MSB retweeted
Replying to @masuba___
NIKIPATA HELA LAZIMA NIFANY KITU CHA MAANA MFANO KUJENGA NYUMBA HIO NI SHERIA KABISA
Hii mindset ya Kujenga nyumba ni heshima kwenye jamii imeua mitaji na ndoto za kukuza kibiashara kwa watu wengi sana bongo,
Kujenga hakuhitaji pupa kuza mtaji panua biashara weka misingi imara ya biashara kwanza.
MSB retweeted
Vijijini tofali ya kuchoma 1 ni 100 usafiri ni 30 so laki na 30 unapata tofali 1000, 1.3M unapata tofali elfu 10 kujenga chumba 1 ni laki na nusu, kuchimba shimo la choo ni ni laki na nusu 🤣🤣🤣
Tip top ni kitovu cha uchumi kuna hotels za ghorofa 8 zaidi ya 20 kuna biashara ya maduka haina hesabu
Kuna maduka ya jumla hayana kiwango
Kuna idadi kubwa ya wakazi na wafanyabiashara wanaoingia na kutoka kwa masaa tu
Watu wanajua TIP TOP haipo Manzese? 😂😂 Kwa uwekezaji wa hoteli kama Jaromax Palace na nyingine zilizopo Tip Top, ni eneo gani Dar mnaweza kutaja lenye uwekezaji wa aina hiyo na shughuli za biashara kama Manzese?
Msipime Manzese kwa matukio ya baadhi ya vijana, pima pia mchango wake kwenye biashara na maisha ya watu. Manzese imekuza watu wengi sana! 💯😆
Watanzania hatukua na uelewa wa EL NINO
Mtaalam kaelezea vizuri matokeo ya EL~NINO kikanda duniani;
Asia~India,Pakistani wao wanapata joto sana
Kusini mwa africa ~Afrika kusini, Zimbabwe wanapata UKAME
Afrika mashariki ~ Tanzania,Uganda tunapata mvua nyingi za mafuriko
Simba mpeni kijana safari hata moja nje ya nchi anapambana sana kuwapa hype humu.
Uzi unaotoa elimu kwa wote waliyokua na fikra za dini
MAANDAMANO YA VIJANA UFARANSA 🇫🇷
Ufaransa inakabiliwa na wimbi la maandamano ya vijana yanayohusishwa na malalamiko kuhusu elimu, gharama za maisha na sera za serikali
Lakini nani alianzisha harakati hizi, wanadai nini, na kwa nini baadhi ya maandamano yameambatana na vurugu na uharibifu wa mali?
NANI ALIANZISHA?
Yalianza Septemba 21, 2026 katika eneo la Créteil karibu na Paris yakichochewa na malalamiko kuhusu hali ya elimu baadae wanafunzi na makundi mengine waliunga mkono madai hayo
WANAPIGANIA NINI?
▪️ Walimu wa kutosha na elimu bora
▪️ Bajeti bora ya shule na fursa sawa
▪️ Kupinga sera zinazowaathiri vijana
UHARIBIFU ULIOJITOKEZA
Baadhi ya maeneo yaliripotiwa kukumbwa na uchomaji wa magari, majengo ya umma, mapipa ya taka na vizuizi, uharibifu wa mali, wizi na vurugu
NANI ANAWASUKUMA KISIASA
Chama cha mrengo wa kushoto, La France Insoumise kimeunga mkono baadhi ya madai ya vijana hao na kuwaasa waendele kudai mabadiliko mpaka serikali ifanyie kazi
SERIKALI IMESEMA NINI?
Jana Oktoba 18, Rais Emmanuel Macron alikiri kuwa vijana wana wasiwasi kuhusu maisha, elimu na mustakabali wao
Alisema serikali inapaswa kusikiliza madai yao na kushughulikia chanzo cha hasira hizo huku akisisitiza kuwa wahusika wa uporaji na uharibifu watawajibishwa
Waziri wa Elimu, Édouard Geffray naye alikuwa ametangaza mpango wa kupeleka walimu 3,000 katika shule zenye uhitaji mkubwa
Hoja ya Ali Kamwe imepokelewa na wenye kusimamia mpira wameipokea na kuifanyia kazi,
Tuokoe mpira wetu tusiruhusu ikajirudia tena.
Aliemzalisha Rey akamalizane nae mapema kabla hajafa
Replying to @Mzungu_pori1
😁😁kwa msingi upi, nitamchoma maji ya moto Haki, nitesekee kulea mwenyewe halafu aje na makende yake et kuja kuona mtoto labda niwe nimekufa 😅
1.Hamna gunia la mchele kuna kg za mchele anza na hii kwanza mkali,
2.Huwezi kufanya biashara ya 5M ya kununua mchele mkoani may b umeamua kuitupa iyo ela maana transport tu itakula faida yako yote na mtaji kiasi.


























