanze kuwekeza sasa kwenye rasilimali watu ili wawe na utaalam na ujuzi wa kuweza kutusaidia kufikia malengo yetu," amesisitiza.

























