I'll take this Question First. However hakukuwa na Aliyeshuhudia Mtume ﷺ akipewa Utume pangoni.. point of Corrections maybe ulitaka kusema Qur'an ndio ilishushwa Pangoni.!!
32
Come On Deck na Hoja Moja Ambayo unahisi Uislam hauko na Jibu lake..
Sababu ni wakristo walio katika incognitive dissonance ndio wako na hizo Hoja
Replying to @iam_rajabu
Tuliza mzuka, Uislamu kukosolewa au kuhojiwa mambo yake jinsi haya make sense sio kutukanwa au chuki, Mkristo kujifanya asiyeamini dini na kuukosoa Uislamu sio ishu sana, jambo muhimu ni hoja zinazoibuliwa.
nashindwa kukujibu mate.. kind of rhetorical question or what the criteria of this question.. sijui contradiction iko wapi hadi uulize like hauna jibu unataka ndio kitu naona ngekuwa na blue tik ningesema ni rage bait however najua multiple countries with single language
26
Ukiachilia mbali suala La ushoga., Bongo kuna wimbi la Atheist uchwara lililo beba fikra ambazo hawawezi kutetea
1
27
come on brou!! Mbona una shift Goal post alexander alikuwa ni King na alikuwa Before Christ topic ni ya Religion , ulizia kwa huyo grok kama kuna kitu kiliwahi kuitwa Great Empire..!!
mwisho utakuja sema kuna pharaoh empire😂😂😂
Replying to @_iam_chandra @Rasheed_Atm
We ni kiumbe ambae huna Elimu,maana ake ni Idiot Sorry not Sorry,, unamjua Alexender the Great @grok elezea kuhusu Alexander the Great na tawala zake
1
45
._iam⚓chandrv retweeted
Replying to @Obure1998
Kanumba na Elizabeth Michael (Lulu) and no one raised an eyebrow 💀
._iam⚓chandrv retweeted
ZITAMBUE IBADA ZAKO
`` Audio 017B``
SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEYD حفظه الله
kipi kinakufanya ujione wewe ni muislam mate.. jina ama ni hiyo clan uliyotoka
Replying to @BillyTronix1
Mm ni muislam but sikubaliani na mambo meng ya islam sababu najua they have nothing to do with God, ni ideology tu ya mwarabu ku conquer the world kupitia dini: however yapo mambo mazur ambayo ukiyafuata yanakusaidia kuwa mtu poa hapa dunian, but sio kuwa eti utaenda pepon, Nah
1
55
._iam⚓chandrv retweeted
#Muislam
Asalaam aleykum warrahmatullah wabarakaatuh
Changia ununuzi wa kiwanja cha msikiti NJOMBE
Kiasi chochote ulichojaaliwa wetu tupate 25M na Allah atakulipa kheri in shaa Allah...
Wekeza kwa Allah na amana yako utaikuta...
._iam⚓chandrv retweeted
KITHIRISHA KUSOMA DUA HII KABLA YA KULALA
Mahaasin Tv (Azam Decorder ch. 455), Mahaasin Tv Short Clips (Youtube), Mahaasin Tv (Instagram), Mahaasin Tv (facebook), t.me/mahaasintv (telegram), Mahaasin Tv (tiktok)
#dua #duâ #islam #IslamicReminder #islamic
._iam⚓chandrv retweeted
#Muislam
Asalaam aleykum warrahmatullah wabarakaatuh
Tunaomba swadaqa zenu ili kituo kiendelee kutoa mafunzo kwa vijana wetu.
Kwa kile ulichojaaliwa tuma katika namba hizo hapo chini.




















