Kiula. Jr.™ 🇹🇿 retweeted
Mfupa mtupu ndio unatolewa na CCM katika 4R zao. Kejeli ya aina hii lazima ikumbane na No Reform, No election tu. Hapo ndipo tutaheshimiana na wote kuwa raia wenye haki sawa katika Nchi yetu pendwa Tanzania.
Kiula. Jr.™ 🇹🇿 retweeted
Tunajivunia umahiri na ufanisi wa Manahodha wetu wa ndani. Juhudi zao kazini zinatoa mchango mkubwa na muhimu kwenye uendeshaji wa Bandari zetu. Uwekezaji thabiti utaongeza uhitaji wa wataalam wa meli nchini, wakiwemo Manahodha.
#KnowledgeSharing
#SkillSharing
#ijuebandariyako – at Dar es Salaam, Tanzania
Kiula. Jr.™ 🇹🇿 retweeted
Siku ya 941 ya mateso kwa George Sanga na wenzake!
Kumfunga mtu gerezani bila kesi kusikilizwa na hukumu ni kumwibia maisha na ndoto yake!
Wahusika wenye uwezo wa kuamua hatia ya George Sanga wamo humu
Tuwaambie:
#FreeGeorgeSanga #FreeGeorgeSanga #Tanzania
Kiula. Jr.™ 🇹🇿 retweeted
Alicho fanya Leticia Eliasi kumng’ata ulimi mwenza wake wakati wanashiriki tendo huko shinyanga, yaweza kuwa ni mwendelezo wa changamoto za magonjwa ya akili yanayo sumbua watu wengi kwa sasa.
Upatapo shida hii wahi na kipande cha ulimi hospitali mapema kikarudishiwe.
Kiula. Jr.™ 🇹🇿 retweeted
JINSI YA KUPATA HESHIMA!!
1. Acha kuwaomba watu kila wakati.
2. Acha kuwafuta wasiyekutafuta.
3. Usile chakula cha watu wengine zaidi ya wao kula chako.
4. Punguza jinsi unavyowatembelea baadhi ya watu hasa pale wanapokuwa hawaonyeshi kujali.
Kiula. Jr.™ 🇹🇿 retweeted
Msikilize vizuri Kikwete, ukimaliza hakikisha ume-Retweet hadi imfikie tena Kikwete na Mzee Warioba ili wazinduke kumkumbusha RAIS SAMIA umuhimu wa kupata KATIBA MPYA ya WANANCHI.
#WenyeNchiWananchi
Kiula. Jr.™ 🇹🇿 retweeted
💨 Baada ya Visa na Mastercard 💳 kusitisha huduma zake Urusi
Sasa Warusi watatumia UnionPay ya China kufanya miamala. Hizi vikwazo Urusi anavyowekewa vinaendelea kuipaisha China.
Kiula. Jr.™ 🇹🇿 retweeted
REPORT | #ImpactTechTZ
~ Tunzaa is a fintech digital product that allows a user to buy goods and service and pay in installments according to zone's income in a certain period of time.
~ Download | https://xitter.cf/t.co/CdGl4fesme
Kiula. Jr.™ 🇹🇿 retweeted
*copy and paste taarifa toka kwa kina Kinko ndugu wa karibu wa mama aliyeuwawa Moshi na binti yake*
Sisi tunaishi hapo Rau Pension. Huyu mama kama sikosei ana asili ya kijerumani ni jamii moja na kina Kinko, John Bennet n others. Mama alikuwa anapenda kuendesha Bike na koti lake
Kiula. Jr.™ 🇹🇿 retweeted
Received the news of the release from jail of my friend, brother and a leader @VitalKamerhe1 The President of @uncrdc party. A comrade has suffered political persecution but still strong and ready for struggle. See you soon VK, in Tanzania or in DRC @BillyKambale1
Kiula. Jr.™ 🇹🇿 retweeted
A Dakar début #FOCAC2021 forum sur coopération #Chine-Afrq coopresidé par le PR #MackySall &le Pr Chinois #XiJinping avec Le PR @fatshi13(en video) de #UA.Tous ont salué le pragmatisme chinois qui met des nouveaux milliards pr investissements 2022-2024. Témoins MinAFFET&Indust
Kiula. Jr.™ 🇹🇿 retweeted
"Tujenge utamaduni wa kudhibiti viongozi wetu kama
wanavunja sheria ya nchi, tusiogope" - Mwl. J.K Nyerere
#art #myart #timelapse
#DearNyerere #Nyerere #NyerereDay #Nyerereday2021
@MariaSTsehai @fatma_karume
Kiula. Jr.™ 🇹🇿 retweeted
Before a single ballot was cast, #Tanzania's polls were marred by violence & repression. Reported irregularities during yesterday's vote & arrests today of opposition leaders are unacceptable & erode the country's democratic progress. Tanzania's leaders must be held accountable.
Kiula. Jr.™ 🇹🇿 retweeted
The Chair of Tanzania Elections Watch, Professor Ssempebwa on the voting process in Tanzania #TanzaniaElectionsWatch
Kiula. Jr.™ 🇹🇿 retweeted
Kama ilifahamika matokeo yangeamuliwa nje ya sanduku la kura, kwanini watawala wasingetumia pesa zetu kama nyongeza za mishahara au kuongeza vitendea kazi mahospitalini?? Huku tukijua hakuna mfumo huru.
@Chahali
#TanzaniaElections2020 #TanzaniaDecides2020
Kiula. Jr.™ 🇹🇿 retweeted
.@MagufuliJP and the CCM government have dealt a death blow to democracy in #Tanzania today. He is no longer a legitimate president. Our press release announcing filings on behalf of @TunduALissu and @ChademaTZ before Commonwealth and AU.
robertamsterdam.com/lawyers-…



































