Salafi✨ (@Salaph1) header
Salafi✨ (@Salaph1) profile picture

We left Home to Change Home. There’s no greater joy than being able to bless those that gave us life.

Joined January 2021
Photo by Salafi✨ (@Salaph1)Photo by Salafi✨ (@Salaph1)Photo by Salafi✨ (@Salaph1)Photo by Salafi✨ (@Salaph1)Photo by Salafi✨ (@Salaph1)Photo by Salafi✨ (@Salaph1)Photo by Salafi✨ (@Salaph1)Photo by Salafi✨ (@Salaph1)Photo by Salafi✨ (@Salaph1)Photo by Salafi✨ (@Salaph1)
Kabla hujafikilia kufanya Uzinzi leo, Angalia Kwanza Hii picha unaweza Badili maamuzi.
9
15
194
9,650
Wazee wa PhD nipeni majibu apa maana nimeishia la pili b msaaada
204
Replying to @TanzaniaOneJezi
Huyu hapa kiongozi bora wa muda wote, mpaka sasa hivi hayati JPM akiwa amelala mauti anaongoza 5-0 dhidi ya waliokuwa wasaidizi wake wanahangaika sana kuzika jina lake lakini kamwe hawataweza, bahati mbaya kiongozi km JPM upatikana mara moja kwa karne moja.
4
13
1
86
5,678
WANARAKATI WANAOPIGANIA USAWA WAANZE KUWAPONYA AKILI WANAWAKE WA HIVI KWANZA😭 Baadhi ya wanawawake wapumbuvu wanaharibu uzuri, haiba, taswira na thamani za wanawake wengine kwa ujinga wao. WANAWAKE ni dada zetu, watoto zetu, mama zetu, watoto wetu tunawapenda ila wengi wao
1
5
1,027
hawajipendi. Wamepoteza TUNU ya uanamke na thamani zao😭🙌 Utathaminije, utaheshimuje mwanamke wa aina hii. WANAWAKE wanajidhalilisha wao wala hawadhalilishwi, wao ndio wanataka wawe hivyo. Tuwalaumu wanawake zaidi kwenye haya wala si wanaume maana wao wanapaswa kujithamini
1
1
458
Na kujilinda.
1
386
UFAGIO UNAWEZA KULETA MIKOSI NA MABALAA Mifagio kawaida hutumika katika nyumba zetu, madukani, ofisi nk. Lakini hapa kuna mambo muhimu ambayo unahitaji kuzingatia wakati wa kuitumia. Usitumie ufagio uleule unaotumika kufagia ndani ya nyumba kufagia nje au kinyume chake.
1
1
5
599
Kwako....Daima weka ufagio wako ukiwa umesimama wima kwenye ukuta na sio ukiegemea sakafuni. Hii inaweka nishati mbaya mbali na nyumba yako duka. Wakati wowote unaponunua ufagio mpya na unataka kuusafisha nyunyiza chumvi kwenye sakafu na tumia ufagio kuutawanya.
1
2
358
Ufagio uliolala nje hata kwa bahati mbaya usiufagilie tena ndani, usichokifahamu ni kwamba wachawi wanatumia sana mifagio kwenye kazi zao na hata kwenye kupaa. Mimi mwenyewe ndio nimejua leo.😎
2
283
Ukiwa mbea huwezi tunza Siri
Sometime kutunza siri kunaumiza sana.
1
417
Hizi tweet manazo tweet humu kuhusiana na wanawake kiukweli mnazingua sana wazee.
3
1
10
724
Hizi biashara za shida shida si za kuzisema. Tunaona wanawake, vipi kuhusu marafiki wasio na msaada wakati wa shida? Wewe mbwa una stress za mademu. Tupumzishe kidogo!
This quoted post is unavailable.
2
293
So funny tuliokulia vijijini, unakuta mdada karudi kusalimia zile kazi like kuhudumia mifugo, kubeba majani, ndizi hafanyi tena, anamuachia mzazi. Wengine huofia kuharibu kucha, nywele, kujishaua n.k. Hamna utendaji unaosahaulika, utachoka tu kiasi mana hujafanya kwa mda.
4
13
41
1,278
Na asisahau kitambaa cha kufutia Jasho 😂😂😂 #TuesdayVAR
104
82
4
948
55,493
Maex wangu, maisha yenu yanaendeleaje bila mimi; mnayafurahia au mnajuta?
1
1
3
361