~NYANDA ๐Ÿšœ๐ŸŒพ๐ŸŒ๏ธ (@_latadotto) header
~NYANDA ๐Ÿšœ๐ŸŒพ๐ŸŒ๏ธ (@_latadotto) profile picture

๐Ÿšœ๐ŸŒ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kilimo ni burudan๐Ÿšœ๐ŸŒฝ๐ŸŒพ๐Ÿ„

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2020
Photo by ~NYANDA ๐Ÿšœ๐ŸŒพ๐ŸŒ๏ธ (@_latadotto)Photo by ~NYANDA ๐Ÿšœ๐ŸŒพ๐ŸŒ๏ธ (@_latadotto)Photo by ~NYANDA ๐Ÿšœ๐ŸŒพ๐ŸŒ๏ธ (@_latadotto)Photo by ~NYANDA ๐Ÿšœ๐ŸŒพ๐ŸŒ๏ธ (@_latadotto)Photo by ~NYANDA ๐Ÿšœ๐ŸŒพ๐ŸŒ๏ธ (@_latadotto)Photo by ~NYANDA ๐Ÿšœ๐ŸŒพ๐ŸŒ๏ธ (@_latadotto)Photo by ~NYANDA ๐Ÿšœ๐ŸŒพ๐ŸŒ๏ธ (@_latadotto)Photo by ~NYANDA ๐Ÿšœ๐ŸŒพ๐ŸŒ๏ธ (@_latadotto)Photo by ~NYANDA ๐Ÿšœ๐ŸŒพ๐ŸŒ๏ธ (@_latadotto)Photo by ~NYANDA ๐Ÿšœ๐ŸŒพ๐ŸŒ๏ธ (@_latadotto)
Tutakashofanikiwa hapa ni kula miwa ya mahind
Kuna mkulima naona bado hajarudi kutoka vakesheni tuna yako hapa.
2
1
105
Kuna mbegu nying nzur za mpunga ila ukifika kwenye katani lazima mvue kofia muweke heshima
2
1
2
78
Katani habar nyingne Ila sukar nayo inacheza mulemule sema zile punje zingekuwa ndegu kidogo ingekuwa unyama sana
27
~NYANDA ๐Ÿšœ๐ŸŒพ๐ŸŒ๏ธ retweeted
Mali, simu ziite popote inapopatikana #KilimoNiBiasharaYakudumu
2
4
5
208
Ni siku nyingine kwenye harakati zetu za mapambano na kilimo. Siyo kila mtu anapenda kilimo ila wote wanataka matokeo yake.
4
5
17
430
~NYANDA ๐Ÿšœ๐ŸŒพ๐ŸŒ๏ธ retweeted
โ€œKilimo ni imani ya kweliโ€ Kwako kilimo nini?
2
7
1
16
329
Kwa kilimo cha kutegemea mvua bahati pekee iliyobaki ni kupanda Alizeti,Mtama na Muhogo. Kwenye mpunga na Mahindi maeneo mengi tunatembelea choki.
12
16
1
38
2,302
Ni ujasiri wa kipekee kuwa mkulima, Niamini mimi ninachokisema cc @Mazikuagric
2
3
11
238
Hakuna kitu kinahusiana na hela ni rahisi!
5
7
1
20
838
Cosmas makongo ITV badae alienda geita akahamia channel 10 akaamua kugombe ubunge akapigwa chin kula za maoni
Taarifa za habari za ITV. Sema huyu reporter ndo alikuwa katoka jela enzi za Magufuli kwa kosa la kuripoti uwepo wa njaa.
61
Mvua zitakuwa chini ya wastan hadi wastan #TMA na sio wastan had chini ya wastani
This post is from an account that no longer exists. Learn more
2
27
Kilimo huwezi kusimama peke yako na ukafanikiwa. Yani kuna wewe mkulima, wanunuzi, wasambazaji na wadau wengine kila mmoja anachangia mafanikio ya mwingine. Na huu ndiyo moyo wa maendeleo endelevu ya kilimo.
2
2
6
313
โฑ๐Ÿšถโ€โ™‚๏ธ
2
1
8
275
~NYANDA ๐Ÿšœ๐ŸŒพ๐ŸŒ๏ธ retweeted
This 2025 ๐ŸŒฑโœ…
12
19
1
220
19,555
~NYANDA ๐Ÿšœ๐ŸŒพ๐ŸŒ๏ธ retweeted
๐Ÿ”ฅ Hongereni sana Tanzanians on X ๐Ÿ‘๐Ÿฝ Akaunti imerudi na kampeni yenu ilikuwa yenye mwamko mkubwa Thank you @elonmusk @Support for restoring @Sativa255 Tunakamilisha utaratibu wa kuhakikisha akaunti inakaa sawa na isisumbuliwe tena na machawa โœŠ๐Ÿฝ Leo machawa watalala na viatu ๐Ÿคฃ Umoja ni nguvu - tusipoe! Welcome back Sativa! #Tutakuwepo
89
459
9
2,123
52,297
~NYANDA ๐Ÿšœ๐ŸŒพ๐ŸŒ๏ธ retweeted
Upi Mfumo Mzuri wa kuuza Tikitimaji shambani. 1:KWA UZITO (kg) 2:KWA GARI (kenta) 3:KWA SHAMBA ZIMA 4:KWA PICS Nasoma comments #tukafosichaka
7
3
16
811
~NYANDA ๐Ÿšœ๐ŸŒพ๐ŸŒ๏ธ retweeted
Good morning from Mbinga Ruvuma. Coffee โ˜• Gunia laki 6.
7
2
53
4,003
Yanga tunacheza mpira makande ya njugu mawe kikubwa tufunge magoli
1
41